AmmiZaynab HealthyTips

AmmiZaynab HealthyTips Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from AmmiZaynab HealthyTips, Mombasa.

Pilipili boga/hoho(squash pepper) hutumika k**a kiungo Cha kuongeza ladha na harufu kwenye mboga/mchuzi pia hutumika k**...
13/11/2021

Pilipili boga/hoho(squash pepper) hutumika k**a kiungo Cha kuongeza ladha na harufu kwenye mboga/mchuzi pia hutumika k**a dawa Kwa wanaosumbuliwa na ini kufura/kuuma ama kuwa na vijiwe(boga la green/yellow) likate toa kiini Cha ndani Kisha katakata boga moja tia Kwa sufuria kikombe kimoja kikubwa kile k**a jug uchemshe unywe for 2months bt uwe una badilisha Kila baada ya week unywe mara 3 Kwa siku pia inasaidia kusafisha kibofu Cha mkojo. Boga jekundu ukilichemsha pia ni tiba ya wenye matatixo ya masikio kutokwa usaha,uvimbe wa maguu,kuwashwa Kwa wenye allergy inayosahabisha muwasho na pressure! Tumia for 7days.





Mboga ya mkunde hupendwa na makabila mengi hapa Kenya hujulikana k**a mboga inayosaidia Kwa kuongeza damu mwilini na kuu...
04/09/2021

Mboga ya mkunde hupendwa na makabila mengi hapa Kenya hujulikana k**a mboga inayosaidia Kwa kuongeza damu mwilini na kuufanya mwili uwe wenye afya nxuri na imara. Usichofahamu kuhusu mkunde nikua unaweza tumia mkunde k**a dawa ya sikio lilonauchafu ama lilotoka kidonda na kuuma, unachukua majani machache ya mkunde unayaosha na kuyaponda Kwa kinu Kisha unachukua na kunyunyiza maji Kwa sikio linalouma mara mbili Kwa siku na unatumia for 7days. Pia miziz ya mkunde unaweza tumia k**a dawa ya kukusaidia upate kushika mimba Kwa haraka Kwa wale wasio na matatixo ya kizazi k**a vile uvimbe na mirija kuziba pia inasaidia wale waliotumia mpango wa uzazi(family planning) na kuchelewa kushika ujauzito hapa unachukua mizizi 3 ya mkunde ambao haujakomaa unachemsha unakunywa Kwa siku 21 asubuhi na jioni na Kila week unabadilisha mizizi ukichemsha Yani 3 Kwa week ya kwanza ya pili unachuma tena 3 na ya mwisho 3!





Nduma(Arrow roots) Ni chakula kizuri na bora katika mwili maana nikinga kwa maradhi mbali mbali. Hupunguza makali ya can...
03/08/2021

Nduma(Arrow roots) Ni chakula kizuri na bora katika mwili maana nikinga kwa maradhi mbali mbali. Hupunguza makali ya cancer mwilini k**a kuna mgonjwa anaeugua cancer pia unaeza mpikia na kuzifanya k**a uji kisha ukampa mgonjwa once per day. Kwa wenye ngozi rough ya mwili nduma husaidia kulainisha ngozi mwilini pia. Kwa mtoto wa miezi 6 akipikiwa nduma na kusagiwa k**a uji itamsaidia kuimarisha mifupa yake ya mwili pia mzee ambae analalamika nyonga na miguu kumuuma na kuisha nguvu za kutembea atengezewe nduma k**a uji atumie.





Mvuje ama wengi huufahamu k**a mbajia ni mti mzuri unaosaidia wajawazito wenye tatizo lakutapika na kutema mate bila kik...
02/08/2021

Mvuje ama wengi huufahamu k**a mbajia ni mti mzuri unaosaidia wajawazito wenye tatizo lakutapika na kutema mate bila kikomo. Chukua majani ya mvuje 2kila unapohisi kichefuchefu utafune k**a unatafuna ubani usisahau kuuosha.

Leo nitawapa tiba ya Homa ya kuvunja viungo vya mwili na kufanya mwili uwe na maumivu makali na joto kali(kichungunya) C...
26/07/2021

Leo nitawapa tiba ya Homa ya kuvunja viungo vya mwili na kufanya mwili uwe na maumivu makali na joto kali(kichungunya) Chukua tembe 4 za saum ponda tia kwa sufuria na maji vijombe 4 na majani 7 ya mlimau kisha chemsha kunywa nusu kikombe asubuhi mchana na jioni kwa siku 7!






Tui la n**i zito hutumika kwa kupikia vyakula mbali mbali pale nyumbani pia linaweza tumika k**a dawa za maradhi mbalimb...
23/07/2021

Tui la n**i zito hutumika kwa kupikia vyakula mbali mbali pale nyumbani pia linaweza tumika k**a dawa za maradhi mbalimbali k**a kutoa makovu ya kuchomeka ila sio kovu lilomaliza mwaka yataka kovu bichi lilobakishwa na kidonda baada ya kupona tu,kwa watumia cream kisha wakachomeka tui zito la n**i hutibu na kuondosha na kutengeza ngozi kua na muonekano mzuri pia huondosha stretchmarks kwa wale hawapendi stretch marks mwilini na pia k**a una paka nyumbani anae umwa na macho tui zito ni dawa nzuri yakumtibia. Kwa walio na makovu na kuchomeka na cream pamoja na stretch marks unachuja tui zote lile la kwanza bila kuchanganya maji kisha chukua pamba chovya upake sehemu husika. Kwa paka unachuja tui la kwanza kidogo unalihifadhi kwa chupa kisha unamtia paka kwenye macho yote mawili matone 2 mara 3 kwa siku. Tui lihifadhi kwa fridge lisipate kuharibika.






Majani ya mbaazi hutumika k**a tiba ya kutibu kizazi kilofura na kujaa maji unachukua hayo majani unayaponda kisha chuku...
22/07/2021

Majani ya mbaazi hutumika k**a tiba ya kutibu kizazi kilofura na kujaa maji unachukua hayo majani unayaponda kisha chukua kitambaa kisafi tia hayo majani kwenye hicho kitambaa kisha vaa k**a pad asubuhi na jioni kwa siku 14.





22/07/2021

Hi welcome to my page. My personal account imejaa siwezi add tena friends ila hapa kila mtu atapata fursa ya kuona post zangu na kuelimika zaidi. Dont forget to like my page๐Ÿ™๐Ÿ˜ shuqran.





Hello everyone welcome to my page! Imebidi nifungue page maana siwezi add more friends na friend requests ni nyingi sana...
22/07/2021

Hello everyone welcome to my page! Imebidi nifungue page maana siwezi add more friends na friend requests ni nyingi sana. Karibuni sana na muendelee kujifunza mengi kuhusiana na Tiba zinazotokana na miti๐Ÿ˜๐Ÿ™

Address

Mombasa

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when AmmiZaynab HealthyTips posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to AmmiZaynab HealthyTips:

Share