02/08/2026
βοΈSOMA CAPTION KWA SEC 15 TU
Kipindi naanza Kutengeneza Content Kuna Vitu 2 Vilinipa Ugumu sana na Vinaweza Kukurudisha nyuma pia
1. nilikuwa nawaza watu watanionaje, Lakini niligundua hata ukilala njaa ni siri yako na Hakuna anae jali
2. nilizani nahitaji Vitu Vingi, Kumbe ni Ujuzi wa kuanzia Mengine Unayakuta mbele
Kwa sasa Mtazamo wangu umebadilika sana, Lakini Ulishawai Kujua CONTENT SINALIPAJE?