KINGA KONKI

KINGA KONKI Tunajenga miili isiyopenyeka magomjwa
Mbobezi wa Lishe na kinga ya mwili ya asili CD4
0682962076

19/06/2026

⚠️ Je, unajua mwili wako unaweza kuwa umejikusanyia sumu nyingi bila wewe kujua?

Dalili k**a uchovu wa mara kwa mara, kukosa nguvu, matatizo ya mmeng'enyo wa chakula na kushuka kwa kinga ya mwili zinaweza kuwa ishara kwamba mwili wako unahitaji detoxification.

🎯 Kupitia ofa hii maalum utapata: ✅ Msaada wa kuondoa sumu mwilini ✅ Kuimarisha kazi ya ini ✅ Kuboresha kinga za mwili ✅ Kuongeza nguvu na ustawi wa afya kwa ujumla

📩 Nitumie neno AFYA DM au WhatsApp ili upate maelezo zaidi na nafasi yako kwenye ofa hii. 0682962076

30/05/2026
Mchanganyiko huu utakusaidia kuondoa sumu kwenye mwili wako ukiwa nyumbani kwako
29/05/2026

Mchanganyiko huu utakusaidia kuondoa sumu kwenye mwili wako ukiwa nyumbani kwako

29/05/2026

Mchanganyiko huu utakusaidia kuondoa sumu kwenye mwili wako na kukuacha mwepesi kabisa. Ndani ya siku 7 tu tumia keep sha lete ushuhuda wako averyone

27/05/2026

Vyakula hivi vinapunguza kinga ya mwili wako

27/05/2026

Upungufu wa kinga mwilini unaweza kusababishwa na magonjwa mbalimbali, lishe duni, dawa fulani, au maambukizi k**a HIV/AIDS. Dalili zinaweza kutofautiana, lakini hizi ni dalili 10 zinazoweza kuashiria kinga ya mwili kuwa dhaifu:

✅Kuugua mara kwa mara (mafua, kikohozi, homa au maambukizi ya mara kwa mara)

✅Vidonda kuchelewa kupona

✅Uchovu wa kudumu bila sababu wazi

✅Kupungua uzito bila kukusudia

✅Homa za mara kwa mara au jasho la usiku

✅Kuharisha kwa muda mrefu

✅Fangasi au maambukizi ya ngozi ya kurudia-rudia

✅Kuvimba tezi za shingo, kwapa au kinena

✅Kukosa hamu ya kula

✅Maambukizi ya mara kwa mara ya mdomo, masikio, kifua au njia ya mkojo

Tuwasiliane Sasahivi kwa Msaada haraka 0682962076

26/05/2026

Afya yako ni mtaji wako mkubwa 🙌
Usisubiri mpaka mwili uanze kutoa ishara za mara kwa mara ndipo uchukue hatua.
Kinga ya mwili ikiwa imara, mwili wako unakuwa na uwezo mkubwa wa kupambana na magonjwa 🛡️💪 Tunza afya yako leo kuepuka gharama nyingi badae
AfyaKwanza MwiliImara

20/05/2026

Mchanganyiko huu umesaidia baadhi ya watu wanaoteseka na tezi dume tumia Mchanganyiko huu utakusaidia kwa msaada zaidi nipigie 0671962076

Address

ARUSHA
Arusha

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when KINGA KONKI posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share