Afya herbal clinic

Afya herbal clinic Tunatoa elimu ya afya, ushauri wa kitabibu na tiba asili zilizo salama 🌱
👉 Afya yako ni kipaumbele chetu
📞 Wasiliana nasi kwa ushauri 0793240637

16/06/2026

Je, unajua kuwa Deep Sea Fish Oil hutengenezwa kwa mafuta safi yanayotolewa kutoka kwenye samaki wanaopatikana kwenye kina kirefu cha bahari🐟

✨ Hutengenezwa kwa viwango vya kimataifa
✔ Samaki bora wa bahari kuu
✔ Kusafishwa kwa teknolojia ya kisasa
✔ Hakuna kemikali hatarishi
✔ Inahifadhi virutubisho muhimu vya Omega 3 (EPA & DHA)

💪 FAIDA ZAKE KWA MWILI
✅ Huimarisha afya ya moyo na kupunguza hatari ya presha
✅ Huboresha kumbukumbu, umakini na afya ya ubongo 🧠
✅ Hupunguza maumivu ya viungo na magoti 🦴
✅ Husaidia Afya ya mama mjamzito na mtoto
✅ Huongeza kinga ya mwili 🛡️
✅ Husaidia afya ya ngozi na nywele ✨
✅ Hupunguza uchovu na stress ya mwili

📩 Wasiliana nasi sasa upate Deep Sea Fish Oil Soft Capsule asilia kwa afya bora na maisha yenye nguvu

16/06/2026

Antilipemic Tea ni chai ya asili iliyotengenezwa kwa mchanganyiko makini wa mimea bora ya tiba kutoka kwenye asili 🌱.

Chai hii huandaliwa kwa kutumia viungo k**a green tea, lotus leaf, cassia seed, gynostemma na mimea mingine ya asili inayojulikana kwa kusaidia kudhibiti mafuta mwilini na kuboresha afya kwa ujumla.

Viungo hivi hukusanywa, kukaushwa kwa viwango sahihi kisha kuchakatwa kwa njia salama ili kuhifadhi virutubisho vyake vyote muhimu. Hatimaye huwekwa kwenye pakiti ndogo tayari kwa matumizi rahisi nyumbani au kazini.

💪 FAIDA ZA ANTILIPEMIC TEA
✔️ Husaidia kupunguza mafuta yaliyozidi mwilini
✔️ Huboresha mfumo wa mmeng’enyo wa chakula
✔️ Husaidia kusafisha sumu (detox) mwilini
✔️ Huchangia kupunguza uzito kwa njia ya asili
✔️ Huboresha mzunguko wa damu
✔️ Husaidia kudhibiti joto la mwili
✔️ Huchangia afya ya tumbo, bandama na ini
✔️ Hupunguza hatari ya magonjwa yatokanayo na mafuta mengi mwilini

🍵 MATUMIZI
Tumia pakiti moja ya chai kwenye kikombe cha maji ya moto,Inashauriwa kunywa mara 2 kwa siku, hasa baada ya kula.

Antilipemic Tea ni chaguo sahihi kwa mtu yeyote anayejali mwili wake na maisha yenye ubora.

BAWASIRI ni uvimbe unaoota ndani na/au kuzunguka tundu la kutolea haja kubwa.Kuna Aina Ngapi Za Bawasiri?👁Bawasiri za nd...
22/05/2026

BAWASIRI ni uvimbe unaoota ndani na/au kuzunguka tundu la kutolea haja kubwa.

Kuna Aina Ngapi Za Bawasiri?
👁Bawasiri za ndani (Internal piles) ni zile zinazotokea kwenye eneo la ndani lililo zaidi ya sentimenta 2-3 kutoka kwenye tundu la kutolea kinyesi – kwenye eneo la juu la a**l ca**l. Bawasiri za ndani kwa kawaida hazina maumivu kwa sababu sehemu ya juu ya a**l ca**l haina nyuzi za neva za maumivu.
👁Bawasiri za nje (Exteranl piles) ni zile zinazotokea kwenye eneo lililo chini yake, eneo la chini la a**l ca**l. Bawasiri za nje zaweza kuwa na maumivu kwa sababu eneo la chini la a**l ca**l lina uwingi wa nyuzi za neva za maumivu.
👁Watu wengine huwa na bawasiri za ndani na bawasiri za nje kwa wakati mmoja.

