Rafie's Castrol Oil.

Rafie's Castrol Oil. Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Rafie's Castrol Oil., simiyu bariad, Bariadi.

TUNAHITAJI MAWAKALA WENGI ZAIDIKWA YEYOTE ANAYEHITAJI KUWA WAKALA WASILIANA NASI                                  076776...
02/04/2020

TUNAHITAJI MAWAKALA WENGI ZAIDI
KWA YEYOTE ANAYEHITAJI KUWA WAKALA
WASILIANA NASI
0767767762.

BLACK CASTROL OIL.       Mnyonyo/Mbarika/Mbono/Castor tree/ricinus Communis-Ni mti wenye asili ya africa na umepata umaa...
01/04/2020

BLACK CASTROL OIL.
Mnyonyo/Mbarika/Mbono/Castor tree/ricinus Communis-Ni mti wenye asili ya africa na umepata umaarufu nchi za Asia na America.India ndio nchi inayoongoza duniani kwa kilimo cha zao hili.Kuna bidhaa zaidi ya 3000 zinazotokana na Mmea huu.Leo nitaangazia kwenye Urembo na tiba.

MAFUTA YA NYONYO/BLACK CASTROL OIL.
Haya ni mafuta yanayotokana na mbegu za mnyonyo.Tuangazie faida zake.
1.Nywele/Nyusi zilizodumaa-Yanasaidia kurefusha,Kuzifanya ziwe laini na nyeusi.
2.Yanazuia Kukatika kwa nywele.
3.Yanarudisha mng'ao wa nywele zako.
4.Mba-Mafuta ya nyonyo yana sifa ya kuwa (anti-oxidant) hivyo yanapambana dhidi ya backteria wanaosababisha mba.
5..Mapunye(Ringworm)-Mafuta haya ni kiboko dhidi ya fangasi wanaosababisha mapunye/mashilingi.
6.Massage-Unaweza tumia mafuta haya kuchua ili kupunguza maumivu ya misuli.
7.Yanasadia kutibu chunusi-Hapa ni kwa zile zinazosababishwa na bakteria.
8.Unaweza kutumia k**a conditioner.
KWA MSAADA NA USHAURI WASILIANA NASI KWA
Call/Sms: #0767767762
WhatsApp: #0767767762

KWA WALE WATEJA WETU WA BARIADI MAFUTA YANAPATIKANA NA TUNAKULETEA MAHALA ULIPO.
UNACHOTAKIWA KUFANYA NI TUMA UJUMBE(SMS) KWENYE NAMBA 0767767762 UNAOTOA MAELEKEZO MAHALA UNAPOPATIKA.
Mfano:" NAHITAJI MAFUTA
NAPATIKANA MAENEO YA SIMA SOKONI."
UKIANDIKA HIVYO TU TUTAFIKA HAPO NA MZIGO UTAPOKEA.

Watumiaji Wetu Kila Siku Wanapata Matokeo Mazuri, Unasubili Nini Wwe Kupata Matokeo Bora Kwa Ajili Ya Afya Ya Nywele.Mam...
12/03/2020

Watumiaji Wetu Kila Siku Wanapata Matokeo Mazuri,
Unasubili Nini Wwe Kupata Matokeo Bora Kwa Ajili Ya Afya Ya Nywele.
Mambo Ni šŸ”„šŸ”„šŸ”„šŸ”„šŸ”„

16/12/2019

*HABARI* ; _USIACHE KUSOMA HII_

TUNASAIDIA AKINA MAMA NA DADA WOTE WANAOPENDA KUJALI AFYA YA NYWELE NA NGOZI KWA KUTUMIA MAFUTA MAZURI YA ASILI .

*UNAWEZA JIULIZA:*
KWANINI UTUMIE MAFUTA HAYA?
KWA SABABU MAFUTA HAYA HAYANA VIAMBATA SUMU AMBAVYO HUWEZA KULETA ATHARI KATIKA NYWELE NA NGOZI PIA.

*MAANDALIZI:*
MAFUTA HAYA YAMEANDALIWA KWA NJIA YA ASILI KABISA HIVYO KUTOKUWA NA MADHARA KWA AFYA YA MTUMIAJI.

*FAIDA ZAKE:*
*HUKUZA NA KUJAZA NYWELE.
*HUZUIA NYWELE KUKATIKA.
*HUONDOA MBA NA MUWASHO.
*HUFANYA NYWELE KUWA LAINI NA NZITO.
*HUOTESHA KIPARA NA KULAINISHA NYWELE.
*HURAINISHA KOPE NA NYUSI.
*HUONDOA MICHIRIZI NA MAKOVU.
*HULAINISHA NGOZI.

*MATUMIZI:*
WEKA MAFUTA KIDOGO KIGANYANI NA PAKAA KWENYE NYWELE AMA KWENYE NGOZI KILA BAADA YA KUOGA NA KUSHA NYWELE KWA MAJI SAFI NA SABUNI.

*JE, UNGEPENDA TUKUHUDUMIE?*
WASILIANA NASI KWA NAMBA *_0767767762_*
AMA WAWEZA NIPATA WHATSAPP KWA KUBONYEZA LINK
https://wa.me/255767767762

*_RAFIE'S PRIDE TUKO KUKUPATIA HUDUMA BORA NA ZENYE UHAKIKA_ .*

KWA AFYA YA NGOZI NA NYWELE WASILIANA NASI KWA HUDUMA NZURI NA YA UHAKIKA. KARIBUNI SANA.CONTACT- 0767767762.
14/12/2019

KWA AFYA YA NGOZI NA NYWELE WASILIANA NASI KWA HUDUMA NZURI NA YA UHAKIKA.
KARIBUNI SANA.

CONTACT- 0767767762.

🄦RAFIE'S PRIDE🄦PURE BLACK CASTOR OIL. Ni mafuta yanayotengenezwa na mbegu za mnyonyo (Castor) bila kuongezewa chochote.,...
03/12/2019

🄦RAFIE'S PRIDE🄦
PURE BLACK CASTOR OIL.
Ni mafuta yanayotengenezwa na mbegu za mnyonyo (Castor) bila kuongezewa chochote., Yana virutubishi muhim sana ambavyo vinapelekea kupata matokeo mazuri kwa namna yatakavyotumiwa kubwa kabisa ni namna yanatumika ktk utunzaji wa nywele kwani
🄦Yanajaza na kukuza nywele kwa kasi.
🄦Yanazuia nywele kukatika kwani huirutubisha na kuiimarisha
🄦Yanaondoa muwasho na mmba
🄦Hufanya nywele kuchambuka, kuwa laini hivyo kuondoa maumivu wakati wa kuchana
🄦Hufanya nywele kuwa nyeusi na kuipa mng'ao mzuri wa kuvutia
🄦Huotesha kipara,
🄦Huondoa michirizi mwilin na hulainisha ngozi..... NK
NB. YANATUMIKA KWA NYWELE AINA ZOTE(Yenye dawa na isiyo na dawa) NA NI KWA JINSIA ZOTE
YANAPATIKANA KATIKA UJAZO WA Mls 130@sh. 6000 na Mls 250@ sh.10000
Urembo /Utanashati wako na RAFIE'S BLACK CASTOR OIL

CONTACT:
DODOMA- 0767767762.
SIMIYU. - 0789221223.

Address

Simiyu Bariad
Bariadi

Telephone

0767767762

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Rafie's Castrol Oil. posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Rafie's Castrol Oil.:

Share