Elct Bukoba Town Health Centre

Elct Bukoba Town Health Centre Tunatoa huduma bora za afya 24/7, vipimo, matibabu na ushauri wa kitaalamu.

CME programe zinaendelea kituoni Kwa mujibu wa ratiba yetu. Tarehe 23/07/2026 topic ilikuwa TYPHOID muendesha kipindi al...
27/07/2026

CME programe zinaendelea kituoni Kwa mujibu wa ratiba yetu. Tarehe 23/07/2026 topic ilikuwa TYPHOID muendesha kipindi alikuwa DR. Anord Lugambwa.

IPC Training and  preparedness assessment EVD Ebola Virus Disease 17/07/2026 Tulipokea madaktari kutoka ELCT MAKAO MAKUU...
27/07/2026

IPC Training and preparedness assessment EVD Ebola Virus Disease
17/07/2026 Tulipokea madaktari kutoka ELCT MAKAO MAKUU kwa ajili ya mafunzo.Watumishi sita (6) walifundishwa Kwa vitendo .

Leo tarehe 26/06/2026  ni siku ya Utume iliyoandaliwa na KKKT Dayosisi ya Kaskazini Magharibi inayowakutanisha  watumish...
26/06/2026

Leo tarehe 26/06/2026 ni siku ya Utume iliyoandaliwa na KKKT Dayosisi ya Kaskazini Magharibi inayowakutanisha watumishi wote wa DKMG (Wachungaji, Wadiakonia, na Watendakazi wote wa Majimbo na Vituo vyote vilivyopo chini ya Dayosisi).
Baba Askofu wa DKMG Dkt. Abednego Keshomshahara amehutubia mbele ya watendakazi wote wa Dayosisi na Maadhimisho haya yanatarajiwa kufanyika kila mwaka mwezi juni.
KAULI MBIU "PAMOJA HUDUMANI IMARISHA MISIONI YA MUNGU"
Neno kuu: 1 WAKORINTHO 15:58

27/05/2026
16/05/2026
Jana tarehe 15/05/2026 ELCT BUKOBA TOWN HEALTH CENTRE tulikuwa tukisherekea sikukuu ya wafanyakazi na wauguzi Kwa pamoja...
16/05/2026

Jana tarehe 15/05/2026 ELCT BUKOBA TOWN HEALTH CENTRE tulikuwa tukisherekea sikukuu ya wafanyakazi na wauguzi Kwa pamoja.

โ€Ž Karibu Elct Bukoba Town Health Centre
โ€ŽTunatoa huduma bora za afya kwa uhakika na uaminifu ๐Ÿ’™
โ€ŽHuduma zetu ni pamoja na:
โ€Žโœ”๏ธ Uchunguzi wa magonjwa
โ€Žโœ”๏ธ Vipimo vya maabara
โ€Žโœ”๏ธ Huduma ya Ultrasound
โ€Žโœ”๏ธ Ushauri wa afya
โ€Žโœ”๏ธHuduma ya Meno
โ€Žโœ”๏ธHuduma ya macho Kila( jumatatu )
โ€Ž๐Ÿ‘ฉโ€โš•๏ธ Afya yako ni kipaumbele chetu!
โ€Ž๐Ÿ“ Tupo Bukoba Mjini
โ€Ž๐Ÿ“ž Wasiliana nasi: +255710236965 &+255764 236 965

Happy union day Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
26/04/2026

Happy union day Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

โ€Ž๐ŸŒŸ KARIBU ELCT BUKOBA TOWN HEALTH CENTRE ๐ŸŒŸโ€Žโ€ŽAfya yako ni kipaumbele chetu! ๐Ÿ’™Tunatoa huduma bora za afya kwa uangalizi wa...
20/04/2026

โ€Ž๐ŸŒŸ KARIBU ELCT BUKOBA TOWN HEALTH CENTRE ๐ŸŒŸโ€Ž
โ€ŽAfya yako ni kipaumbele chetu! ๐Ÿ’™Tunatoa huduma bora za afya kwa uangalizi wa hali ya juu na wataalamu wenye uzoefu.

Tunapatikana: Bukoba mjini, NBC STREET ROAD
โ€Ž๐Ÿ•’ Tupo wazi kila siku
โ€Ž๐Ÿ“ž Wasiliana nasi:+255710236965 &+255764 236 965
โ€Žkwa huduma na maelezo zaidi.
โ€Ž

Address

NBC Clab Road
Bukoba
35000

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Elct Bukoba Town Health Centre posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share