Thamini afya yako timiza ndoto zako

Thamini afya yako timiza ndoto zako Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Thamini afya yako timiza ndoto zako, Tanzania Street, Dar es Salaam.

Tunavyopima MFANIKIO duniani hatuangalii matokeo tunaangalia INVESTMENT unayoweka MUDA,AKILI,NA KUJTOLEA KWA KIFEDHA AU ...
21/03/2024

Tunavyopima MFANIKIO duniani hatuangalii matokeo tunaangalia INVESTMENT unayoweka MUDA,AKILI,NA KUJTOLEA KWA KIFEDHA AU KUFANYA KAZI,

Mafanikio yamejificha sana
You need to focus

Njoo whatsap nikupe siku ya kujifunza biashara Hakikisha unaishi maisha ya ndoto zako
0753905070

Kula kitu kinawezekana
15/03/2024

Kula kitu kinawezekana

Hii Vita squares jamani ni kiboko ya watoto wasiopenda kula uwii🔥😍💘💐👌😋 ziko squrares 180 anatumia miez mitatu. Zimetenge...
23/01/2024

Hii Vita squares jamani ni kiboko ya watoto wasiopenda kula uwii🔥😍💘💐👌😋 ziko squrares 180 anatumia miez mitatu. Zimetengenezwa kwa mboga mboga, mboga za majani na matunda rangi tofauti tofauti kwa kila kimoja (maana rangi zina kazi mwilini) ili kufungua cell ya mtoto ili ipokee Virutubisho vyote kwa wakati na kutoa uchafu kwa wakati, inampa mtoto hamu ya kula, usingizi mzuri, anapata choo nzuri na kwa wakati, anakuwa active na mwenye nguvu, na anakuwa na utulivu wa akili, hakuna mambo ya kujiliza yaan inaweka sawa uwiano wa vichocheo vya mwili (hormones pamoja na enzymes) maana vina madini na vitamins aina zote💪😍💘💕❤️❤️hii products ni must have k**a huielew elewi afya ya mtoto wako
Nipigie kwa namba 0693 210 331

CELLULAR NUTRITIONMiili yetu imetengenezwa kwa mabillion ya cell (chembehai)*Cell👉🏽Tissue👉🏽Organ👉🏽System👉🏽Organism*👆🏼👆🏼👆...
18/01/2024

CELLULAR NUTRITION

Miili yetu imetengenezwa kwa mabillion ya cell (chembehai)

*Cell👉🏽Tissue👉🏽Organ👉🏽System👉🏽Organism*

👆🏼👆🏼👆🏼👆🏼Huu mtiriko una maana kubwa mno
Seli zikiungana zinatengeneza tishu(misuli, mishipa, damu)

Tishu zinatengeneza ogani ( k**a Moyo, figo, ini, ngozi n.k)

Ogani zinatengeneza mifumo mbalimbali (k**a mfumo wa uzazi, mmeng'enyo wa chakula, upumuaji, utoaji taka mwilini n.k)

Hivi tunavyoonekana kwa nje (wewe kiumbe) chanzo kabisa cha mimi na wewe kuwepo ni chembehai (cell)
Cell ndo maisha yetu yanapoanzia ina maana cell ikiharibiwa kila kitu kimeharibika, ogani na mifumo yote inashindwa kufanya kazi..
Sasa kile kiini kinachotoka kwenye nafaka kamili ndo chakula cha cell. Mafuta kutoka kwenye nafaka kamili ndo yanalainisha ukuta wa cell(cell membrane inakuwa permeable) kuruhusu virutubisho kuingia mwilini, kufanya kazi na uchafu kutoka. Sisi hatupati kile kiini cha nafaka kamili hivyo ukuta wa cell (cell membrane) unakuwa mgumu tunachokula kinaingia kidogo, virutubisho vingi haviingii mwilini hata uchafu hautoki kwa wakati. Ndio maana unaweza kula asubuhi, mchana, na jioni lakini unakaa hata siku tatu hakuna haja kubwa,🙆🏽‍♀️ unaamka asubuhi umechoka balaa(uchovu sugu) unameza dawa nyingi hazifanyi kazi, hakuna hamu ya kula n.k Changamoto imeanzia kwenye cell.
Sasa tre en en imetengenezwa kwa kiini cha nafaka kamili.
Kiini cha
✅ Mchele
✅ Soya na ngano
Kiini hiki kina mafuta yanaitwa lipids na sterols ambacho ndo chakula sasa cha cell.😘😘 Mafuta haya ndo yanafanya ukuta wa cell uwe laini
NINI INACHOENDA KUFANYA TRE EN EN MWILINI

1. Kulainisha ukuta wa cell chochote unachokula kiingie mwilini kifanye kazi vizuri na uchafu utoke kwa wakati

2. Kutoa sumu mwilini

3. Kubalance homoni

4. Huondoa uchovu sugu

5. Husaidia kupata choo kwa wakati na kinakuwa laini bila maumivu

6. Huondoa maumivu mwilini

7. Husaidia mmeng'enyo wa chakula

8. Hufanya ngozi iwe na ung'avu asilia/hutakatisha ngozi

👆👆
JIFUNZE KUHUSU BIDHAA YA TRE EN EN 0693 210 331

*UGOJWA WA P.I.D NA TIBA YAKE* *Pelvic Inflammatory Disease* *Ni maambukizi katika via vya uzazi. Wanawake wengi husumbu...
17/01/2024

*UGOJWA WA P.I.D NA TIBA YAKE*
*Pelvic Inflammatory Disease*
*Ni maambukizi katika via vya uzazi. Wanawake wengi husumbuliwa na tatizo hili kulingana na sababu zifuatazo-:*
*Matumizi ya antibiotics Kwa wingi, kimsingi matumizi haya huuwa bacteria wote, hivyo wanapokufa unakosa ulinzi wa bacteria wa kupambana na maambukizi . Kadhalika ujauzito ikiwa ni pamoja na kujifungua .Pia sababu nyingine ni matumizi ya condoms na kufanyangono zembe*

*DALILI ZA UGONJWA WA PID*
1️⃣ *Kutokwa na uchafu mzito sehemu za siri, yawezekana ukawa ni mweupe, njano, au maziwa*
2️⃣ *Kuwashwa sehemu za siri*
3️⃣ *Uke kutoa harufu mbaya*
4️⃣ *Maumivu ya tumbo chini ya kitovu*
5️⃣ *Uke kuwa wa ulaini sana*
6️⃣ *Maumivu wakati wa tendo la ndoa*
7️⃣ *Kuvurugika Kwa hedhi*
8️⃣ *Kutokwa majimaji ukeni kupita kiasi*
9️⃣ *Maumivu wakati wa kukojoa na wakati wa choo kubwa*
🔟 *Homa, uchovu,kizunguzungu na kukosa hamu ya kula*
MADHARA YA PID
• Ugumba
•Kansa ya shingo ya kizazi
• Mirija ya uzazi kuziba
• Majeraha kwenye mirija ya uzazi

23/11/2023

Suluhisho lipo njoo whatsapp 0693 210 331 p

“Suplement are expensive!!” My dear compared to whattt!!?
06/11/2023

“Suplement are expensive!!” My dear compared to whattt!!?

Address

Tanzania Street
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Thamini afya yako timiza ndoto zako posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Thamini afya yako timiza ndoto zako:

Shortcuts

Share