Afya Ya Uzazi Tanzania

Afya Ya Uzazi Tanzania Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Afya Ya Uzazi Tanzania, Dar es Salaam.

MADHARA YA KUPIGA PUNYETO KWA WANAUMEHisia hizi huanza kujitokeza pale mtu anapofikia wakati wa kubalehe. Hapa ndiyo wak...
22/05/2020

MADHARA YA KUPIGA PUNYETO KWA WANAUME

Hisia hizi huanza kujitokeza pale mtu anapofikia wakati wa kubalehe. Hapa ndiyo wakati mgumu na mbaya kwa kijana hasa kwa na asiye na usimamizi wa karibu wa wazazi au walezi.

Ni wakati huu ndipo mbegu za kiume huanza kuzalishwa katika mwili wa kijana wa kiume na kupelekea kuanza kuona hitaji la kuwa na mchumba au hata mke.

Kutokana na maisha na tamaduni zetu wa afrika zilivyo hapo ndipo kijana huona hana namna zaidi ya kujichua pale anapokuwa hana mtu wa kujamiiana naye ili kupunguza hamu zake. Kitendo hiki kimeathiri sehemu kubwa ya jamii.

Kupiga punyeto au kujichua ni kitendo ambacho huleta matatizo makubwa ya muda mrefu ambayo muathirika huchelewa sana kuyatambua.

Tuangalie sasa madhara yafuatayo ambayo ni matokeo ya kujichua kwa mwanaume:

1. Punyeto hukufanya uwe dhaifu, inapoteza protini na kalsiamu ndani ya mwili wako kwa wingi.

2. Huleta matatizo kwenye neva nyurolojia ndani ya mwili na kupelekea matatizo ya macho kutokuona vizuri

3. Ni moja ya kisababishi kikuu cha uhanithi (uume kushindwa kusimama)

4. Ni rahisi kuwa mtumwa wa kujichua (teja) unaweza kujaribu mara 1 tu na tayari ukawa teja wa jambo hilo kila mara

5. Husababisha mfadhaiko (stress) kwenye akili na kwenye roho yako pia

6. Huleta matatizo ya kisaikolojia, hukusababishia majonzi na huzuni na kukufanya kujilaumu nafsi mara baada ya kumaliza kujichua

7. Punyeto haifanyiki kirahisi, unahitaji akili yako iwaze au itazame picha mbaya au chafu au kumfikiria kimapenzi mtu asiyekuwepo hapo ulipo. Hili ni jambo baya zaidi kwa afya kwani picha hizo hazikuondoki haraka kichwani mwako tofauti na ukishiriki tendo la ndoa na binadamu mwenzio moja kwa moja.

8. Punyeto huchochea mapenzi ya jinsia moja hasa mashuleni, vyuoni na kwenye mahoteli na mwishowe hupelekea kusambaa kwa magonjwa mengi ya zinaa na tabia za ushoga ambazo zinasambaa kwa kasi sasa. Usiichukulie punyeto kimchezo mchezo.

9. Punyeto inakupelekea kufanya makutano haramu kwa hiyo hamu yako ya kutaka kujichua kila mara itakupelekea kuanza kutafuta vijarida au picha za ngono jambo ambalo ni baya zaidi kwa afya yako ya mwili na roho

10. Punyeto inapelekea tatizo lingine kubwa zaidi nalo ni kuwahi kufika kileleni utakaposhiriki tendo la ndoa na mwenza wako, hii itakuletea shida kwenye mahusiano yako wewe mwenyewe na hata kwa mwenza wako.

11. Punyeto inapunguza uwingi wa mbegu (reduces your s***m count) k**a matokeo yake mwanaume huenda asiweze kabisa kumpa mwanamke ujauzito. Hili la kuwa na mbegu chache ndilo chanzo kikuu cha ugumba kwa wanaume na ni matokeo ya kupiga punyeto mara kwa mara.

12. Kimaadili kabisa punyeto au kujichua ni jambo baya, unamuwaza fulani na kujikuta ukishiriki tendo la ndoa peke yako. Hii inapunguza thamani yako na nidhamu kwa wengine. Unaweza kuwa mzuri kwenye maeneo mengine mengi lakini utaishia kuwa na matatizo k**a hutaiacha tabia hii haraka.

13. Punyeto inapoteza muda wako na kukufanya mtu usiye na faida

14. Raha ya kujichua haibaki akilini kwa kipindi kirefu k**a vile ukishiriki tendo la ndoa kwa na mtu halisi

15. Punyeto husababisha ugonjwa wa kupoteza kumbukumbu, ni vigumu kuwa na akili ya utulivu na kukumbuka vitu k**a tayari umeshakuwa teja wa punyeto.

