Afya bora na salama

Afya bora na salama pata suluhisho la changamoto ya ugonjwa wako

HUDUMA BORA KWA AFYA YAKO      NA YENYE VIWANGO.🔍 Kwa kutumia Magnetic Analyzer ya kisasaTunapima mifumo yote ya mwili, ...
02/05/2026

HUDUMA BORA KWA AFYA YAKO
NA YENYE VIWANGO.
🔍 Kwa kutumia Magnetic Analyzer ya kisasa
Tunapima mifumo yote ya mwili, ikiwemo:
🧠 Mfumo wa fahamu (Neva)
❤️ Mfumo wa moyo na mzunguko wa damu
🫁 Mfumo wa upumuaji (mapafu)
🍽 Mfumo wa mmeng’enyo wa chakula
🧬 Mfumo wa homoni
🩸 Mfumo wa damu
🦴 Mfumo wa mifupa na viungo
🧫 Mfumo wa figo na ini
🛡 Mfumo wa kinga ya mwili
🧠 Mfumo wa ubongo
🧪 Mfumo wa kimetaboliki
🩺 Mfumo wa uzazi (wanaume & wanawake)
🦠 Magonjwa/Matatizo yanayogundulika kwa Magnetic Analyzer:
✔ Kisukari (Diabetes)
✔ Presha (BP)
✔ Magonjwa ya moyo
✔ Shida za figo
✔ Shida za ini
✔ Upungufu wa damu (Anemia)
✔ Cholesterol nyingi
✔ Asidi nyingi mwilini
✔ Vidonda vya tumbo / gesi / acid reflux
✔ Shida za mmeng’enyo wa chakula
✔ Shida za homoni
✔ Shida za uzazi
✔ Maumivu ya mgongo na viungo
✔ Shida za mfumo wa fahamu
✔ Kinga dhaifu ya mwili
✔ Shida za mzunguko wa damu
✔ Matatizo ya kimetaboliki
✔ Dalili za magonjwa sugu
💊 Pia tunatoa ushauri wa kitaalamu na tiba kwa njia rahisi, salama na rafiki kwa mwili, kulingana na majibu ya vipimo.
(Tiba hutolewa kwa ushauri wa kitaalamu kulingana na hali ya mgonjwa)
👨‍⚕️ Kumuona Daktari ni BURE.
Tunapatikana nchi nzima.
📲 Wasiliana nasi: 0758674621

VIPIMO VYA MWILI MZIMA kwa 20,000 TSH tu!+ Kuonana na Daktari BURE!+ Ushauri wa kiafya BURE!+ Punguzo la 10% kwa dawa!+ ...
01/05/2026

VIPIMO VYA MWILI MZIMA kwa 20,000 TSH tu!
+ Kuonana na Daktari BURE!
+ Ushauri wa kiafya BURE!
+ Punguzo la 10% kwa dawa!
+ Huduma za ziada zikiwemo!
+ Huduma ya kuondoa Sumu mwilini kwa Mashine za kisasa
+ Huduma ya masaji inapatikana pia,

Kwa nini usafiri hadi nje ya nchi kutafuta tiba, wakati sasa wataalam bingwa wa afya wapo TANZANIA, wakitoa huduma bora kwa kutumia virutubisho asilia vinavyosaidia mwili kujijenga na kupona?

GCAT INTERNATIONAL HOSPITAL sasa ipo karibu yako, ikiwa na matawi mengi nchi nzima!
Tunatibu kwa umahiri magonjwa yasiyoambukiza k**a:

Vidonda vya tumbo

Shinikizo la damu

Kisukari

Tezi dume

Moyo, figo na ini

Gazi na miguu kuwaka moto

Matatizo ya macho, meno, kinywa

U.T.I sugu, PID, Typhoid

Matatizo ya ngozi

Magonjwa ya mgongo, kupooza/stroke

Afya ya uzazi kwa wanawake na wanaume..na mengine mengi!

Usikubali mateso ya ugonjwa yaendelee. Fika GCAT leo, pata tiba yenye suluhisho la kudumu!
Wasiliana nasi kupitia
0758674621

🟢 JISAFISHE MWILI KWA NJIA YA ASILI (DETOX )Unajisikia kuchoka mara kwa mara?Ngozi ina matatizo?Tumbo halipo sawa?👉 Hizi...
25/04/2026

🟢 JISAFISHE MWILI KWA NJIA YA ASILI (DETOX )

Unajisikia kuchoka mara kwa mara?
Ngozi ina matatizo?
Tumbo halipo sawa?

