Docsmart.Afya Ni Mtaji

Docsmart.Afya Ni Mtaji TUNASIAIDIA KUTATUA CHANGAMOTO YA MWANAMKE KUTOKA UCHAFU SEHEMU ZA SIRI BURE .

31/05/2026
Linda afya Yako & Jali afya Yako .
31/05/2026

Linda afya Yako & Jali afya Yako .

“Ndiyo umemaliza Hivyo?…Mke wangu akauliza kwa hasira baada ya kumaliza ndani ya sekunde 60 tu…Nikageukia ukutani na kul...
29/03/2026

“Ndiyo umemaliza Hivyo?…

Mke wangu akauliza kwa hasira baada ya kumaliza ndani ya sekunde 60 tu…

Nikageukia ukutani na kulala kwa aibu…

Nilijiona sina maana yoyote…

Nilijua kabisa ule ndo ungekuwa mwisho wa ndoa yetu…

Nilijaribu kila dawa iliyoahidi kutibu nguvu za kiume…

Nilifanya kila aina ya mazoezi yakiwemo yale ya Kegel…

Nilitumia kila mbinu wakati wa tendo ikiwemo kubana pumzi…

LAKINI:

Hakuna kilichofanya kazi…

Niwe mkweli tu:

Nilipoteza kabisa matumaini ya kupona

Bila kutegemea rafiki yangu Alex akarudi kutoka Kwenye biashara zake china akaja na package Moja kikiwa na kitu k**a majani ya chai ndani…

Akaniambia nichanganye na maji ninywe k**a kweli nataka kupona tatizo langu…

Nikakataa kwasababu sikuwa na imani tena na dawa yoyote ya nguvu za kiume…

Lakini:

Baada ya kunisisitiza sana nikanywa hivyo hivyo kishingo upande!

Hata hivyo bado sikuwa na matumaini yoyote k**a ingenisaidia

Hali ambayo sijawahi kuhisia kwa miaka mingi sana

Baada ya siku 5 PERFORMANCE yangu kitandani ilibadilika kwa kiasi kikubwa mno…

Na:

Sasa hivi mpaka mke wangu anajifungia chumbani anaomba radhi huku miguu inatetemeka

Siwezi kukuahidi kwamba dawa hii itafanya kazi kwako…

Ila:

Kitu pekee ninachoweza kusema ni kwamba:

Dawa hii imeokoa ndoa yangu na kurudisha CONFIDENCE & HESHIMA yangu iliyopotea

Huhitaji kuniamini wewe jaribu tu kutumia dawa hii ndani ya siku 7…

Na:

…isipofanya kazi, ntarudisha pesa Yako Siku Hiyo Hiyo na bidhaa utabaki nayo .

Hii haihusiani na kununua supplements nyingine ya nguvu za kiume…

Bali:

…hii inahusiana na kujiunga na watu ambao wamekataa kuendelea kudanganywa na makampuni ya kuuza dawa za nguvu za kiume kila siku”

Nimetengeneza package 50 tu—Wahi piga simu kwenda “⁨0692 173 223⁩”
Au nitafute whatsapp kwa namba “+255692173223”

Nilikuwa nauza 380,000/=( ni ya Mwezi) , lakini kwasababu lengo langu ni kusaidia wanaume wenzangu Badala yake itakuwa ni 270,000/=

Unajua kwasababu package ni chache na ni kwa mara ya kwanza kuitangaza basi nimepunguza zaidi kuwapa OFFER wanaume wenzangu 50 kwa na kwasasa utapata kwa 195,000/=

Zipo sababu nyingi zinazosababisha Sehemu za siri za mwanamke kuwa kavu , hali Hiyo inaanza Kwenye kupotea kwa unyevunye...
05/01/2026

Zipo sababu nyingi zinazosababisha Sehemu za siri za mwanamke kuwa kavu , hali Hiyo inaanza Kwenye kupotea kwa unyevunyevu mpaka vimbe sehemu za ukuta wa uke na zaidi.

