AfyaplusTz

AfyaplusTz Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from AfyaplusTz, Medical and health, San Nujoma, Road, Dar es Salaam.

NASAIDIA JAMII KATIKA KUTATUA VYANZO&KUTIBU MAGONJWA YOTE SUGU YANAYOHUSIANA NA MIFUMO YA UZAZI KWA WANAUME&WANAWAKE,,N.K


, N.K { KARIBUNI SANA}

21/08/2026
21/08/2026

🚨 USIUE BUI BUI KWA NYUNDO ⚠️ Wanawake Wengi Hawafahamu Hili kuhusu Afya Yao ya Uzazi.🎯MWANAMKE
Ute wa uke si uchafu—ni sehemu ya mfumo wa kawaida wa kujilinda na kusawazisha afya ya uke.
👉 Kulinda uke: Husaidia kuzuia ukuaji wa bakteria na vijidudu visivyofaa.
👉Kulainisha uke: Hupunguza ukavu na msuguano, hasa wakati wa tendo la ndoa.
👉 Kusaidia uzazi: Wakati wa ovulation, ute huwa mwingi, wa uwazi na mtelezi, na husaidia mbegu za kiume kusafiri kuelekea kwenye yai.
👉Kusafisha uke: Ute husaidia kuondoa seli zilizokufa na uchafu wa kawaida kutoka ukeni.
⚠️Kuonyesha mabadiliko ya mwili: Rangi, harufu na muonekano wa ute vinaweza kubadilika kutokana na mzunguko wa hedhi, homoni, ujauzito au maambukizi.
⚠️ Tahadhari: Ute wenye harufu kali isiyo ya kawaida, rangi ya kijani/njano, damu isiyo ya hedhi, kuwasha, kuungua au maumivu unahitaji uchunguzi wa mtaalamu wa afya.
🎯Afya ya uke inaanza kwa kuuelewa mwili wako—si kuuogopa. 🌷
📍Afya Njema Huanza Pale Unapojitambua,,, Usiogope Kuchukua Hatua Ndogo leo..👇
🤍Dr PaulAfricaSolution 🤝
📌Afya yako Ni kipaumbele Chako✅ @⁨all⁩
.
'simpactmillionspodcast Of Africa Safari JEROME TZ ✅

13/08/2026

🚨 USIUE BUI BUI KWA NYUNDO 🚨
🎯Wengi Hawana Taarifa Hii 👇

⚠️Tatizo hili Limekuwa kwa Kasi Sana katika Jamii Yetu Hivi Leo,, 📍Kati ya Wanaume 17_ Wanaume 10 Wana Tatizo hili la Kuvimba Ama Kutanuka Kwa Tezi Dume, Na Jamii Imehangaika Sana katika Hali ya kupambana Nalo Kwa Namna Mbali Mbali, Lakini pia Juhudi Hizi Zote Zimegonga Mwamba,😌 Na Kupelekea Tatizo hili kuwa Sugu, Kiasi Ambacho Matibabu ya Kawaida Hayawezekani Tena Na Kupelekea Jamii kuhatarisha Maisha, Na Wengine Kupoteza Maisha Yao Si Kwamba Matibabu ya Awali Hayafanyi Kazi,, HAPANA,, Baada ya Tafiti Zilizowahi kufanywa Miaka 15 Iliyo Pita, Imeeleza kuwa Jamii ya Wanaume Kuna kitu inakosa,, Ambacho Ni Tiba ya kudumu Maisha,,ELIMU SAHIHI} Ndio Hichi Ndicho Unakosa Na Ndio Maana Baada ya Tafiti Zangu Na kugundua Hali Hii Nimeamua kujitolea Bure kutoka Moyoni Kuisaidia Jamii Yetu,,, Karibu Tupate Tiba Hii Kwa Pamoja Ili tuweze kufanikisha kukisaidia Kizazi Hichi na Kijacho,,, Let's Gooo...👉⚠️ TEZI DUME — MWANAUME, JE UNAFAHAMU HILI?!

Tezi dume (prostate) ni tezi inayopatikana kwa wanaume, chini ya kibofu cha mkojo. Kadiri mwanaume anavyozeeka, Lakini Leo Hii Mpaka Vijana wa MIAKA 20 Anaugua Tatizo hili,,,tezi hii inaweza kuongezeka ukubwa na kusababisha matatizo ya kukojoa.

🛡️ KINGA
👉 Fanya uchunguzi wa afya ya tezi dume kwa ushauri wa mtaalamu wa afya, hasa unapoongezeka umri.
👉 Kula lishe yenye mboga, matunda na vyakula vyenye virutubisho mbalimbali.
👉Fanya mazoezi na dhibiti uzito wa mwili.
👉 Usipuuze mabadiliko yoyote katika mfumo wa mkojo.

🚨 DALILI ZA KUZINGATIA
⚠️ Kukojoa mara kwa mara, hasa usiku.
⚠️Kuchelewa kuanza kukojoa au mkojo kutoka kwa shida.
⚠️ Mkojo kutoka kwa nguvu ndogo au kusita-sita.
⚠️ Kuhisi kibofu hakijaisha baada ya kukojoa.
⚠️ Maumivu au damu kwenye mkojo — hii inahitaji tathmini ya haraka ya kitabibu.

⚠️ MADHARA

🚨Ikiachwa bila kutathminiwa, tatizo la tezi dume linaweza kusababisha kushindwa kutoa mkojo.
🚨maambukizi ya njia ya mkojo, mawe ya kibofu na kuathirika kwa figo.
📌Si kila tatizo la tezi dume ni saratani, lakini saratani ya tezi dume pia inaweza kuwepo bila dalili za awali.

MWANAUME, USISUBIRI MWILI ULALAMIKIE.
KUCHUNGUZA MAPEMA NI KUJILINDA. 🛡️

East Africa Radio Zari the bosslady KFC

10/08/2026

🎯 Silikiliza Kanuni Hii Itakayosaidia Afya yako ya Uzazi,,,Hususani Kwenye Njia ya Mkojo...
🚨Mwili wako Siyo Chumba Majaribio{Maabara}📍
🎯Unatakiwa Uijue Kila Hatua ya Afya Yako Na Si Kudili Na Matibabu yanayo Pam ana Haraka Na Matokeo ya Tatizo Na Baada ya Mda Tatizo Hurudi Pale Pele,,,😔
🧠Maarifa Sahihi, yamebeba Uponyaji wako.

05/08/2026

🚨 USIUE BUI BUI KWA NYUNDO ‼️
💪Be a real Man program🔥🔥🔥
🎯Usitumie Madawa kiholela Ili Kuongeza Ufanisi Katika Tendo la Ndoa, Badili Mtindo Mbovu Wa Maisha Yako.
📍 Share, Like& follow

Address

San Nujoma, Road
Dar Es Salaam
21493

Opening Hours

Monday 08:30 - 18:00
Tuesday 08:30 - 18:00
Wednesday 08:30 - 18:00
Thursday 08:30 - 18:00
Friday 08:30 - 18:00
Saturday 08:30 - 18:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when AfyaplusTz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to AfyaplusTz:

Shortcuts

Share