16. Kujichua siyo suluhisho la mwisho la hitaji lako, yaani hutaona kuridhika katika kitendo hicho, kadri unavyofanya ndivyo unavyoendelea kuhitaji zaidi na zaidi mpaka mwisho unakuwa hanithi kabisa bila kujitambua

17. Punyeto haina faida yoyote kwenye maisha yako ya kimapenzi, huihitaji kwa ajili ya chochote

18. Punyeto inaongeza aibu, inapunguza uwezo wa kujiamini. Wengi waliozoea kujichua hata kutongoza kwao huwa ni kazi kubwa mno kiasi wengine huona bora kuendelea kujichua kuliko kutongoza mwanamke.

19. Utapoteza hamu ya kushiriki tendo la ndoa kirahisi zaidi k**a utaendelea kujichua

20. Punyeto inamaliza nguvu za kiume, k**a unapenda kujichua basi sahau kuwa na nguvu za kiume. Upungufu wa nguvu za kiume ni janga la kitaifa miaka ya sasa lakini chanzo kikuu ni vijana wengi wa kiume kuanza kujichua tangu wakiwa mashuleni.

Je ufanye nini ili kuacha punyeto au usishiriki mchezo huu mchafu?

K**a muda na umri haukuruhusu kuwa na mke au mchumba, basi fanya yafuatayo:

•K**a bado unasoma kuwa bize na masomo na ujiepushe na makundi hatarishi.

•Jishughulishe na mazoezi ya viungo kila siku. Hii itauchosha mwili wako na hivyo hutapata muda tena wa kujichosha zaidi kwa kujichua kwani tayari utakuwa na uwezo wa kupata usingizi mtulivu sababu ya mazoezi.

•Epuka vyakula vyenye mafuta mengi

•Usipende kukaa muda mrefu peke yako au kujitengaa na watu pia usikae muda mrefu kitandani hasa hasubuhi wakati wa kuamka

•Usikae muda mrefu maeneo k**a ya bafuni au chooni

•Usipende kujishikashika na mkono wako sehemu zako za siri wakati wowote

•Futa picha zozote chafu iwe kwenye simu au computer yako na usitembelee blog au tovuti yoyote yenye picha hizo, k**a upo kwenye magroup ya namna hiyo kwenye mitandao ya kijamii basi jiondowe haraka iwezekanavyo.

•K**a tayari umeshaoa basi ni dhambi kubwa sana kuendelea kupiga punyeto, utaishiwa nguvu na unaweza kukosa kumpa ujauzito mkeo siku za usoni.

Je? umeathirika na umepata madhara yaliyotokana na punyeto hasa UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME? Na unahitaji kuondokana na hiyo hali ? Habari njema ni kuwa hilo ni jambo linawezekana na utarudi kwenye hali yako ya kawaida, na kurudisha nguvu zako za kiume.

Tuma neno NGUVU ZA KIUME kwenda Sms/WhatsApp number +255 788 366 511

NB # ANAETUMA UJUMBE WHATSAPP ANAHUDUMIWA HARAKA ZAIDI

Tafadhali SHARE post hii kwa ajili vijana na ndugu wengine uwapendao

UKIPIGA PUNYETO YAFUATAYO YATAKUWA MSHAHARA WAKO👉Uume kusinyaa kila ukijaribu kubadilisha style au mtindo.👉Uume kusimama...
17/03/2020

UKIPIGA PUNYETO YAFUATAYO YATAKUWA MSHAHARA WAKO

👉Uume kusinyaa kila ukijaribu kubadilisha style au mtindo.

👉Uume kusimama kwa ulegevu baada ya kumaliza bao la kwanza.

👉Kupata bao lenye maumivu hasa kuanzia bao la pili na kuendelea.

👉Kukosa hisia kabisa baada tu ya kufika kileleni safari ya kwanza

👉Kuchoka sana baada ya kufanya mapenzi.

👉Uume kutosimama ukiwepo na mwenza wako lakini akiondoka unaona unapata hamu na uume unasimama vizuri.

👉Kufika kileleni haraka sana na baada ya kufika unashindwa kurudia tena.

👉Kushindwa kumuandaa mpenzi wako, kuhofia utafika kileleni kabla ya mchezo.

👉Kutoa mbegu hafifu hadi kusababisha kushindwa kumpa mkeo ujazuzito.

