13/05/2026
Ge***al warts (mabaka au uvimbe sehemu za siri) ni vijinyama vidogo vinavyoota kwenye ngozi ya maeneo ya siri k**a vile:
Kwa wanawake: kwenye v***a (sehemu ya nje ya uke), ndani ya uke, shingo ya kizazi (cervix)
Kwa wanaume: kwenye uume, korodani, au pengine kwenye mapaja
Kwa jinsia zote: kwenye maeneo ya haja kubwa (a**s) au karibu na sehemu hizo
🌿 Sababu ya Ge***al Warts
Ge***al warts husababishwa na Human Papillomavirus (HPV), hasa aina ya HPV namba 6 na 11. Ni mojawapo ya magonjwa ya zinaa (STIs) yanayoenea kupitia:
1. Ngono ya kawaida (vaginal)
2. Ngono ya mdomo (oral s*x)
3. Ngono ya sehemu ya haja kubwa (a**l s*x)
4. Kugusana ngozi kwa ngozi katika maeneo ya siri
⚠️ Dalili za Ge***al Warts
Watu wengine hawana dalili kabisa, lakini dalili zinazoweza kujitokeza ni:
1. Vipele vidogo au mabaka yanayofanana na kaliflawa (cauliflower)
2. Kuwashwa au kuuma kwenye sehemu za siri
3. Maumivu kidogo wakati wa tendo la ndoa au kukojoa
4. Kutokwa na damu kidogo wakati wa tendo
⚠️ Madhara ya Moja kwa Moja
1. Maumivu au usumbufu
Kuwashwa sehemu za siri
Maumivu wakati wa tendo la ndoa
Maumivu au kutokwa na damu wakati wa kukojoa au kujisaidia (ikiathiri sehemu ya haja kubwa)
2. Kuzuia njia
Mabaka makubwa yanaweza kuzuia uke, uume au njia ya haja kubwa, hasa kwa watu wenye kinga dhaifu
3. Maambukizi ya mara kwa mara
Ge***al warts hurudi mara kwa mara hata baada ya matibabu kwa sababu HPV hukaa ndani ya mwili kimya kimya
🎗️ Madhara ya Kudumu (ya muda mrefu)
1. Kansa ya mlango wa kizazi (cervical cancer)
HPV hasa aina ya 16 na 18 (sio 6 na 11 wanaosababisha warts) husababisha kansa kwa wanawake
2. Kansa ya sehemu nyingine
Kwa wanaume au wanawake: kansa ya uume, a**s, koo, au mdomo (oral cancer)
🧠 Madhara ya Kisaikolojia na Kijamii
1. Aibu na msongo wa mawazo
Hofu ya aibu kwa mwenza au kuonekana kuwa "najisi"
Kukosa kujiamini kingono kwa mawasiliano zaidi piga 0743514746