👉 Hizi zinaweza kuwa dalili za mwili kuhitaji kujisafisha!

✨ FUATA HATUA HIZI RAHISI:

🍋 Anza siku na maji ya uvuguvugu + ndimu

🥗 Kula matunda na mboga za majani kwa wingi

💧 Kunywa maji ya kutosha kila siku

😴 Pata usingizi wa kutosha

🚫 EPUKA:
❌ Vyakula vya mafuta mengi

❌ Sukari kupita kiasi

❌ Soda na vyakula vya dukani

❌ Pombe na sigara

🌿 FAIDA ZAKE:
✔️ Huongeza nguvu mwilini

✔️ Huboresha mmeng’enyo wa chakula

✔️ Husaidia ngozi kung’aa

✔️ Hupunguza uchovu na gesi tumboni

⚠️ USHAURI:
Kwa matokeo bora zaidi, pata ushauri wa kitaalamu wa afya.

📍 ETERNAL INTERNATIONAL HEALTH CARE
📞 0758674621

👉 Afya bora maisha SALAMA.

Karibu nikuhudumie,0758674621
25/04/2026

Karibu nikuhudumie,
0758674621

VIPIMO VYA MWILI MZIMA – Tsh 20,000 TU🔍 Kwa kutumia Magnetic Analyzer ya kisasaTunapima mifumo yote ya mwili, ikiwemo:🧠 ...
11/04/2026

VIPIMO VYA MWILI MZIMA – Tsh 20,000 TU
🔍 Kwa kutumia Magnetic Analyzer ya kisasa
Tunapima mifumo yote ya mwili, ikiwemo:
🧠 Mfumo wa fahamu (Neva)
❤️ Mfumo wa moyo na mzunguko wa damu
🫁 Mfumo wa upumuaji (mapafu)
🍽 Mfumo wa mmeng’enyo wa chakula
🧬 Mfumo wa homoni
🩸 Mfumo wa damu
🦴 Mfumo wa mifupa na viungo
🧫 Mfumo wa figo na ini
🛡 Mfumo wa kinga ya mwili
🧠 Mfumo wa ubongo
🧪 Mfumo wa kimetaboliki
🩺 Mfumo wa uzazi (wanaume & wanawake)
🦠 Magonjwa/Matatizo yanayogundulika kwa Magnetic Analyzer:
✔ Kisukari (Diabetes)
✔ Presha (BP)
✔ Magonjwa ya moyo
✔ Shida za figo
✔ Shida za ini
✔ Upungufu wa damu (Anemia)
✔ Cholesterol nyingi
✔ Asidi nyingi mwilini
✔ Vidonda vya tumbo / gesi / acid reflux
✔ Shida za mmeng’enyo wa chakula
✔ Shida za homoni
✔ Shida za uzazi
✔ Maumivu ya mgongo na viungo
✔ Shida za mfumo wa fahamu
✔ Kinga dhaifu ya mwili
✔ Shida za mzunguko wa damu
✔ Matatizo ya kimetaboliki
✔ Dalili za magonjwa sugu
💊 Pia tunatoa ushauri wa kitaalamu na tiba kwa njia rahisi, salama na rafiki kwa mwili, kulingana na majibu ya vipimo.
(Tiba hutolewa kwa ushauri wa kitaalamu kulingana na hali ya mgonjwa)
👨‍⚕️ Kumuona Daktari ni BURE – Ofa ya wiki hii tu!
📲 Wasiliana nasi WhatsApp: 0758674621

VIPIMO MUHIMU KWA MWANAMKE NA MWANAUME  ANAYETAFUTA MTOTO 🤰🏽Wanawake wengi huzunguka hospitali bila kufanyiwa uchunguzi ...
01/04/2026

VIPIMO MUHIMU KWA MWANAMKE NA MWANAUME ANAYETAFUTA MTOTO 🤰🏽

Wanawake wengi huzunguka hospitali bila kufanyiwa uchunguzi kamili…
Au mume hajafanyiwa hata kipimo kimoja.
Hapo unateseka miaka — bila kujua chanzo halisi 🙃

📌Hivi ndivyo vipimo vya msingi unapopaswa kufanya, FANYA KUSAVE KABISA post Hii Ili kujikumbushia Kwa Baadae Ukisahau:

1️⃣ ULTRASOUND ya via vya uzazi
Inatuonesha kizazi, mfuko wa mayai, uvimbe, mirija, na hali ya jumla ya mfumo wa uzazi.

