31/05/2026
Pole sana mwanangu wa Arsenal 😅. Mwaka umeisha tena mkibeba matumaini badala ya kombe. Kabati la vikombe linaendelea kuwa safi k**a jipya! Labda msimu ujao ndiyo ule msemo wa “this is our year” utatimiaa😂🏆. Ukiwa Arusha sehemu pekee unapata juice fresh,matunda fresh ni kwa sisi 🇹🇿
Tunapatikana Makao mapya
Tunafanya delivery 🚚 popote arusha
☎️0784530402