CHANZO CHA TATIZO
~chanzo halisi cha ugonjwa huu ni ongezeko la presha katika utumbo mkubwa. Ongezeko hili la presha linasababishwa na vitu vifuatavyo:
👉TATIZO LA KUTOPATA CHOO AU KUA NA CHOO KIGUMU
👉KUKAA KITAKO KWA MUDA MREFU
👉UZITO KUPITA KIASI
👉MFUMO MBAYA WA LISHE
👉UJAUZITO
DALILI ZA BAWASIRI
👉Ngozi kuwasha katika eneo la haja kubwa
👉kupata maumivu makali wakati wa kujisaidia
👉kutokea uvimbe katika eneo la haja kubwa
👉kujitokeza kwa kinyama
👉kinyesi kuwa na damu na kunuka harufu mbaya sana

MADHARA YA TATIZO LA BAWASIRI
👉kupata upungufu wa damu (anemia)
👉Kupata tatizo la kutokuweza kuhimil choo
👉hupunguza nguvu za kiume na kuondoa hamu ya tendo la ndoa kwa wanawake na wanaume.
👉kukosa morali ya kufanya Kaz kutokana na maumivu makali
👉Kuna uwezekano mkubwa wa kupata saratani ya UTUMBO MKUBWA (CANCER) kwa sababu kile kinyama kinakaa K**a kidonda.,,
TIBA
HERBAL HEMORRHOIDS SPRAY NI DAWA YA ASILI YA MITISHAMBA INAYOSAIDIA KUPAMBANA NA BAWASIRI,
IMETENGENEZWA KWA VIAMBATA VYA ASILI KWA 100%,
✅INAONDOA PRESHA KUBWA KWENYE MISHIPA YA DAMU YA SEHEMU YA HAJA KUBWA
✅ HUSAIDIA KUREKEBISHA MFUMO WA MMENG'ENYO WA CHAKULA.
✅HUONDOA MAUMIVU MAKALI NDANI YA MUDA MFUPI SANA,
✅HUKATA DAMU INAYOTOKA HARAKA,
✅HUONDOA MUWASHO MKALI
✅ HUONDOA UVIMBE MKUBWA NA MDOGO
✅HUMALIZA KABISA TATIZO LA CHOO KIGUMU
✅HUTIBU WALIOFANYIWA UPASUAJI NA TATIZO LIKARUDI TENA
✅HUREKEBISHA MMENG'ENYO WA CHAKULA

13/05/2026

NDANI YA WEEK TATU TU UNAENDA KUWA MAMA KIJACHO HAIJALISHI UNA;
- UVIMBE (fibroids, mayoma,ovarian cysts,uvimbe maji )unatibika wote bila operation
- ⁠Mirija kuziba au kujaa maji
- ⁠homoni imbalance (huoni siku zako, unapata hedhi ndefu au kubleedmabongemabonge ,kupata dalili za ujauzito na ukipima hakuna)
- ⁠mimba kuharibika
- ⁠PID(maambukizi kwenye via vya uzazi)
- ⁠hauna mbegu za kitosha
- ⁠na changamoto zote za uzazi suluhisho lako liko hapa

K**a una dalili za changamoto tajwa hapo juu na nyingine nyingi, wasiliana nasi sasahivi kwa suluhisho la kudumu kwani;

✅️ Utafanya vipimo vya mfumo mzima wa uzazi ili kufahamu changamoto yako vizuri kwa thamani ndogo ya tsh 30,000 tu! Ndio ni tsh elfu thelathini tu (pasipo vipimo sahihi ni sawa na kuotea ugonjwa tu).

✅️ Utapata matibabu sahihi kutokana na majibu ya vipimo vya uzazi utakavyofanya.

Sisi ni daraja la afya yako njema ya uzazi, Mungu unayemuamini azidi kukupa afya njema wewe na uzao wako.

SASA KUPATA SULUHISHO JUU YA CHANGAMOTO .

Wasiliana nasi kupitia Namba hii 0793240637

13/05/2026
13/05/2026

Wanawake wengi wana vipaji vikubwa sana lakini wanakosa opportunity sahihi ya kuonesha uwezo wao 😔

Mimi nilipopata nafasi ndani ya ETERNAL INTERNATIONAL maisha yangu yamebadilika kwa kiwango kikubwa sana. Leo nina uhuru wa kipato, uhuru wa muda, na ninafanya kazi ninayoifurahia kila siku 💖

Ningependa na wewe upate nafasi hii ya kujijenga, kujiongeza kipato na kutimiza ndoto zako bila kuathiri majukumu yako ya kila siku 😊

K**a uko tayari kujaribu kitu kitakachoweza kubadili maisha yako, niambie tu nikuelekeze dada yangu 🌹 kwa mawasiliano [0793240637]

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya herbal clinic posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share