2️⃣ Vipimo vya kuonesha MAYAI KUPATWA / KUPEVUKA
Progesterone siku 7 kabla ya hedhi inayofuata, au OPK nyumbani.

3️⃣ Vipimo vya AKIBA YA MAYAI
AMH + FSH kutathmini uwezo wa mayai na kiwango cha kushuka kwake kadri muda unavyosonga.

4️⃣ Uchunguzi wa MIRIJIA (HSG)
Hapa tunajua k**a mirija imeziba au iko wazi.

5️⃣ Vipimo vya HOMONI
Kwa wanawake wenye mzunguko usioeleweka, kukosa hedhi, kutoa maziwa, uke mkavu, au kupoteza hamu ya tendo; tunapima Estrogen, Progesterone, LH, FSH, Prolactin, n.k.

6️⃣ Vipimo vya MBEGU ZA KIUME
Safari ya ujauzito ni ya WAWILI.
Mpenzi/mume naye apime s***m count, morphology na motility.
Usiibebe peke yako Mateso/ lawama zote za Kukosa Ujauzito ✋🏽

---Vipimo hivi utapima Kwa Ofa ya
Tsh 30,000/= kwakua watu wengi wanasumbuliwa na changamoto za uzazi wai mapema.

KOSA KUBWA WANAWAKE WENGI HUFANYA:
Kupima peke yao bila mume… au kufanya vipimo visivyo sahihi halafu wanahangaika miaka bila mafanikio.

---

🔐 Sasa hapa ndipo siri ya mafanikio inapoanzia…

Kwa wanawake na wanandoa waliopitia matibabu mengi bila kufanikiwa, waliochoka kuambiwa “SUBIRI TU”, waliozunguka bila majibu—

GCAT ETERNAL HERBAL CLINIC imekuwa ni tumaini na msahada Kwa wenye changamoto zote za uzazi.

Ni tiba inayoshambulia chanzo cha tatizo:
✔️ Humaliza fangasi/maambukizi yanayorudiarudia
✔️ Hurekebisha homoni
✔️ Hufungua na Kubalance mzunguko Wa Hedhi
✔️ Huongeza idadi & ubora wa mayai
✔️ Huandaa mwili kupokea na kutunza mimba ndani ya 30–90 days kulingana na hatua ya tatizo

Matokeo yake?
Wanawake waliokuwa wanaitwa “MGUMBA” leo ni mama wa mtoto.

Wanandoa waliokuwa na maumivu… sasa wanashukuru Mungu 🙏🏾

Dozi utegemea ukubwa wa changamoto yako.
baada ya kupata majibu ya vipimo.

Tunapatikana dar es salaam, visiwani na mikoa yote Tanzania

Kwa mawasiliano O758674621

ACHA KUUITA UGONJWA WAKO, ACHA KUSEMA UMESHINDIKANA, NJOO USAIDIWE...🧄Umetibiwa wapi na nani mpaka ufikie hatua ya kukat...
23/03/2026

ACHA KUUITA UGONJWA WAKO, ACHA KUSEMA UMESHINDIKANA, NJOO USAIDIWE...

🧄Umetibiwa wapi na nani mpaka ufikie hatua ya kukata tamaa?

🫚Mbona wenye shida k**a zako WAMEPONA na WAMERUDI kutimiza ndoto zao?

🥦GCAT INTERNATIONAL ni hospital za kichina zinazopatikana karibu mikoa yote Tanzania.

🥥Tumebobea Katika TAFITI NA KUTIBU magonjwa YASIYOAMBUKIZA kwa njia ya VIRUTUBISHO MAALUMU Vinavyotokana na mimea ya asili. Ni hospital pekee nchini tanzania iliyojipambanua kupambana na magonjwa yasiambukiza.

🥭Usikubali kuendelea kuhangaika njoo tukusaidie na wala hatujaribu tunaweza amini tumesaidia wengi wenye matatizo k**a yako.

