06/08/2026
Tunataka watoto wetu wawe na umakini darasani.
Ndiyo maana tunafanya kila kitu kuhakikisha wanapata elimu nzuri.
Lakini mara nyingi kuna jambo moja linalobaki nyuma...
Breakfast.
Asubuhi zikiwa na haraka, breakfast huwa haizingatiwi mara nyingi kwa sababu muda unakuwa hautoshi...
Na tunategemea mtoto aanze siku akiwa tayari kujifunza wakati hatujazimgatia ulaji wake kabla hajaingia darasani.
Ndiyo maana niliandaa Brain Breakfast Kit.
Ndani yake utapata mawazo ya breakfast rahisi, zinazotumia vyakula vinavyopatikana kirahisi na zinazokupa mwongozo mzuri ili usibahatike kila siku asubuhi.
📞 0620 495 396
Andika BREAKFAST kwenye WhatsApp nikutumie maelezo ya Brain Breakfast Kit.