AFYA Care

AFYA Care Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from AFYA Care, Medical and health, kimara stop over, Dar es Salaam.

Wanawake Wengi wakipata muwasho au uchafu ukeni hukimbilia kununua dawa za fangasi moja kwa moja.‎‎Lakini hapa ndipo wen...
01/06/2026

Wanawake Wengi wakipata muwasho au uchafu ukeni hukimbilia kununua dawa za fangasi moja kwa moja.

‎Lakini hapa ndipo wengi wanapokosea.

‎Sio kila MUWASHO NI FANGASI.

‎Sio kila uchafu wa ukeni ni fangasi. Na sio kila dawa unayonunua dukani ndiyo suluhisho la tatizo lako.

‎Ndiyo maana wanawake wengi hutumia dawa leo, wanapata nafuu kidogo… halafu baada ya wiki chache tatizo linarudi tena.
‎.

‎Dalili zinazoweza kuonekana kwa fangasi ni:
‎✅ Muwasho mkali ukeni
‎✅ Maumivu au kuwaka wakati wa kukojoa
‎✅ Uwekundu au kuvimba sehemu za siri
‎✅ Uchafu mzito mweupe k**a maziwa yaliyoganda

‎Lakini kumbuka, dalili hizi zinaweza kufanana pia na PID, bacterial infection au changamoto nyingine za uzazi.

‎K**a fangasi inajirudia mara kwa mara, hiyo ni ishara kwamba kuna CHANZO CHA NDANI BADO HAKIJAREKEBISHWA vizuri.

‎Ndiyo maana tiba sahihi haipaswi kuangalia dalili pekee... Inapaswa kuangalia kwanini tatizo linaendelea kurudi.

‎Wanawake wengi ninaosaidia huwa walishatumia dawa nyingi kabla,

‎... lakini walipoanza kurekebisha chanzo cha tatizo na afya ya mfumo mzima wa uzazi, ndipo walipoanza kuona nafuu ya kudumu...📌

‎Usizoe kuishi na:
‎❌ Muwasho wa mara kwa mara
‎❌ Uchafu unaorudia
‎❌ Harufu isiyo ya kawaida
‎❌ Maumivu wakati wa tendo

‎Mwili wako unajaribu kukuambia kuna kitu kinahitaji kushughulikiwa kwa usahihi.

‎Je, wewe fangasi au muwasho wa ukeni umewahi kukurudia mara ngapi ndani ya mwaka mmoja? 👇🏽💬

‎📲 Nitumie Ujumbe mfupi Kupitia Wasap: +255(765343998 ) AFYA CARE ushauri binafsi na Msaada Zaidi.


#

AFYA YA UZAZI KWA MWANAMKE
29/05/2026

AFYA YA UZAZI KWA MWANAMKE

‎“Nilikuwa nakonda kila siku… nikidhani ni kawaida. 😔‎Kiungulia, tumbo kuwaka moto, gesi na kukosa hamu ya kula vilikuwa...
18/05/2026

‎“Nilikuwa nakonda kila siku… nikidhani ni kawaida. 😔
‎Kiungulia, tumbo kuwaka moto, gesi na kukosa hamu ya kula vilikuwa sehemu ya maisha yangu kutokana na Acid Reflux.

‎Nilijaribu vitu vingi bila mafanikio ya kudumu mpaka nilipopata mwongozo sahihi wa kitaalamu na kushauriwa kutumia Probiotics kutoka afyacare

‎Taratibu nilianza kuona mabadiliko…
‎✅ Kiungulia kupungua
‎✅ Mfumo wa mmeng’enyo kuwa mzuri
‎✅ Gesi kupungua
‎✅ Hamu ya kula kurudi
‎✅ Mwili kuanza kurudi kwenye hali nzuri

‎Watu wengi wanahangaika na Acid Reflux bila kujua kuwa afya ya utumbo ina mchango mkubwa sana kwenye tatizo hili.

‎Usipuuzie dalili za mwili wako. Pata ushauri sahihi mapema kabla tatizo halijakuwa kubwa zaidi. 🙏

‎📩 K**a unapitia changamoto ya Acid Reflux, H.Pylori, tumbo kuwaka moto au gesi nyingi, Andika neno MSAADA upate mwongozo.