Hapa unajifunza namna gani ya kufanya uyafurahie maisha Yako ya tendo la ndoa (sex).Ukavu ukeni kunaweza kusababisha Maumivu makali wakati wa tendo na matatizo mengine k**a ,maambukizi kirahisi ya vimelea .

*Sifaham sababu Hizi tano ambazo husababisha uke kuwa mkavu .*

1.Umri pamoja na Jambo la kihisia.
-Watu wenye Umri mkubwa kwanzia Miaka 40+ hupatwa sana na Changamoto hii sababu ni kupungua Kwa vichocheo Katika mwili (kukosa usawa), pia kukosa hisia na Mpenzi wako inaweza kupelekea ukavu.

2.Kukosa Hamu ya tendo la ndoa .
-Husababishwa na kupungua kwa Nguvu za k**e ,mara nyingi unaweza kuona ni hali ya kawaida ,kutotamani Mpenzi wako na kutohisi raha yeyote ya tendo .

3.Matumizi ya sababu za kemikali kali kuoshea ndani ya uke .
-Hupoteza Vimelea muhimu Katika utunzaji wa sehemu Hiyo .

4.Matumizi holela dawa za Uzazi mpango pamoja na P2.

5.Msongo wa mawazo .
-Mfululizo wa mawazo yanayodumu kwa muda mrefu , huwa inazima hisia na Homorne zinazohusika Katika swala zima la tendo .

6.Matuzimi ya vilevi k**a sigara , pombe kali .

7.Magonjwa ya muda mrefu
-hasa yanayotumia miyozi au dawa kali .

Hizi sababu mbili ni Bonus .

Je , unahisi wewe ni sababu ipi unaishi inaweza kuwa ni chanzo cha Changamoto Yako .

Comment hapa chini kwa msaada Bila kuoga

MWANAMKE, KOJOA MARA BAADA YA TENDO — NI KINGA.Huu ni ukweli wa kitabibu usioambiwa vya kutosha.Wakati wa kujamiiana, .....
17/12/2025

MWANAMKE, KOJOA MARA BAADA YA TENDO — NI KINGA.

Huu ni ukweli wa kitabibu usioambiwa vya kutosha.
Wakati wa kujamiiana,
...msuguano husukuma wadudu kutoka eneo la haja kubwa kusogea ukeni na hata kuingia kwenye njia ya mkojo.

Hapo ndipo maambukizi ya UTI huanzia kimya kimya.

Kukojoa mara tu baada ya tendo:
✔️ Husaidia kusafisha njia ya mkojo
✔️ Huflush bakteria kabla hawajapanda juu
✔️ Hupunguza hatari ya UTI kwa kiwango kikubwa

Na ndiyo, hata kwa wanaume, tabia hii husaidia kinga dhidi ya UTI.

Lakini nikuambie ukweli mchungu k**a daktari wako👇

K**a tayari una UTI zinazojirudia, uchafu uk'eni, maumivu au kuungua wakati wa kukojoa — kukojoa baada ya tendo haitoshi tena. Hapa tatizo limeshika mizizi ndani.

Ndiyo maana kwa wanawake wanaoteseka muda mrefu, nashauri tiba ya kurekebisha chanzo cha tatizo, sio kuficha dalili.

🔹 UzaziRestore – Dvaginal Therapy
Ni msaada wa asili wa mwezi mmoja unaolenga: • Kurejesha usawa wa uk'e
• Kupunguza maambukizi yanayojirudia
• Kuimarisha afya ya uzazi kwa ujumla
• Kuandaa mwili kwa uzazi salama

📌 Gharama: 394,000/= (dozi ya mwezi 1)
🎁 BONUS: Mwongozo wa matumizi + ushauri wa daktari kipindi chote

📲 Wasap: +255(0692 173 223)
— Dr Mawalla

Kumbuka: Kinga ni bora, lakini pia tiba sahihi huokoa ndoto ya uzazi.



