Afya plant

Afya plant Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Afya plant, Medical and health, Dar es Salaam.

Tunatoa huduma za Afya kwa magonjwa sugu, hususani kwa magonjwa yasiyo ya kuambukizwa.
🩺Pia tunafanya vipimo vya mwili mzima nk.
📍Tunapatikana Tanzania nzima.
+255761772427
+255779672427

🌿CHITOSAN & OYSTER TABLETS☘️"" Bidhaa bora kutoka GCAT International..♨️ ✅️ Jewew ni muhanga wa matatizo ya nguvu za kiu...
20/05/2026

🌿CHITOSAN & OYSTER TABLETS☘️"" Bidhaa bora kutoka GCAT International..♨️

✅️ Jewew ni muhanga wa matatizo ya nguvu za kiume👀🌶
✅️ Usiteseke tena na dawa za pharmacy ambazo ukitumia, papohapo utapata hamu, kisha ukimaliza tendo utahitajika uende tena pharmacy ukatumie nyingine

✨️TUMIA PAKAGE HII KUTOKA GCAT AMBAYO AINA MADHARA YOYOTE MWILINI ( AINA KEMIKALI )
✅️ Huongeza mzunguko wa damu
✅️Huimarisha misuli
✅️Huboresha nguvu za kuime
✅️Husaidia kuongeza hamu ya tendo la ndoa
✅️Husaidia kurudia tendo kwa wakati

📌Dawa hii hufanya kazi mwilini taratibu kisha kukufanya upya k**a mwanzo.

NB: Aina madhara yoyote ni tiba lishe.
☎️ 0761772427

16/05/2026

📖 Warumi 12:19 👇

"" Wapenzi, msijilipize kisasi, bali ipisheni ghadhabu ya Mungu; maana imeandikwa, Kisasi ni juu yangu mimi; mimi nitalipa, anena Bwana.""

📖 Romans 12:19 👇
""Dearly beloved, avenge not yourselves, but rather give place unto wrath: for it is written, Vengeance is mine; I will repay, saith the Lord.""

FIGO NI VIUNGO MUHIMU SANA MWILINI. KAZI ZAKE KUU NI PAMOJA NA:-👇✅️Kusafisha damuFigo huondoa uchafu, sumu na mabaki ya ...
15/05/2026

FIGO NI VIUNGO MUHIMU SANA MWILINI. KAZI ZAKE KUU NI PAMOJA NA:-👇

✅️Kusafisha damu
Figo huondoa uchafu, sumu na mabaki ya taka kutoka kwenye damu kisha kuyatoa nje k**a mkojo.

✅️Kutengeneza mkojo
Husaidia mwili kutoa maji yasiyohitajika na taka kupitia mkojo.
✅️Kudhibiti kiwango cha maji mwilini
Figo husaidia kuweka uwiano sahihi wa maji ili mwili usikauke au kujaa maji kupita kiasi.

✅️Kudhibiti chumvi na madini
Huweka kiwango sahihi cha madini k**a sodium, potassium na calcium kwenye damu.

✅️Kusaidia kudhibiti presha ya damu
Figo huzalisha homoni zinazosaidia kudhibiti shinikizo la damu.
✅️Kutengeneza homoni za damu
Hutoa homoni inayosaidia mwili kutengeneza chembe nyekundu za damu.

✅️Kuimarisha mifupa
Figo husaidia kugeuza vitamin D kuwa katika hali inayoweza kusaidia mifupa kuwa imara.

✨️Matatizo ya figo yanaweza kuanza taratibu bila dalili kubwa mwanzoni. Dalili zinazojitokeza mara nyingi ni pamoja na:👇

📌Kuvimba miguu, uso au mikono

📌Maumivu ya mgongo sehemu ya chini karibu na figo

📌Mkojo kubadilika rangi, kuwa na damu au povu nyingi & Kukojoa mara nyingi hasa usiku

📌Uchovu wa kupitiliza na mwili kukosa nguvu

📌Kichefuchefu au kutapika

📌Kupoteza hamu ya kula

📌Ngozi kuwasha sana & kupumua kwa shida

📌Presha ya kupanda mara kwa mara

VYAKULA VINAVYOSAIDIA AFYA YA FIGO:

✨️Vyakula vinavyoshauriwa zaidi ni:
✅️Matunda k**a tufaha🍎, zabibu🍇, tikitimaji🍉 na nanasi🍍

✅️Mboga za majani kwa kiasi sahihi
Kabichi, cauliflower na vitunguu.🥬🥦🫜
✅️Samaki wenye mafuta mazuri k**a salmon

✅️Maji ya kutosha(isipokuwa daktari amesema upunguze)
✅️Vyakula vyenye chumvi kidogo🧂
✅️Maharage na nafaka kwa kiasi kinachofaa🫘

VYAKULA VYA KUACHA
❎️Chumvi nyingi.
❎️Vyakula vya makopo na processed foods.

❎️Soda na vinywaji vyenye sukari nyingi & pombe kupita kiasi.
❎️Nyama zenye mafuta mengi.
❎️Dawa za maumivu zinazotumiwa mara kwa mara bila ushauri wa daktari.

NB: Karibu Eternal international kwa ushauri wa afya yako na tiba.
☎️ 0761772427

🕝 Nusu saa kabla ya mlo mkubwaAu⏱️ Masaa 2 baada ya mlo mkubwaKula matunda haya:🥑Parachichi🍉Tikiti maji🍋PapaiHusaidia:✅️...
13/05/2026

🕝 Nusu saa kabla ya mlo mkubwa
Au
⏱️ Masaa 2 baada ya mlo mkubwa

Kula matunda haya:
🥑Parachichi
🍉Tikiti maji
🍋Papai

Husaidia:
✅️Kuzuia tumbo kujaa gesi
✅️Kuweka mfumo wa chakula vizuri
✅️Kuzuia kiungulia
✅️Kupata choo kwa urahisi

🌿 From nature to nutrition 💚Discover the power of Spirulina — packed with protein, vitamins, minerals & antioxidants! 💊✨...
13/05/2026

🌿 From nature to nutrition 💚
Discover the power of Spirulina — packed with protein, vitamins, minerals & antioxidants! 💊✨
Healthy body. Strong immunity. Natural energy. 🌱⚡
☎️ 0761772427

Spirulina Tablets. Inayeyuka haraka mwiliniHusaidia kuondoa taka mwilini na kusafisha mfumo wa chakula k**a tumbo na utu...
13/05/2026

Spirulina Tablets. Inayeyuka haraka mwilini
Husaidia kuondoa taka mwilini na kusafisha mfumo wa chakula k**a tumbo na utumbo. Pia hupunguza kiwango cha mafuta katika damu na kuboresha kinga ya mwili.
Husaidia sana kuwapa nafuu wenye dalili au ugonjwa wa kusukari.
☎️ 0761772427

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya plant posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share