JcS health care

  • Home
  • JcS health care

JcS health care USHAURI BURE JUU YA MASWALA YA AFYA NA TIBA

True magic of Parks
01/03/2026

True magic of Parks

Happy New Year Surrendering to God
01/01/2026

Happy New Year
Surrendering to God

I'm on it 🇹🇿🦣⚖️    ❤️💞❤️
27/11/2025

I'm on it 🇹🇿🦣⚖️ ❤️💞❤️

Nature speak more than you Fear
12/11/2025

Nature speak more than you Fear

Choose yourself if you are not chosen.
12/07/2025

Choose yourself if you are not chosen.

STAY FOCUS TO GET ALL 💪🌄
12/11/2024

STAY FOCUS TO GET ALL 💪🌄

Kuna wakati inatokea mama anakugundua kuwa ni mjamzito wakati bado ananyonyesha. Mtoto anayenyonyeshwa anaweza kuwa mdog...
19/05/2023

Kuna wakati inatokea mama anakugundua kuwa ni mjamzito wakati bado ananyonyesha.

Mtoto anayenyonyeshwa anaweza kuwa mdogo hajafikia umri wa kuachishwa au mama mwenyewe anakuwa bado anapenda kumnyonyesha mtoto wake.

Ikiwa mimba ni ya kawaida na yenye afya, inachukuliwa kuwa ni salama kabisa kuendelea kunyonyesha katika kipindi chote cha mimba.

Katika kipindi hiki mama hana haja ya kuwa wasiwasi kwamba maziwa yake yatakuwa hayana virutubisho vya kumtosha mtoto wake anayenyonya.

Pia haitaji kuwa na wasiwasi kwamba unyonyeshaji unaweza kuathiri mimba yake.

Kuongezeka kwa uchovu na kichefuchefu wakati wa ujauzito inaweza kuwa changamoto kwa mama kijacho.

Hata hivyo mama anashauriwa kupata muda wa kutosha wa kupumzika na kula mlo kamili.

Ni muhimu kula mlo kamili ili kuhakikisha unapata virutubisho vya kutosha ili kukufanya uwe na afya njema.

Wakati wa ujauzito kiwango cha maziwa kinaweza kupungua pia radha ya maziwa huwa inabadalika.

Mambo haya mawili yanaweza kusababisha mtoto mwenyewe kukataa kunyonya.

Hata hivyo k**a mtoto bado ni mchanga sana ni vizuri kuendelea kumnyonyesha ili asikose virutubisho muhimu kutoka kwenye maziwa ya mama.

Je wakati gani unashauriwa kumuachisha mtoto k**a una mimba nyingine?

Hata hivyo unaweza kushauriwa kuachishwa mtoto iwapo
▫️ uko katika hatari ya kupata uchungu mapema,
▫️ mimba iko katika hatari ya kutoka au
◽ daktari amekushauri USIFANYE tendo la ndoa wakati wa ujauzito.
▫️Unapata maumivu ya tumbo yanayoambatana na kutoka damu

Zingatia:

Ni muhimu kutumia njia za uzazi wa mpango ili kuepuka kupata ujauzito usiotarajiwa ili kuepuka madhara yatokanayo na ujauzito na uzazi.

Pili ni muhimu kupata lishe Bora ili kuepuka kupata utapia mlo hivyo kujiweka katika hatari ya ujauzito wako kuharibika. Lishe ni MUHIMU, MUHIMU sana wakati huu.
-

Umejifunza kitu, Save post hii Itakusaidia kwa Matumizi ya baadae.
kupata update zaidi kuhusiana Na Vyakula tiba Na Afya ya Uzazi kwa ujumla.

Kwa msaada wa haraka wa changamoto zote za Afya ya Uzazi kwa Mwanamke,

NITUMIE UJUMBE WHATSAPP

0 754 446 824

🍇FAIDA ZA YOUTHEVER.....🥦 Kirutubisho hiki kina viambata vifuatavyo 👇☆Resveratrol antioxidants☆NMN Gene repair☆Grape see...
19/05/2023

🍇FAIDA ZA YOUTHEVER.....

🥦 Kirutubisho hiki kina viambata vifuatavyo
👇

☆Resveratrol antioxidants
☆NMN Gene repair
☆Grape seed extract beauty

🥦Kwa pamoja viambata hivi hufanya kazi zifuatazo
👇

🍇Husaidia kuweka ngozi yako kuwa nzuri

🍇Huusaidia kupunguza kasi ya kuzeeka.

