26/06/2026
🌿 UNATAFUTA ILIKI YA KIJANI YA UBORA WA JUU KWA BEI YA USHINDANI?
💰 Bei zinaanzia TSh 62,000 kwa kilo
📞 Piga simu au WhatsApp: 0798 826 188
🎙️ "Je, wewe ni muuzaji wa jumla wa iliki? Msambazaji? Muuzaji wa rejareja? Msafirishaji wa iliki kwenda nje ya nchi? Au unamiliki kiwanda kinachotumia iliki kutengeneza chai, viungo, vinywaji, dawa au bidhaa nyingine? K**a ndiyo... huu ni ujumbe wako."
MAL SPICES INTERNATIONAL ndiyo mshirika unayemhitaji.
Tunakupatia iliki ya kijani daraja la juu, iliyochakatwa kwa viwango vinavyokidhi mahitaji ya soko la ndani na la kimataifa.
Bei zinaanzia TSh 62,000 kwa kilo, kulingana na ukubwa wa oda, na tunapokea oda kuanzia kilo 10 na kuendelea.
Kwa kutumia mitambo ya kisasa yenye uwezo wa kukausha hadi tani 3 za iliki kwa siku, tuna uwezo wa kuhudumia hata oda kubwa kwa haraka, bila kuathiri ubora.
Usinunue iliki tu... nunua ubora, uhakika wa upatikanaji na mshirika wa biashara utakayemtegemea kwa muda mrefu.
📞 Piga simu au WhatsApp 0798 826 188 na uweke oda yako leo.
MAL SPICES INTERNATIONAL
"Premium Green Cardamom for Local & Global Markets."