Mavuno Mart

Mavuno Mart Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Mavuno Mart, Health Food Shop, Goba, Dar es Salaam.

Bidhaa Bora za Chakula | Nafaka Aina Zote
🌾Mchele | Sembe | Sukari | Maharage |Unga
πŸ₯šMayai ya Kienyeji
🚚 Tunafanya Delivery Popote
πŸ“ž 0765574737

07/03/2026

Kuku wa kienyeji halisi kutoka shambani moja kwa moja mpaka kwa mteja πŸ”πŸ”₯
Ladha yake ni tamu na nyama yake ni ngumu k**a ya kienyeji halisi.

Karibu Mavuno Mart uweke order yako sasa.

πŸ“ž 0765574737
πŸ“ Goba, Dar es Salaam – Delivery ipo

ChakulaSafi

04/03/2026

Kuku wa kienyeji halisi nyama yake tamu, ngumu kwa kiasi, na supu yake nzito yenye ladha ya asili kabisa.

Hii sio kuku wa kawaida.
Hii ni ladha ya nyumbani, ladha ya zamani.

Weka order yako mapema tukuchagulie fresh na kukuchinjia.

πŸ“ž 0765574737

03/03/2026

Pata mayai bora ya kienyeji kwa lishe kamili ya familia yako 😍
Ubora tunaouhakikisha kutoka kwetu hadi mezani kwako.

πŸ“ Goba, Dar es Salaam
πŸ“ž 0765574737
🚚 Delivery inapatikana

02/03/2026

πŸ₯š Fresh kutoka shambani hadi mezani kwako!
Mayai makubwa, safi na yenye ubora wa uhakika πŸ’›
Agiza leo tukuletee haraka 🚚

πŸ“ Goba, Dar es Salaam
πŸ“ž 0765574737

27/02/2026

Ubora unaoonekana πŸ₯šπŸ‘ŒπŸΎ
Mayai fresh kila siku – kwa familia yako na biashara yako pia.
Agiza sasa tukuletee popote pale ulipo!
πŸ“² 0765574737

26/02/2026

Anza siku yako na lishe bora kutoka Mavuno Mart πŸ₯š

Mayai safi, bora na yenye virutubisho kwa familia na biashara yako.
Agiza sasa tukuletee 🚚
πŸ“ž 0765 574 737

24/02/2026

Tupe order yako, mzigo upo wa kutosha 🀝πŸ”₯
Bidhaa safi na bora kutoka Mavuno Mart πŸ₯šπŸŒ½πŸ₯¦

Tunatoa delivery popote ulipo 🚚
Piga au WhatsApp: 0765 574 737 πŸ“ž

23/02/2026

Nyakati za kujipanga upya na kuimarisha imani πŸ™πŸΎ
Jitunze wewe na familia yako kwa lishe bora πŸ₯š
Mayai safi ya kienyeji kutoka Mavuno Mart.
πŸ“ž 0765574737
🚚 Tunaleta delivery popote ulipo.

18/02/2026

πŸŒ… Anza siku na nguvu mpya! Mavuno Mart tunakuletea ubora, freshness na huduma ya uhakika πŸ™ŒπŸΎπŸ₯š

🚚 Delivery popote ulipo!
πŸ“ž Tupigie sasa: 0765574737 uweke oda yako mapema leo.

Usisubiri kesho kwa afya bora – anza leo na Mavuno Mart πŸ’›βœ¨

Address

Goba
Dar Es Salaam
11101

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mavuno Mart posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share