07/03/2026
π³β¨ REKODI MPYA YA DUNIA! β¨π³
π’ Mwanamke jasiri kutoka Kenya β Truphena Muthoni ameandika historia baada ya kuweka rekodi ya dunia kwa kukumbatia mti kwa saa 72 mfululizo.
π Tukio hili lilifanyika kwa lengo la kuhamasisha watu kulinda mazingira na kupanda miti zaidi ili kuitunza dunia yetu.
π Kitendo chake kinaonyesha kuwa mapenzi kwa mazingira yanaweza kuleta mabadiliko makubwa duniani.
π Hongera Truphena Muthoni kwa kuweka rekodi hii na kuwa mfano wa kuigwa katika kulinda mazingira!
π΅
π’
π‘