🍇Husaidia kupambana na magonjwa ya UZEE k**a vile viungo n.k

🍇Huondoa shida ya kisukari

🍇Huwasaidia wanawake maswala ya uzazi

🍇Huufanya mwili kuzalisha seli mpya kwa kasi na kuupa mwili nguvu

🍇Inatunza ngozi na kuirudisha katika uasili wake

🍇Husaidia kupambana na magonjwa yote ya ngozi

🍇Husaidia kushusha shinikizo la damu

🍇Husaidia ukuaji wa nywele zako

🍇Husaidia kupambana na saratani

🍇Husaidia kulinda ubongo

🍇Husaidia mwili wako kuonekana bado kijana sana 🔥

✍️*Nani anatakiwa Kuitumia*

👬:Mtu yeyote anayejipenda na mwenye kuonekana na hali yenye nguvu na kijana.

👬: Mtu mwenye changamoto ya shinikizo la damu (pressure) Na sukari.

👬:Mwenye changamoto ya Saratani yoyote mwilin. 0754446824

Punyeto ni tendo lolote la kujitafutia ashiki binafsi hasa kwa kuchochea viungo vya uzazi. Wanaochukua hatua hiyo ili wa...
29/04/2023

Punyeto ni tendo lolote la kujitafutia ashiki binafsi hasa kwa kuchochea viungo vya uzazi.

Wanaochukua hatua hiyo ili wajipatie kionjo cha kuridhisha kinachofanana na kile cha tendo la ndoa kwa kawaida wanasukumwa na msisimko uliowapata, pamoja na haya ya kujitafutia mwenzi na hofu ya kuambukizwa maradhi ya zinaa
Madhara 10 ya kupiga punyeto kwa wanawake

Mara nyingi tumekuwa bize tukizungumzia madhara au athari za kujichua kwa wanaume bila kuwahi kuzungumzia madhara hayo kwa wanawake.

Ukweli ni kuwa wanawake nao wanajichua au wanajipiga punyeto k**a wanaume na kitendo hicho kina madhara kiafya kwao k**a ilivyo kwa wanaume hivyo kukaa kimya bila kulizungumzia hilo ni kutowatendea haki.

Haya ni baadhi ya madhara anayoweza kuyapata mwanamke anayejichua au kupiga punyeto

1. Inaweza kuharibu kizazi chako

2. Inakufanya kuwa mvivu

3. Inakupotezea hisia, inakufanya ukose hamu ya kushiriki tendo la ndoa

4. Inakuletea maumivu ukeni yasiyo na sababu

5. Inakufanya uwe na uke mlegevu, yaani mtepeto.

6. Hupelekea uke kutoa maji maji mara kwa mara au maji yale ambayo hutoka kabla ya tendo la ndoa kutokuwepo hivyo itakufanya kupata michubuko na maumivu makali wakati wa tendo la ndoa

7. Huwezi kuja kujua raha ya tendo la ndoa ukizoea sana punyeto

8. Inapelekea uke wako kukosa ladha hivyo itakupelekea kukimbiwa na mme wako

9. Inakufanya kuwa na hasira za mara kwa mara zisizo hata na sababu

10. Punyeto ni hatari kwa afya yako pia ukiizoea sana itakupelekea kufanya mapenzi ya jinsia moja.

11. Utakaposhiriki tendo la ndoa na mwanaume utachelewa sana kufika kileleni

K**a wewe ni mwanamke na umeathiriwa na punyeto na unatafuta dawa ya asili ya kuondoa madhara hayo basi acha tu ujumbe WhatsA ama eleza tatizo usaidike.

piga
0754446824

wa.me/255754446824

  TEZI DUME NI NINI DALILI MADHARA NA TIBA YAKE Tezi dume hii kitaalamu hufahamika k**a (PROSTATE GLAND)- Hii ni tezi in...
29/04/2023





TEZI DUME NI NINI DALILI MADHARA NA TIBA YAKE

Tezi dume hii kitaalamu hufahamika k**a (PROSTATE GLAND)

- Hii ni tezi inayopatikana katika mfumo wa uzazi wa kiume.

Tezi hii inapatikana jirani na kibofu Cha mkojo na mirija ya mkojo.

Tezi hii Ina kazi ya kuzalisha majimaji ambayo hubeba mbegu za kiume.

Majimaji hayo ndio Yale anayotoa mwanaume anapofikia kilele.

Hivyo tezi hii ni muhimu sana katika mfumo wa kizazi wa mwanaume.

Tezi hii si kubwa saana inapata sentimita zisizozidi 4,lakini tezi hii hukuwa kadiri umri unavyoenda.