K**A UMEKUMBANA au UNAKUMBANA NA CHANGAMOTO K**A HIZO USISITE,

Piga simu au tuma sms ya neno AFYA UZAZI kwenda number +255 683 609 192 tutakufikia

USIONE AIBU... Usife na tai shingoni😥. Comment namba yako hapa chini ili kupata elimu sahihi jinsi ya kuondokana na tati...
15/03/2020

USIONE AIBU... Usife na tai shingoni😥.

Comment namba yako hapa chini ili kupata elimu sahihi jinsi ya kuondokana na tatizo la nguvu za kiume moja kwa moja!

HIVI UNAJUA AIBU YA KUSHINDWA KUMUDU TENDO LA NDOA KWELI?Hakuna mwanaume kamili ambaye atashindwa kufanya tendo halafu a...
13/03/2020

HIVI UNAJUA AIBU YA KUSHINDWA KUMUDU TENDO LA NDOA KWELI?

Hakuna mwanaume kamili ambaye atashindwa kufanya tendo halafu abaki na amani. Inafedhehesha sana.

Baadhi ya mambo yanayofedhehesha ni k**a

»»KUKOSA HAMU YA KUFANYA TENDO LA NDOA
~huwa Hanauwezo wa kutamani kufanya tendo la ndoa, tatizo hili husababishwa na msongo wa mawazo

»»KUTOKUA NA UWEZO WA KUSIMAMISHA UUME
~Hali hii hutokea kutokana na kutokuwepo kwa mzunguko wa damu wa kutosha Kwenye uume

»»UUME KUSINYAA NA KUSHINDWA KURUDIA TENDO LA NDOA
~uume wa mwanaume husinyaa na kuwa mdogo na kurudi ndani hivyo huwa Hana uwezo wa kukamilisha tendo la ndoa, Hali hii husababishwa na upigaji punyeto kwa muda mrefu

»»KUFIKA KILELENI MAPEMA
~mwanaume hushindwa kufanyamapenzi kwa dakika hata 15 hivyo huwahi kupeez ndani ya dakika 3 hadi 5. Mwingine dakika moja tu. Aisee. Afu akimwaga tu chali.

»»KUSHINDWA KURUDIA TENDO LA NDOA
~mwanaume hushindwa kurudia mzunguko wa pili hivyo akifika mzunguko wa kwanza anakuwa Hana uwezo wa kuendelea, Hali hii husababishwa na kutokua na msukumo wa damu wa kutosha

Piga simu au tuma sms ya neno AFYA UZAZI kwenda number +255 683 609 192 tutakufikia

JE UMEKOSA NGUVU ZA KIUME?JE UNA TATIZO LOLOTE LA MFUMO WA UZAZI?Tafiti zinaonesha kwamba katika kila wanaume 10, wanne ...
12/03/2020

JE UMEKOSA NGUVU ZA KIUME?

JE UNA TATIZO LOLOTE LA MFUMO WA UZAZI?

Tafiti zinaonesha kwamba katika kila wanaume 10, wanne wana tatizo la nguvu za kiume. Na katika kila wanawake 10, nane hawafurahii tendo la ndoa.. either kwasababu wanaume hufika kileleni haraka kabla ya mwanamke, or kwasababu ya maumivu anayoyapata mwanamke kutokana na uke kukauka haraka wakati wa tendo n.k

TATIZO HUSABABISHWA NA NINI?

1.Kukosa chakula bora asilia kuupatia mwili wa mwanaume uwezo wa kuzalisha manii, hormone na kuimarisha misuli na mishipa limekuwa tatzo.

2.Ongezeko la uzito kwa watu wengi utokanao na ulaji wa wanga, ngano, mafuta n.k kwa wengi.

3.Kujichua/masturbation kwa vijana na baadhi ya watu wazima

4.Msongo wa mawazo {over stress} kutokana na shughuli nyingi za kila siku, ugumu wa maisha, kudharauliwa hasa na wapenzi wao au kukosa Hamu ya tendo la ndoa kabisa

5. Upungufu au mvurugiko wa hormones mwilini kutokana na mrundikano wa kemikali mbaya mwilini

6. Mishipa ya damu kujaa mafuta na Moyo kutofanya kazi vizuri n.k

Hii ni bidhaa maalum kwa WANAWAKE NA WANAUME

ARGI PLUS na Multimaca ni bidhaa ya asili ambazo zimetolewa kwenye mimea na mizizi na matunda. Zina faida mbalimbali mwilini k**a;

# kurudisha hamu na uwezo wa kushiriki tendo la ndoa kwa wanaume na wanawake

# Kupunguza athari za menopause kwa wanawake.

# Kuupa mwili stamina na nguvu.

# Kuondoa msongo wa mawazo.

# Kusaidia kuboresha homoni za tendo la ndoa

# Kusaidia uwezo wa mbegu za kiume kuogelea vizuri.. # Kuongeza uteute kwa kwenye uke wakati wa tendo la ndoa. Hivyo kupunguza msuguano utakaoleta maumivu kwa wanawake.

