Mena Tanzania

Mena Tanzania We specialize in whitening soap and cosmetic items.

Sabuni ya Limao ya Mena yenye Formula inayoua bakteria Ngarisha Ngozi yako  kiasili na mchanganyiko maalum wa Vitamin C ...
03/02/2026

Sabuni ya Limao ya Mena yenye Formula inayoua bakteria
Ngarisha Ngozi yako kiasili na mchanganyiko maalum wa Vitamin C utakaorejesha mg’ao wa Ngozi yako. 🌤️🍃
💚 Hudhibiti Bakteria na kuondoa harufu mbaya mwili.
💚 Hufifisha makovu ya chunusi na madoa
💚 Huacha Ngozi yako ikiwa fresh, laini na yenye kung’aa

kuwa msafi, mng’aavu, na mwenye kujiamini na ya Mena Limao.🫶🏻

27/01/2026

✨ Anza safari ya ngozi ang’avu leo!
🧼 MENA Papaya Soap
🌿 Safi • Ang’avu • Matumizi ya kila siku
💛 Imependwa na familia nyingi Tanzania

Siri ya kung’aa kila siku❣️  Herbal Soap yenye Komamanga na Collagen kwa ngozi ang’avu na laini 🌺✨Inadumisha muonekano w...
25/01/2026

Siri ya kung’aa kila siku❣️
Herbal Soap yenye Komamanga na Collagen kwa ngozi ang’avu na laini 🌺✨
Inadumisha muonekano wa Ngozi, na kurejesha ngozi ya ujana huku ikukupa uzuri wa asili wakati wote.

Huduma ya asili Inayolainisha, kuboresha na kukuza mng'ao wa asili wa ngozi yako 🍃🕊️ Pata ngozi laini na yenye muonekano...
15/01/2026

Huduma ya asili Inayolainisha, kuboresha na kukuza mng'ao wa asili wa ngozi yako 🍃🕊️
Pata ngozi laini na yenye muonekano wenye afya kwa kutumia Mena Herbal Cream.💚

Mwanzo mpya kwa ngozi yako ☀️ Ngozi ang’avu, laini, na yenye ubaridi ❄️☃️Jionee uwezo wa vimeng’enya vya papai na mentho...
07/01/2026

Mwanzo mpya kwa ngozi yako ☀️ Ngozi ang’avu, laini, na yenye ubaridi ❄️☃️
Jionee uwezo wa vimeng’enya vya papai na menthol katika sabuni moja. 🍃
Dhihirisha mng’ao wa asili kila unapo oga🛁 hukuacha fresh, msafi na ngozi nyororo.

🥳✨ Happy New Year 2026 🥳✨A new year, a fresh start, and glowing confidence.Let Mena be part of your beauty journeythroug...
01/01/2026

🥳✨ Happy New Year 2026 🥳✨
A new year, a fresh start, and glowing confidence.
Let Mena be part of your beauty journey
through every moment of 2026 💖🎉

Siku ya 2 kwenye Maonesho ya Beautyworld Mashariki ya Kati 2025 💕 Tuna furaha kukutana na wapenzi wa urembo na wadau kut...
28/10/2025

Siku ya 2 kwenye Maonesho ya Beautyworld Mashariki ya Kati 2025 💕
Tuna furaha kukutana na wapenzi wa urembo na wadau kutoka ulimwenguni kote 🌍

📌 Tembelea banda letu la Mena Cosmetics CoLtd.Banda Na SA-D17

Tung'ae pamoja na uzuri wa Kithai 🇹🇭✨

Lisha na Linda Ngozi Yako, Kwa Njia Asilia! ✨🌿Tunayo Sabuni ya Mena Curcumin, iliyojaa mchanganyiko wenye nguvu wa manja...
04/09/2025

Lisha na Linda Ngozi Yako, Kwa Njia Asilia! ✨🌿
Tunayo Sabuni ya Mena Curcumin, iliyojaa mchanganyiko wenye nguvu wa manjano na asali bora, iliyotengenezwa maalum kuipa Ngozi yako nguvu na uzuri wa asili
🍯 Imetengenezwa na viambato asilia vya kuzuia kuzeeka kwa ngozi
🌼 Inaponya na kufufua ngozi sensitive
🛡 Husaidia kuilinda na kuimarisha kinga ya ngozi yako
🌿 Huacha ngozi yako ikiwa laini, yenye afya, na kung'aa

Ina mchanganyiko wa Vitamini E unaozuia Ngozi kuzeeka. Sabuni hii ya mchanganyiko wa asili inafaa kwa matumizi ya kila siku — hasa kwa wale wanaopendelea matumizi ya viambato vya asili.

💛 Ipe ngozi yako upendo inayostahili – Huduma ya kina kwa Mng’ao wa asili .
Pata mguso wa dhahabu wa manjano uliyochanganywa na asali kila unapotumia Mena.

#์Mena

Ng’arisha ngozi yako na ujisikie freshi siku nzima! ✨🌿Fanya ngozi yako iwe nyororo na ing'ae hata wakati wa joto kali kw...
27/06/2025

Ng’arisha ngozi yako na ujisikie freshi siku nzima! ✨🌿
Fanya ngozi yako iwe nyororo na ing'ae hata wakati wa joto kali kwa kutumia Sabuni ya Mena Papaya yenye kuleta ubaridi ❄️🍃

Sabuni hii ina viambato muhimu k**a enzymes ya papai, vitamini E, itakayoacha ubaridi kwenye Ngozi. Sabuni hii husaidia:
✔️ Kuondoa uchafu na seli zilizokufa.
✔️ Hurekebisha rangi ya ngozi na kuifanya kufanana mwili mzima.
✔️ Huacha ubaridi kwenye Ngozi na kuifanya kuwa safi siku nzima. .

Iwe unajiandaa kwa siku mpya au unajituliza baada ya jua kali, Sabuni ya Mena huipa Ngozi yako matunzo inayostahili.💧💛
Wanawake wengi wameichagua Mena kwa sababu ya ngozi yao kung’aa, kuwa laini, na safi wakati wote. – Sasa ni zamu yako!
🧊 Jikinge na Joto kali,Furahia ubaridi wa sabuni ya Mena. Ng’aa kwa kujiamini.

✨ Pata Mng’ao wa Spa na Sabuni ya Mena Pineapple! 🍍🧼Imarisha ngozi yako kuwa ang’aavu, laini na yenye mvuto 💖✅ Huondoa s...
18/04/2025

✨ Pata Mng’ao wa Spa na Sabuni ya Mena Pineapple! 🍍🧼
Imarisha ngozi yako kuwa ang’aavu, laini na yenye mvuto 💖

✅ Huondoa seli zilizokufa 🧽 na kukupa muonekano mpya na safi ✨
✅ Huimarisha na kulainisha ngozi 🧴 na kukupa mng’ao wa ujana 🌟
✅ Hupunguza madoa na mabaka meusi 🕳️ na kukupa rangi moja ya ngozi 🌈
✅ Huondoa uchafu 🧹 na kufungua vinyweleo vilivyoziba 🧖‍♀️

🛁 Ukiwa na Mena Pineapple, ni sawa na kupata huduma za Spa ukiwa nyumbani! 💆‍♀️💫

Address

Dubai

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mena Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Mena Tanzania:

Share