Emmy Cosmetics

Emmy Cosmetics Huduma bora za vipodozi vya ngozi
🌿 Safi • Salama • Inaonekana
📦 Tunasafirisha popote
📩 0684465137 au Tuma ujumbe dm kuweka oda👇

Tunafanya delivery na mikoani tunatuma kwa uwaminifu mkubwa sana✅
20/05/2026

Tunafanya delivery na mikoani tunatuma kwa uwaminifu mkubwa sana✅

19/05/2026

Feerback za wateja wetu walio tumia hii set 🔥🔥🔥🔥🙌🙌

18/05/2026
16/05/2026

Glow ya ukweli inaanzia kwenye skincare sahihi ✨
Face Cream ya Novara + Sunscreen ya Estelin + Ceramide Serum = combo ya ngozi yenye afya, soft na glowing all day 💛
Usikose set yako leo 🤍

04/05/2026

Kuna set ukitumia kung’aa sio ombi ni lazima 🔥🔥🔥🔥🔥

Kuna set ukitumia swala la kupendeza sio ombii ni lazima mahi wangu
02/05/2026

Kuna set ukitumia swala la kupendeza sio ombii ni lazima mahi wangu

28/04/2026

Emmy cosmetic nyumba ya vipodozi bora na orginal

**“Seti kamili ya kung’arisha na kutunza ngozi yako 💛✨ Novara Face Cream – kwa kulainisha na kurejesha uhai wa ngozi✨ Se...
25/04/2026

**“Seti kamili ya kung’arisha na kutunza ngozi yako 💛
✨ Novara Face Cream – kwa kulainisha na kurejesha uhai wa ngozi
✨ Serum (day & night) – kusaidia kung’arisha na kuondoa mabaka
✨ Sunscreen SPF 80 – kinga dhidi ya jua kali na kuzuia kuharibika kwa ngozi
✨ Finesse Glow Carrot Cream – kuongeza mwanga wa asili wa ngozi
✨ Belle Vie Soap – kusafisha na kuondoa uchafu kwa undani

Ngozi safi, laini na yenye glow ya kuvutia kila siku 🌟
Anza routine yako sahihi leo!”**

24/04/2026

**“Pigana na melasma kwa njia sahihi 💯
Tumia mchanganyiko sahihi wa skincare:
✨ Novara Face Cream – hupunguza madoa
💧 Ceramide Serum – hulinda na kurekebisha ngozi
☀️ Estelin Sunscreen – huzuia kurudi kwa melasma

Ngozi safi, yenye afya na inayong’aa inaanza na utaratibu sahihi 💖
Anza leo uone tofauti!”**

23/04/2026

“Glow ya ukweli inaanzia kwenye care sahihi ✨💚

Address

Mbagala Zakheem
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Emmy Cosmetics posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share