# Kusafisha mishipa ya damu isiwe na mafuta mabaya yaliyoganda ili damu iweze kupenya vizuri mwili mzima

# Kusaidia mwanaume aweze kushiriki tendo kwa muda mrefu na kutomwaga haraka haraka na aweze kurudia mizunguko kadhaa

Namna ya kupata hivi virutubisho,
tuma neno kwa WhatsApp namba *+255 657 992 736* au piga simu +255 683 609 192



CHAKULA CHA KUIMARISHA TENDO LA NDOA!HAUHITAJI KUBEEP TENA💪💪!!!Shida kubwa katika mambo ya nguvu za kiume ni pamoja na t...
11/03/2020

CHAKULA CHA KUIMARISHA TENDO LA NDOA!

HAUHITAJI KUBEEP TENA💪💪!!!

Shida kubwa katika mambo ya nguvu za kiume ni pamoja na tatizo la kuwahi kufika kileleni mapema, misuli ya uume kulegea hivyo uume kushindwa kusimama vizuri,kushindwa kurudia tendo la ndoa baada ya mzunguko wa kwanza, kukosa hamu kabisa hasa kwa wanandoa limekuwa tatizo la wanaume wengi sana.

Mfumo wa sasa wa maisha watu wengi tunakula vyakula vilivyojaa usasa mwingi sana, lakini pia ulaji wa chakula aina moja karibia kila siku. Hali ya hewa ya sasa INA uchafuzi mkubwa sana hivyo tunaingiza sumu nyingi sana mwilini ambazo zinaenda kuathiri mfumo wa ndani ya mwili ikiwemo mfumo wa uzazi.

Ongezeko la Uzito kwa watu wengi utokanao na ulaji wa wanga kwa wingi na ngano iliyokobolewa na mafuta mengi lakini pia kutofanya mazoezi ya kutosha limekuwa ni tatizo kubwa.

Kujichua/ musturbation kwa vijana na baadhi ya watu wazima pia huchangia MTU kukosa nguvu za kiume.

Imekuwa dhahiri kuwa ni vigumu mno kwa mwanaume kula mlo wenye virutubisho vyote muhimu kwa ajili ya kuimarisha tendo la ndoda. Ndiyo maana unahitaji kupata virutubisho Ana iishe mbadala ya nyongeza ili mwili wako usikose kabisa vitu muhimu katika kuimarisha zoezi la tendo la ndoa.

Tayari watu wengi tumewasaidia na leo hii wanafurahia ndoa zao kupitia kirutubisho hiki cha MULTI-MACA

* inaongeza hamu ya tendo la ndoa kwa jinsia zote Mbili akina baba na akina mama stamina na nguvu wakati wa tendo la ndoa
* inasaidia kuondoa msongo wa mawazo
* inasaidia Kuongeza idadi ya mbegu za kiume s***m count na uwezo wa mbegu kuogelea vizuri( mobility)

* husaidia kutomwaga haraka..sababu ya watu kumwaga haraka ni kuwa mwanaume huyo hushindwa ku-hold na kujikuta amemwaga haraka. Ukitumia Multimaca utashangaa kuona unaweza KUHOLD. yani unaweza kuamua kuwa sasa simwagi bado niendelee kuinjoy kwanza. Hilo wanaume wengi hawawezi.
*Nzuri sana kwa wakina mama walio wakavu ukeni, usaidia kubalance homoni na kuwaletea uteute siyo mpaka kupaka sijui Vaseline nk.

Ndiyo maana ni bidhaa inayoongoza kuuzika katika bidhaa zetu za mambo ya afya ya uzazi.

Piga simu au tuma neno kwenda /sms/WhatsApp +255 657 992 736 kupata Multimaca yako pia.

11/03/2020
Karibuni kwenye ukurasa huu tujifunze pamoja mambo ya afya
11/03/2020

Karibuni kwenye ukurasa huu tujifunze pamoja mambo ya afya

11/03/2020

Karibuni kwenye page hii tujifunze pamoja jinsi ya kuimarisha afya ya Uzazi hasa kwa wanaume.

Kwa mawasiliano zaidi piga simu +255 657 992 736

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya Ya Uzazi Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share