Matatizo_wanawake_hedhi_tendo

  • Home
  • Matatizo_wanawake_hedhi_tendo

Matatizo_wanawake_hedhi_tendo Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Matatizo_wanawake_hedhi_tendo, Medical and health, .

SABABU  zinazoweza kusababisha hedhi ya mwanamke kuchelewa, na nimefanya hivi kwa kutambua kwamba wanawake wengi hufikir...
30/01/2022

SABABU zinazoweza kusababisha hedhi ya mwanamke kuchelewa, na nimefanya hivi kwa kutambua kwamba wanawake wengi hufikiria sababu moja tu endapo hedhi yao itakua imechelewa.

1 . Mimba
Hii ndio sababu ya kwanza kuja kichwani endapo siku za hedhi za mwanamke zitakua zimechelewa. Na inawezekana ukawa sahihi!! Na hii hutokea hata k**a mwanamke alishapata dalili zote za kwamba siku zake za hedhi ziko njiani, ila siku uliyotarajiwa ishuke inakua haishuki.

2 . Msongo wa mawazo.
Msongo wa mawazo huleta madhara katika mwili wa binadamu mara nyingi sana, mfano kuumwa kichwa, kuongezeka uzito, kuota vipele na hata vidonda vya tumbo, na k**a nilivyosema awali , k**a tayari umeshajua kwamba hedhi imechelewa msongo wa mawazo unaoupata kwa kufikiri sababu ni mimba ikiwa haukuwa umeitarajia unaweza kufanya mwili usiwe katika hali yake ya kawaida tena na hivyo kuendelea kusababisha kuchelewa kwa siku za hedhi zaidi na zaidi. Kwenye mwili wa mwanadamu kuna homoni mbili ziitwazo ‘adrenaline na cortisol’.

Hizi hufanya maamuzi kwenye mwili ya kipi kinaumuhimu zaidi ya kingine mpaka msongo wa mawazo utakapokuisha. Mara nyingi homini hizi huamua kuanza kazi katika vitu k**a msukumo wa damu na gesi mapafuni, huku kazi nyingine k**a mmeng’enyo wa chakula na mfumo wa kizazi kufuatia baadae na hivyo hata hedhi itachelewa kushuka k**a tatizo ndio hilo.

3 . Ugonjwa
Ugonjwa wowote unaweza sababisha hedhi kuchelewa kwa hedhi, hata k**a ni mafua au malaria. Ugonjwa uliona kwa wakati huo utakua ni kipaumbele cha kila homini mwilini mwako kuundoa k**a nilivyoelezea hapo juu kwa homoni zako kutoa kipaumbele kwa mifumo muhimu zaidi ya kizazi kwa wakati huo.

4 . Kubadilisha mazingira.
Kubadili mazingira kwa hapa naamaani chochote kile ulichokua unafanya zamani, ukakicha ghafla mfano ulikua unaishi sehemu ya baridi ukahamia yenye joto na kinyume chake, au kusafiri muda mrefu, k**a ulikua unafanya kazi usiku tu ukaanza kufanya kazi
KWA MAWASILIANO ZAIDI
☎️0656608552

Wanawake wengi wana Tatizo la Kukosa hedhiKukosa hedhi au kubadilika kwa mzunguko wa hedhi inaweza kuwa tatizo kubwa kul...
30/01/2022

Wanawake wengi wana Tatizo la Kukosa hedhi
Kukosa hedhi au kubadilika kwa mzunguko wa hedhi inaweza kuwa tatizo kubwa kulitatua. Kwasababu hedhi ndio kiashiria chema kuonesha hadhi ya mwanamke. K**a ukikosa hedhi lazima utaanza kupata msongo wa mawazo na kukosa amani.

Kukosa hedhi na kuvurugika kwa mpangilio wa hedhi huwakumba wanawake wengi sana kwa sasa hasa kutokana na mitindo ya maisha inayopelekea kuvurugika kwa homoni za k**e.

Mpangilio wa hedhi unaratibiwa na vichocheo kutoka kwenye tezi na ubongo, kwa hivo ni muhimu kurekebisha mtindo wa maisha unaovuruga homoni zako na kukupelekea kuvurugika kwa hedhi.

Kwa mawasiliano zaidi
PIGA,SMS,WHATSUP
☎️0656608552

29/01/2022
Umehangaika hospitali nyingi sana kuhusu mwanao kusumbua kulaSULUHISHO lipoWasiliana nasi☎️0656608552
29/01/2022

Umehangaika hospitali nyingi sana kuhusu mwanao kusumbua kula
SULUHISHO lipo
Wasiliana nasi☎️0656608552

Afya YAKO ndio mtaji wakooMwanamke usikae na tatizo bila kupata suluhisho Tibu tatizo lako kupitia virutubisho🔥🔥🔥BIDHAA ...
29/01/2022

Afya YAKO ndio mtaji wakoo
Mwanamke usikae na tatizo bila kupata suluhisho
Tibu tatizo lako kupitia virutubisho🔥🔥🔥

BIDHAA ZETU SIO DAWA NI VIRUTUBISHO VYA VYAKULA MBALI MBALI

KWA maelezo zaidi wasiliana nasi
☎️0656608552

Address


Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Matatizo_wanawake_hedhi_tendo posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

  • Want your business to be the top-listed Health & Beauty Business?

Share