Mtetezi Herbals

Mtetezi Herbals Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Mtetezi Herbals, Medical and health, 255, Dar es Salaam.

Rudisha Ufalme Wako na Heshima ya Ndoa

Tunatoa suluhisho la uhakika kwa Changamoto za Kiume (Nguvu, Hamu & Udhibiti)

Tiba asilia kwa mwanaume anayetawala

Call/WhatsApp: 0782531851

Dawa Za Asili
25/05/2026

Dawa Za Asili

24/05/2026

Siyo Dhambi Kupaka Kasongo...

Ila Ipo Bora Zaidi Ya Kasongo 💪 Yani Ni Uzima Wa Milele..

Unajua Jina Lake?!Ulishawahi Kutumia?!Taja Faida Tatu Juu Ya Mti Huu?!Hivi Unajua Kuwa Ni Dawa Kubwa Sana?!
23/05/2026

Unajua Jina Lake?!

Ulishawahi Kutumia?!

Taja Faida Tatu Juu Ya Mti Huu?!

Hivi Unajua Kuwa Ni Dawa Kubwa Sana?!

Unahitajia Dawa Gani ?!
23/05/2026

Unahitajia Dawa Gani ?!

23/05/2026

Wanaume Wengi Hawasemi Wanachopitia… 🤫

​Usiku wakilala, miili yao ipo kitandani lakini mioyo yao imejaa majeraha mazito ya siri.

​Fikiria upo na mwanamke mzuri, mrembo, na unayevutiwa naye kwa kila kitu... Lakini unapofika wakati wa kuonyesha UUME na USHUJAA wako, jitihada zako zinagonga mwamba!
​↳ Uume hausimami ipasavyo (kulegea).

Ukisimama, haukawii kabisa.

↳ Dakika chache tu… kila kitu kimeshaisha.

↳ Kujiamini kunapotea, na Heshima yako k**a mwanaume inatetereka.

​Unabaki na maumivu ya nafsi, huku ukijiuliza kwa unyonge: “Tatizo langu ni nini? Ni punyeto? Ni msongo wa mawazo? Ni lishe? Au ndio nimeshaharibika kabisa?”

​Kila unapojaribu kujitetea na kuomba "mechi" isogezwe mbele, unakutana na yale yale.

Unatafuta ushauri mtandaoni, unaishia kupigwa pesa na kupewa ahadi hewa bila suluhisho la kudumu.

​Wanawake wanaanza kukudharau kimyakimya...

Bro, POLE SANA. Maumivu yako yanajulikana, lakini USIHOFU.

Hii Ndiyo Njia ya Ukombozi Wako: Nguzo 5 za Kurudisha Urijali

​Huna haja ya kukata tamaa. Zifuatazo ni nguzo kuu 5 zitakazokurudisha kwenye kiti chako cha enzi:

​1. Saikolojia na Ushauri (Counseling):

@ Wakati mwingine mwili hauna shida, ila hofu ya kufeli (performance anxiety) imeteka akili yako. Unahitaji kujenga upya saikolojia ya kiume.

​2. Elimu ya Mfumo wa Uzazi:

Lazima uelewe jinsi misuli ya uume na mishipa ya damu inavyofanya kazi. Usimamizi thabiti unaanza na ufahamu wa mwili wako.

​3. Lishe na Tiba Lishe Maalum:

Hapa ndipo siri ilipo. Unahitaji lishe ya kuamsha homoni za kiume (Testosterone), kuongeza uzalishaji wa mbegu, na kupandisha hamu ya tendo (Libido) ili uweze kurudia show kwa muda mrefu.

​4. Tiba ya Kiroho na Kubadili Mitindo:

Fanya ibada, muombe Mungu, na achana kabisa na tabia zinazoharibu nguvu za akili na mwili k**a punyeto na picha za ngono. Linda uanaume wako.

​5. Kuchukua Hatua Bila Aibu: 🤝 Amua leo kushirikiana na wataalamu unaowaamini. Futa aibu, uanaume wako ndio heshima yako.

​Umechoka kujiuliza "Nifanyeje?"
Jibu ni rahisi: Imarisha mfumo wako wa uzazi, rekebisha homoni, jenga saikolojia yako, na ubadilishe mtindo wa maisha.

​THEN BOOM...!! 👊

Unarudi kuwa imara, mwenye kujiamini, na MWANAMU ME RIJALI anayeheshimika!

23/04/2026
20/04/2026

Ujumbe Kwa Wanaume: Siri Ya Ndoa Kutulia...Ni M🔪

​Ndoa Siyo Tu Kula Na Kuvaa; Ndoa Ni Kuridhishana. Sheikh Ameweka Wazi Kuwa Mwanamke Akipata Haki Yake Ipasavyo, Hata Changamoto Ndogondogo Za Maisha Hazitamfanya Ayumbe. Mwanaume, Jukumu Lako Ni Kuhakikisha Msumari Unapigwa Vilivyo Ili Mwanamke Atulie Ndani Ya Nyumba.

​Mwanaume Simama Kwenye Nafasi Yako, Msumari Upigwe Ndoa Itulie!

Au Mnasemaje?!

19/04/2026

Msikilize Jamaa Anavyo Mwambia Bwana Harusi....

Je Nawewe Unaitaji Kasongo Katika Jambo Lako K**a Bwana Harusi?!😂

19/04/2026

Umesikia Vizuri?!

Je Nawewe Unahitajia Kasongo Katika Jambo Lako K**a Bwana Harusi?!😂

Je, Unajua Ni 'Majani' Mangapi Mzazi Wako Ameshikilia Kwa Mdomo Wake Ili Wewe Ufike Hapo Ulipo Leo?"
18/04/2026

Je, Unajua Ni 'Majani' Mangapi Mzazi Wako Ameshikilia Kwa Mdomo Wake Ili Wewe Ufike Hapo Ulipo Leo?"

Address

255
Dar Es Salaam
255

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mtetezi Herbals posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share