🥑KARIBU uKutane na Wataalamu waliobobea kwenye Masuala ya Matibabu Kutoka China.

🥕Mfano wa magonjwa yasiyoambukiza ni k**a vile:

✓ matatizo ya Uzazi Kwa wanaume na Wanawake
√ Vidonda vya Tumbo na Typhoid sugu.
√ Mifupa, Ganzi. Na Meno
√ Stroke au kupalalaizi.
√ Magonjwa ya Moyo na Figo
√ Bawasiri na Tezidume
√ Ngiri na Uvimbe aina zote.
√ Matatizo ya Ngozi
√ KISUKARI, Presha ( BP), P I D, matatizo ya Macho N.K

Bonyeza Alama ya WhatsApp hapo Chini ili kuwasiliana na Daktar Bingwa Moja kwa moja.
Au Tupigie. 0753299459Bonyeza hii link kuingia WhatsApp 👇ACHA KUUITA UGONJWA WAKO, ACHA KUSEMA UMESHINDIKA, NJOO USAIDIWE...

🧄Umetibiwa wapi na nani mpaka ufikie hatua ya kukata tamaa?

🫚Mbona wenye shida k**a zako WAMEPONA na WAMERUDI kutimiza ndoto zao?

🥦GCAT INTERNATIONAL ni hospital za kichina zinazopatikana karibu mikoa Tanzania.Piga simu 0758674621

🟢FANYA KIPIMO CHA AFYA YA MWILI MZIMA KWA 20,000 TU,       Kwa magonjwa yote sugu yasioambukiza k**a saratani, kisukari,...
23/03/2026

🟢FANYA KIPIMO CHA AFYA YA MWILI MZIMA KWA 20,000 TU,
Kwa magonjwa yote sugu yasioambukiza k**a saratani, kisukari, matatizo ya ini na figo, bawasiri, matatizo ya afya ya uzazi k**a PID,UTI, nguvu za kiume, uvimbe, Tezi dume,presha,moyo, matatizo ya ngozi na mifupa

🟢Kisha utamuona daktari ambaye atakupatia tiba ya lishe salama za afya ambazo zitasafisha, zitatibu, zitajenga, zitakinga mfumo mzima wa afya ya mwili.

Wasiliana nasi Sasa upate suluhisho la afya yako 👌 0758674621

VIPIMO,,, USHAURI NA MATIBABU KWA BEI YA PUNGUZO Shirika la Afya  kutoka CHINA/ GCAT HOSPITAL, IMETOA  OFA KWA WATU WATA...
20/03/2026

VIPIMO,,, USHAURI NA MATIBABU KWA BEI YA PUNGUZO

Shirika la Afya kutoka CHINA/ GCAT HOSPITAL, IMETOA OFA KWA WATU WATAKAO fika katika vituo vyake vyote, KUPATA HUDUMA YA VIPIMO NA MATIBABU,,Ofa hii niya👇👇
▪️ Vipimo vya mwili mzima, Kupimwa magonjwa yote mwilini ni Tshs 20,000/= tu
▪️ Punguzo la bei 20% kwa kila dawa( bidhaa zetu )

Magonjwa tunayo tibu ni;
🚑 ✅, ✅ Matatizo ya Moyo na INI
✅Kansa, ✅Vidonda vya Tumbo,
✅Kisukari ✅Pumu
✅Stroku. ✅Matatizo ya uzazi kwa kina mama na kina baba
✅Matatizo ya mifupa, ✅Matatizo ya miguu
✅Ngozi, ✅Figo, ✅Fangasi sugu
✅Kupunguza unene, uzito, na matumbo
✅Kuongeza kinga mwilini(CD4)
✅U.T.I sugu,Gesi
✅Bawasiri, ✅Tenzi dume
✅Heshima ya ndoa kwa kina baba. N.k

TIBA ZETU NI TIBALISHE NA VIRUTUBISHO.
Ambavyo hufanya kazi kuu nne ( 4 ) mwili
👉 Kuosha
👉 Kulinda/ Kukinga
👉 Kujenga
👉 Kutibu

Karibu sana Upate huduma Zetu imara .
Tupo Dar na Mikoani pia tunapatikana

Wasiliana nasi kwa simu namba
0758674621

Address

Dar Es Salaam
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya bora na salama posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share