10/04/2026
Stevia mbadala salama wa sukari na asali.
Ni salama kwa watu wote hasa wagonjwa wa kisukari, presha, wanaotaka kupungua uzito na wanaojali kuishi katika maisha ya afya njema kuepuka magonjwa siku kisukari, presha, saratani etc.
💚 Faida za Stevia Powder kwa Afya:
1️⃣ 🩸 Hudhibiti sukari kwenye damu – salama kwa wagonjwa wa kisukari.
2️⃣ ⚖️ Husaidia kupunguza uzito – haina calories wala carbohydrates.
3️⃣ ❤️ Hupunguza shinikizo la damu – inalinda moyo na mishipa ya damu.
4️⃣ 🎗️ Hutoa ulinzi dhidi ya saratani – ina antioxidants.
5️⃣ 😁 Huboresha afya ya kinywa – huzuia harufu mbaya.
6️⃣ 🦴 Huimarisha mifupa – kuongeza uimara na afya ya mifupa.