25/07/2022
Chakula na huduma kwa wazee.
Wazee wanapotumia lishe yenye afya na uwiano wana uwezekano wa kuwa na afya bora na kufanya kazi kwa mda mrefu. Kwa kutumia mlo sahihi huwawezesha kuwa na afya njema na wenye nguvu wakati wote na kwa mda mrefu.
Mahitaji ya nishati ya wazee kwa kawaida huwa chini ya yale ya vijana lakini wanahitaji angalau kiasi sawa cha protini na virutubishi vidogo vidogo.