25/03/2026
⚠️ MAKOSA 5 YANAYOHARIBU MENO YAKO (UNAWEZA KUWA UNAYAFANYA KILA SIKU!) 🦷
Watu wengi huharibu meno yao bila kujua 😳
Angalia k**a unafanya haya makosa 👇
❌ 1. Kupiga mswaki mara 1 tu kwa siku
👉 Unaruhusu bacteria kukaa mdomoni muda mrefu
❌ 2. Kupiga mswaki kwa nguvu sana
👉 Huharibu fizi na kusababisha meno kuwa sensitive
❌ 3. Kutotumia dental floss
👉 Chakula kinabaki katikati ya meno na kusababisha harufu mbaya
❌ 4. Kula vitu vya sukari mara kwa mara
👉 Sukari husababisha kuoza kwa meno (cavities)
❌ 5. Kutoenda dental checkup
👉 Matatizo yanakuwa makubwa bila kujua
✅ Fanya hivi badala yake:
✔️ Piga mswaki mara 2 kwa siku
✔️ Tumia floss
✔️ Fanya checkup kila miezi 6
💥 Royal Dental clinic Tunakusaidia kurudisha afya ya meno yako!
📞 Book appointment yako sasa: 0688840609
📍 Dar Es Salaam
😁 Linda tabasamu lako kabla halijaharibika!