09/12/2025
Hii tabia moja tu ndiyo inayokufanya sukari ishindwe kushuka…👉 Kula bila mpangilio (unaamka, unakula chochote, muda wowo...
04/12/2025

Hii tabia moja tu ndiyo inayokufanya sukari ishindwe kushuka…
👉 Kula bila mpangilio (unaamka, unakula chochote, muda wowote, bila kufuatilia).

Mwili wa mgonjwa wa kisukari unapenda utaratibu:
• Muda maalum wa kula
• Kiasi kinachofanana karibu kila siku
• Kuchagua vyakula vyenye nyuzinyuzi (mboga, nafaka zisizokobolewa)

Ukibadilisha HILI tu – mpangilio wa milo – unaweza kuona mabadiliko makubwa kwenye sukari yako.

💬 Swali kwako: Kwa sasa huwa unakula mara ngapi kwa siku, na saa ngapi?
👉 Comment “MPANGILIO” k**a unataka nipost mfano wa ratiba ya milo. i tabia moja tu ndiyo inayokufanya sukari ishindwe kushuka…


02/12/2025

Kuongeza kinga ya mwili
✔ Kuongeza nguvu
✔ Kurekebisha mwili
✔ Kutuliza mwili unaochoka sana
✔ Wellness ya haraka

ZINGATIA HAYA UWEZE KUSHIKA MIMBA:1. Uwepo wa Yai la mwanamke,lenye ubora, yaani a good quality O**M2. UPEVUSHAJI YAI, O...
23/10/2024

ZINGATIA HAYA UWEZE KUSHIKA MIMBA:

1. Uwepo wa Yai la mwanamke,lenye ubora, yaani a good quality O**M
2. UPEVUSHAJI YAI, OVULATION, lazima uwepo maana hapa ndipo yai hutoka kwenye mfuko wa mayai na kuingia kwenye mrija kwa ajil ya kukutana na mbegu ya kiume.

3. Mirija yenye uwezo wa kupitisha yai na mbegu za kiume, patent fallopian Tubes,mirija ikiziba mbegu ya kiume na Yai la k**e Haviwezi Kukutana

4. Hormones ziwe zinapanda na kushuka kwa uwiano,yaan balanced hormones,eg siku ya ovulation ili ovulation itokee laazma LUTENAIZING HORMONE IWE JUU. .

5. Mbegu ya kiume yenye ubora (ubora wa muonekano yaani mbegu yenye Kichwa, mkia na kuweza kuogelea na kutembea kwa kasi kufikia Yai na kuweza kurutubisha Yai).
6. Mwanamke Awe na mazingira mazuri kwenye VAGINA,Yaan Va**na PH iwe conducive na isiwe TOO ACID maana inaua mbegu za Kiume
6. Mwanamke awe na OVULATION MUCUS,ute unaotoka siku za hatari TU,ute mzuri k**a ute mweupe wa yai,

Unavutika katikati ya Mikono k**a KAMBA,utafiti unaonesha kuwa huu ute una vitundu vidogo vidogo Kupitisha mbegu za kiume
..na kuzilinda ili zisafiri salama mpaka kwenye kizaz,kisha kwenye mirija.
7. mfuko wa uzazi yaan Uterus wenye uwezo wa kupandikiza yai lilirorutubishwa yaan IMPLANTATION itokee na pia kizazi kiwe na uwezo wa Kuitunza mimba mpaka Mimba ifike miezi 9.

Mwanamke mwenye UVIMBE kwenye kizazi au vijidudu,Infection k**a PID,ENDOMETRITIS,
Anaweza pata mimba ikatoka kirahis.

Maeneo yote hayo yakiwa Vizuri, Mwanamke anapata MIMBA, KIRAHISI ZAIDI, na UWEZEKANO WA MIMBA kutoka unakuwa mdogo sana .

Ikiwa Upo kwenye Changamoto Hii, haushiki mimba Nitumie Ujumbe whatsapp 📨 inbox.




0692173223

Kwani nina Dawa nzuri sana sana na ushauri wa kitaalamu sana kuhusu Uzazi kijumla.

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Docsmart.Afya Ni Mtaji posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Docsmart.Afya Ni Mtaji:

Share