DALILI ZA KUVIMBA KWA TEZI DUME:-

• Kukojoa Mara kwa mara.

• kubakiza mkojo kwenye kibofu.

• kukojoa saana usiku.

• Maumivu wakati wa kukojoa na mkojo usioenda mbali.

• Kupungukiwa nguvu za kiume

• UTI ya Mara kwa mara.

• Mawe kwenye kibofu kutokana na mrundikaniko wa mkojo.

• Figo kujaa maji, hii ni kwasabab mkojo huo unarudi nyuma kuelekea kwenye figo.

• Kupoteza fahamu.

•Maumivu ya Mara kwa mara ya kiuno kwa nyuma ya mgongo na mapaja.

• Uume kushindwa kusimama vizur.

•Kuwa na wakati mgumu wakati wa kukojoa na kuzuia mkojo.

ATHARI ZA TEZI DUME K**A HAITAWAHI KUTIBIWA:-

1. Kushindwa kabisa kukojoa.

2. Kupatwa na maambukizi ya UTI

3. Kupatwa na vijiwe kwenye kibofu.

4. Uharibifu wa kibofu unaweza kutokea.

5)Figo inaweza kuharibika.

Suluhisho la kumaliza hili tatizo lipo:
Linaondoka bila Upasuaji

Tumewasaidia wengi na wamepona kwa haraka zaidi kwa kufuata ushauri tulio wap.






Usisite kuwasiliana nasi

23/04/2023

HAKIKISHA UNAPATA CHOO KWA WAKATI TOA SUMU MWILINI JENGA AFYA
Unakula Milo 3 Kwanini Hupati choo kwa Wakati ? wengine Hadi siku 3 Hupati choo

Kuna msemo wa zamani wa wahenga wanasema
(The Death Begins in the colon) kwa tafsiri ya lugha nyepesi tu ya kiswahili Umauti huanzia kwenye utumbo.

Njia ya afya nzuri ni utumbo kuwa na Afya kwa kuondoa sumu (detoxification) tumboni na Uchafu wote bila kujali ugonjwa au shida ni nini toa sumu na Uchafu

Unapotoa sumu mwilini sio tu unasafisha na Kutoa Uchafu Katika tumbo Lakini lazima ujue kwamba unaenda kusafisha mrija unaoendelea kutoka mdomoni hadi kwenye haja kubwa , Kumbuka mrija ulotoka kuanzia mdomon Hadi haja kubwa kila sehemu ina kazi yake.

✍️. Usagaji chakula tunachokula
✍️. Mwili kufyonza virutubisho vya chakula ulichokula
✍️. Kuchakata taka kutoka kwenye chakula Hicho na kuziondoa mwilini

Sasa Hupati choo kwa Wakati Kwasababu zile stage 6 za digestive system hazifanyi kazi vizuri yaan hauko sawa kufata mtiririko huu
1️⃣Diet,
2️⃣Digestion,
3️⃣Absorption,
4️⃣Circulation,
5️⃣Assimilation and then 6️⃣Elimination

Kwa mantic hio K**a utasafisha Tumbo , kuondoa sumu ili kujenga Afya lazima program hio ilenge vipengele vyote hivi.

🍏. Kuondoa vitu vyote vya zamani vya kinyesi kwenye utumbo
🍏. Lazima iondoe metal nzito na sumu za madawa au mabaki ambayo yanakusanywa katika mwili.
🍏. Imarisha misuli ya utumbo ili ifanye kazi tena
🍏. Kurekebisha uharibifu wowote k**a vile henia na kuvimba kwa koloni na utumbo mwembamba.
🍏 Kuondoa uwepo wa polyps na ukuaji mwingine usio wa kawaida ambao umeishi katika mazingira yasiyo takiwa
🍏 Kurejesha upya bakteria ambazo wanapaswa kuwepo karibu na mrija wa kutoka mdomoni hadi kwenye njia ya haja kubwa.

TATIZO LA DIGESTIVE UNAOHUSISHWA NA UTUMBO.

1. Kuvimbiwa
2. Ugonjwa wa Diverticular (Herniation ya koloni)
3. Bawasiri
4. Tatizo la kuwa na hasira
5. Ugonjwa wa vidonda vya tumbo
6.Kisukari
7. Saratani ya utumbo mpana au puru

MWISHO

NIPIGIE SIMU TUANZE PROGRAM YA KUTOA SUMU MWILINI

Call/Whatsapp
☎️ 0754446824/

Address


Alerts

Be the first to know and let us send you an email when JcS health care posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

  • Want your business to be the top-listed Health & Beauty Business?

Share