Wasiliana nasi kwa ushauri na tiba sahihi 0765343998

DALILI ZA MVURUGIKO WA HORMONI ZA UZAZI(Hormonal Imbalance)Kutokuwa sawa kwa homoni (hormonal imbalance) katika mfumo wa...
15/05/2026

DALILI ZA MVURUGIKO WA HORMONI ZA UZAZI
(Hormonal Imbalance)

Kutokuwa sawa kwa homoni (hormonal imbalance) katika mfumo wa uzazi wa mwanamke kunaweza kuonyesha dalili mbalimbali, kulingana na homoni gani imeathirika (mfano estrogen, progesterone, prolactin, au homoni za tezi):

DALILI ZAKE
1.Hedhi kuwa irregular:
kuchelewa sana
kuja mara kwa mara
kukosa kabisa
kutoka damu nyingi au kidogo sana
Maumivu makali wakati wa hedhi

2.Kushindwa kupata ujauzito au kuchelewa kushika mimba

3.Kutokwa na damu kati ya hedhi

4.Kubadilika kwa uzito bila sababu wazi

5.kuongezeka sana au kupungua

6.Chunusi nyingi au ngozi kuwa na mafuta kupita kiasi

7.Nywele kuongezeka sehemu zisizo kawaida
kidevuni, kifua, tumboni
(huonekana sana kwenye Polycystic O***y Syndrome)

8.Kupungua kwa hamu ya tendo la ndoa

9.Uchovu wa mara kwa mara

10.Mood swings:hasira,huzuni ,anxiety

9.Kukosa usingizi vizuri

10.Kutokwa maziwa kwenye matiti bila kunyonyesha

11.Uke kuwa mkavu au maumivu wakati wa tendo la ndoa.

UKIWA NA DALILI HIZO NENDA HOSPITALI KWA MATIBABU AU USHAURI.

Wasiliana nasi kwa ushauri na tiba sahihi 0765343998



Natural Cleanser ni bidhaa ya usafi wa mwanamke inayosaidia kutunza maeneo ya siri kwa upole na usafi wa kila siku.♦️ Ku...
13/05/2026

Natural Cleanser ni bidhaa ya usafi wa mwanamke inayosaidia kutunza maeneo ya siri kwa upole na usafi wa kila siku.

♦️ Kusaidia kuondoa uchafu na jasho sehemu za siri
♦️ Kupunguza harufu mbaya
♦️ Kusaidia kuzuia maambukizi yanayotokana na uchafu
♦️ Kusaidia kuleta hali ya freshness siku nzima
♦️ Kusaidia ngozi kujisikia laini na safi
♦️ Kusaidia kuweka uwiano mzuri wa usafi wa uke
♦️ Kutoa faraja na kujiamini kwa mwanamke

Wasiliana nasi kwa ushauri na tiba sahihi 0765343998


⚠️ Povu linalodumu kwa muda mrefu‎K**a povu halipotei haraka, linaweza kuashiria uwepo wa protini nyingi kwenye mkojo (t...
04/05/2026

⚠️ Povu linalodumu kwa muda mrefu
‎K**a povu halipotei haraka, linaweza kuashiria uwepo wa protini nyingi kwenye mkojo (tatizo la figo).

‎✅Maumivu wakati wa kukojoa
‎Hii inaweza kuwa dalili ya maambukizi ya njia ya mkojo (UTI).

‎✅Kukojoa mara kwa mara
‎Hasa ukiwa na hisia ya kuwaka au kuungua.
‎Harufu kali au mabadiliko ya rangi ya mkojo
‎Inaweza kuonyesha maambukizi au upungufu wa maji mwilini.

‎✅Uvimbe wa mwili (miguu, uso au mikono)
‎Dalili muhimu ya tatizo la figo kutokana na kupoteza protini.

‎✅Maumivu ya mgongo chini (eneo la figo)
‎Huashiria matatizo ya figo au maambukizi.

‎✅Uchovu usioelezeka
‎Hasa k**a figo hazifanyi kazi vizuri.

‎✅Kiu kupita kiasi
‎Inaweza kuhusishwa na kisukari au upungufu wa maji.

‎⚠️Sababu zinazoweza kusababisha hali hii
‎♦️ Upungufu wa maji mwilini (dehydration)
‎♦️Protini nyingi kwenye mkojo (proteinuria)
‎♦️Maambukizi ya njia ya mkojo (UTI)
‎♦️Magonjwa ya figo
‎♦️Kisukari kisichodhibitiwa
‎♦️Nitafute kwa Tiba na ushauri wa kitaalamu

Wasiliana nasi kwa ushauri na tiba sahihi 0765343998


01/05/2026



TATUA CHANGAMOTO ZOTE ZA MENO, FIZI KUTOA DAMU NA KUVIMBAWasiliana nasi kwa ushauri na TIBA 0765343998
30/04/2026

TATUA CHANGAMOTO ZOTE ZA MENO, FIZI KUTOA DAMU NA KUVIMBA

Wasiliana nasi kwa ushauri na TIBA 0765343998



ONDOA CHANGAMOTO ZOTE ZA MFUMO WA UZAZI WA MWANAMKE SASA  NA KUWA MAMA SASA MWENYE FURAHA KILA MDAKwa ushauri na tiba pi...
24/04/2026

ONDOA CHANGAMOTO ZOTE ZA MFUMO WA UZAZI WA MWANAMKE SASA NA KUWA MAMA SASA MWENYE FURAHA KILA MDA

Kwa ushauri na tiba piga 0765343998

AFYA YA MWANAMKE
26/03/2026

AFYA YA MWANAMKE


Address

Kimara Stop Over
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when AFYA Care posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share