Afya na virutubisho asilia

  • Home
  • Afya na virutubisho asilia

Afya na virutubisho asilia punguza uzito na minyama uzembe ulopitiliza

AMAZING FEEDBACK 🔥🔥🔥
02/07/2022

AMAZING FEEDBACK 🔥🔥🔥

27/06/2022

INAWEZEKANA KABISA CHANGAMOTO HII YA UZITO USIKUJUTE WE WE IAIKAMKUTA JIRANIYAKO,NDUGUYAKO ,MZAZI WAKO
EBU JARIBU KUMSHAURI APATE KUZUIA CHANGAMOTO YA UNENE ULOPITILIZA, KITAMBI, MINYAMA UZEMBE

Usikubali uwe na kitambi a mafutamafuta nyama uzembe SULUHISHO NI FOREVER GARCINIA KIBOKO YA VITAMBI0678930206
23/06/2022

Usikubali uwe na kitambi a mafutamafuta nyama uzembe SULUHISHO NI FOREVER GARCINIA KIBOKO YA VITAMBI
0678930206

FAHAMU NAMNA FOREVER C9 INAFANYA KUPUNGUZA UZITO.🎯 Forever C9 ni program ya awali kabisa ya kudhibiti uzito. Inafanywa k...
23/06/2022

FAHAMU NAMNA FOREVER C9 INAFANYA KUPUNGUZA UZITO.

🎯 Forever C9 ni program ya awali kabisa ya kudhibiti uzito. Inafanywa kwa siku tisa kwa kuzingatia uwiano mzuri wa lishe inayotakiwa kwenye mwili. Kazi yake kubwa ni kusafisha (cleansing/detox) na pia kupunguza uzito kwa kuondoa mafuta ya ziada; na hivyo basi kutengeneza msingi mzuri wa kupunguza na kudhibiti uzito.

🎯 Forever C9 ina mchanganyiko wa vitutubisho vitano k**a ifuatavyo.

1. Forever Aloe Vera gel
🎯 Hii kazi yake ni kusafisha mmeng’enyo wa chakula, kuondoa mafuta yaziada, kuimarisha Kinga ya mwili, kulisha seli na kuimarisha afya ya ngozi.

2. Forever Garcinia plus
🎯 Hii kazi yake kubwa ni kuyeyusha mafuta na kukontro hamu ya kula. Hii hufanya vizuri pale ambapo mtu anafanya mazoezi.

3. Forever Therm
🎯 Hii kazi yake kubwa ni kuwezesha metabolism ya mwili na kuzalisha joto hasa wakati mtu anafanya Mazoezi. Hivyo kuwezesha kuchoma mafuta kiurahisi. Lakini pia inasaidia sana kumpa mtu nguvu na stamina wakati wa kuifanya Forever C9 program.

4. Forever Lite Ultra
🎯 Hii Ni protein shake ambayo imetengenezwa kwa soya na kuongezewa aminotein ambayo hutumika kwa kuchanganya na maji au juice fresh (ingawa kwa matokeo mazuri ya kupunguza uzito itumie na kwa kuchanganya na maji). Hii inamfanya mtu asijisikie njaa wakati wa program kwasababu inakaa tumboni kwa muda mrefu.

5. Forever fiber
🎯 Hii inasaidia sana kwenye mmeng’enyo wa chakula. Ina nyuzi nyuzi nyingi sana kwaajili ya kuhakikisha mmeng’enyo wa chakula haupati shida yoyote k**a vile choo kigumu au kutopata choo, tumbo kujaa gas n.k

Hivi Ndiyo virutubisho vitano vilivyo ndani ya Forever C9. Atakayefanya hii program anauhakika wa kupungua kuanzia kg 3 hadi 8.

Address


Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya na virutubisho asilia posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Afya na virutubisho asilia:

  • Want your business to be the top-listed Health & Beauty Business?

Share