07/10/2026
Wengi wetu tulijifunza kuhusu hedhi kwa hofu na kimyakimya. Lakini kwa mabinti zetu, tunaweza kubadilisha hadithi hiyo. ๐ฅบ๐ธ
Mpe binti yako zawadi ya kuujua mwake wake mapema bila aibu wala uoga.
๐ฒ Pakua Siku Zangu BURE (kwa Kiswahili na Kiingereza) kurekodi tarehe za hedhi, hisia na dalili. Link kwenye bio ๐
๐ฌ Ni kitu gani kimoja ungependa binti yako ajue kuhusu hedhi ambacho wewe hukuambiwa?
Tuambie hapa chini ๐