23/05/2026
1. MASUNDOSUNDO/GENITAL WARTS NI NINI?
Masundosundo (Ge***al warts) ni vipele laini vinavyojitokeza kwenye Maeneo Laini k**a vile SEHEMU ZA SIRI, MAPAJANI, USONI, TUMBONI, MDOMONI
Husababishwa na virusi vinavyoitwa Human Papilloma Virus (HPV)
Ni ugonjwa unaoambukizwa kupitia mawasiliano ya KINGONO, KUGUSANA, KUBUSIANA, KUSHARE SINDANO, NYEMBE
2. SABABU NI NINI?
A. Kufanya ngono bila kutumia kinga (kondomu).
B. Kuwa na wapenzi wengi wa ngono
C. Kugusana moja kwa moja na ngozi iliyo na maambukizi
D. Mfumo wa kinga ya mwili kuwa dhaifu
3. DALILI NI ZIPI?
A. Kuota vipele vidogo au vikubwa kwenye sehemu za siri (ume, uke, au mkundu)
B. Vipele vinaweza kuwa laini au k**a maua ya kolifulawa (cauliflower-like)
C. Kuwashwa sehemu zilizoathirika.
D. Maumivu wakati wa kujamiiana (kwa baadhi ya watu)
E. Wakati mwingine hakuna dalili zozote zinazoonekana
4. MADHARA NI YAPI?
A. Kuenea kwa vipele na kuongezeka kwa ukubwa.
B. Kuambukiza Watu Wengine
C. Msongo wa mawazo au aibu kutokana na hali hiyo
D. Baadhi ya aina za HPV zinaweza kuongeza hatari ya saratani (hasa ya mlango wa kizazi kwa wanawake)
5. KINGA NI ZIPI?
A. Kutumia kondomu kila unapofanya ngono
B. Kupata chanjo ya HPV vaccine
C. Kuepuka kuwa na wapenzi wengi wa ngono
D. Kufanya uchunguzi wa afya mara kwa mara (hasa kwa wanawake – Pap smear)
E. Kudumisha kinga ya mwili kwa lishe bora na maisha yenye afya
6. TIBA/DAWA
Masundosundo/Ge***al Warts INATIBIKA KIRAHISI Kwa Kutumia DAWA MBILI; VIDONGE (Unameza Vikatibu Kuanzia Ndani) CREAM YA KUPAKA (Unapaka Ili Utibu Nje)
1. DAWA YA VIDONGE NI TSH.45,000, VIDONGE VINAENDA KUTIBU KUANZIA NDANI NA KUPANDISHA KINGA ILI WARTS ZISIRUDI TENA
2. DAWA YA KUPAKA NI TSH. 45,000, UNAPAKA KWENYE WARTS
✍️JUMLA YA DOZI NI TSH 90,000/=
📍 Karibu Tukuhudumie, Tunapatikana GOBA NJIA NNE (DAR ES SALAAM) ☎️ 0655-944868
📍Kwa Wakazi Wa DAR ES SALAAM Unaweza Ukafika Ofisini Au Tukakuletea Ulipo, USAFIRI NI BURE NA UTALIPIA DAWA UTAKAPOPOKEA
📍KWA MIKOANI TUNASAFIRISHA KWA BASI, UTARATIBU NI HUU, UNATUMA TSH. 5,000 YA USAFIRI NA HELA YA DAWA TSH. 90,000 UTALIPA UKISHAPOKEA DAWA
MAWASILIANO: ☎️0655-944868 Goba Njia Nne (Dar Es Salaam)