15/11/2021
Kila mwezi tunakutanisha wafanya biashara na wanaotamani kua wafanya biashara.
Tunatoa mafunzo yanayofuatiwa na mwongozo kutoka kwa waliobobea.
Hii ni maalum kwa wafanyakazi, wanafunzi na wafanyabiashara wanaotaka kuongeza kipato kwa kuanzisha biashara kwa muda wao wa ziada.
Je bado una malengo ambayo hutaki kushindwa kuyatimiza ? basi mafunzo haya yatakufaa.
K**a ungependa kuhudhuria mkutano wetu unaofuata Hyatt Kempinsiki tarehe 20 Andika neno Mafunzo kwenye Chat au DM au whatsapp namba 0786534931.
coach