Gcat International Hospital

Gcat International Hospital Tunahusika na virutubishe lishe pamoja na Ushauri

JE, MSHAHARA WAKO UNAISHIA NJIANI? 🚨❌ Mshahara hautoshi mpaka mwisho wa mwezi? ❌ Madeni yanaongezeka kila siku? ❌ Unafan...
11/06/2026

JE, MSHAHARA WAKO UNAISHIA NJIANI? 🚨
❌ Mshahara hautoshi mpaka mwisho wa mwezi? ❌ Madeni yanaongezeka kila siku? ❌ Unafanya kazi kwa bidii lakini maisha hayabadiliki? ❌ Una ndoto nyingi lakini kipato kimoja hakitoshi?
K**a umejiona kwenye mojawapo ya haya, basi muda umefika wa kutafuta chanzo kingine cha mapato!
βœ… Jifunze namna ya kujenga biashara ya ziada ukiendelea na kazi yako. βœ… Pata maarifa ya kuongeza kipato bila kuacha ajira yako. βœ… Kutana na watu wenye maono ya mafanikio na uhuru wa kifedha.
Usikubali maisha yako yaamuliwe na mshahara pekee.
πŸ“…Natoa Mafunzo Kuondokana na hiyo hali yako bure kabisa .
Mafunzo yatafanyika: Kesho πŸ•— Muda: Saa 2:00 Usiku
Andika "NIPO TAYARI" au nitumie ujumbe binafsi ili upate link ya kujiunga.

Mabadiliko ya maisha yako yanaweza kuanza kwa uamuzi mmoja tu leo!

πŸ”¬ VIPIMO KAMILI VYA MAGONJWA YASIYOAMBUKIZA – Tsh 30,000 TU!Je, unataka kujua hali ya afya yako mapema kabla ugonjwa hau...
06/06/2026

πŸ”¬ VIPIMO KAMILI VYA MAGONJWA YASIYOAMBUKIZA – Tsh 30,000 TU!

Je, unataka kujua hali ya afya yako mapema kabla ugonjwa haujawa mkubwa?

Tunatoa vipimo vya:
❀️ Moyo
🩺 Figo
πŸ«€ Ini
🍽️ Vidonda vya Tumbo
πŸ‘¨ Afya ya Uzazi kwa Wanaume
πŸ‘© Afya ya Uzazi kwa Wanawake

βœ… Matokeo ya haraka
βœ… Huduma bora na ushauri wa kitaalamu
βœ… Vipimo sahihi vya mwili mzima

πŸ’° Bei: Tsh 30,000 tu

πŸ“ž Wasiliana nasi:
0755 788 085
0783 903 104

πŸ“ Tunahudumia Tanzania nzima

Pima sasa, jua afya yako leo!
Afya yako ni uwekezaji bora kuliko vitu vyote.

02/06/2026
29/05/2026

😫 Unasumbuliwa na VIDONDA VYA TUMBO?

Je unapata:
❌ Maumivu makali ya tumbo
❌ Kiungulia mara kwa mara
❌ Gesi nyingi tumboni
❌ Kichefuchefu
❌ Kukosa hamu ya kula
❌ Tumbo kujaa au kuwaka moto

Usipuuze dalili hizi!
Vidonda vya tumbo vinaweza kuathiri afya yako na maisha yako ya kila siku.

🌿 Suluhisho lipo kwa njia ya TIBA LISHE 🌿

Tunatumia virutubisho maalum vinavyosaidia:
βœ… Kutuliza mfumo wa mmeng’enyo wa chakula
βœ… Kuboresha afya ya tumbo
βœ… Kupunguza maumivu na muwasho tumboni
βœ… Kusaidia mwili kujijenga upya kwa njia salama na kuongeza CD4

✨ Anza kujali afya yako leo kwa kutumia Tiba Lishe bora.

πŸ“ž Wasiliana nasi sasa:
Madam Eliza
0755788085

21/05/2026

✨ EMS Foot Massage ya Eternal International ✨
Chukua muda wa kupumzisha mwili wako na kurejesha nguvu zako kwa njia rahisi na ya kisasa πŸ’†β€β™€οΈπŸ’†β€β™‚οΈ

βœ… Husaidia kupunguza uchovu wa miguu
βœ… Huchangamsha mzunguko wa damu mwilini
βœ… Husaidia kupunguza maumivu ya miguu na nyayo
βœ… Hutoa hisia ya utulivu na relaxation
βœ… Husaidia kupunguza stress na kuchoka baada ya kazi
βœ… Rahisi kutumia ukiwa nyumbani au ofisini

Miguu yenye afya ni mwanzo wa mwili wenye nguvu πŸ’―

πŸ“ž Wasiliana na Madam Eliza:
0755788085

With KCB Bank TZ – I just got recognized as one of their top fans! πŸŽ‰
15/05/2026

With KCB Bank TZ – I just got recognized as one of their top fans! πŸŽ‰

08/05/2026

🦷✨ TABASAMU LENYE MVUTO HUANZA NA MENO YENYE AFYA ✨🦷

Je, unasumbuliwa na: ❌ Harufu mbaya ya mdomo
❌ Meno kuwa ya njano
❌ Maumivu ya fizi
❌ Plaque na uchafu wa meno

Suluhisho ni kutumia Toothpaste ya Eternal International 🌿

βœ… Husafisha meno kwa kina
βœ… Huacha mdomo ukiwa fresh muda mrefu
βœ… Husaidia kung’arisha meno
βœ… Hulinda afya ya fizi na meno
βœ… Husaidia kuondoa harufu mbaya ya mdomo

Pata tabasamu safi, confident na lenye kuvutia kila siku 😍

πŸ“ž Wasiliana nasi leo: 0755788085
πŸ‘©β€πŸ’Ό Madam Eliza

🌿 JE UNASUMBULIWA NA VIDONDA VYA TUMBO? 🌿Maumivu ya tumbo yasiyoisha, gesi nyingi, kichefuchefu, tumbo kujaa au kuungua ...
07/05/2026

🌿 JE UNASUMBULIWA NA VIDONDA VYA TUMBO? 🌿

Maumivu ya tumbo yasiyoisha, gesi nyingi, kichefuchefu, tumbo kujaa au kuungua mara kwa mara vinaweza kukunyima furaha ya maisha kila siku. Watu wengi wamekuwa wakiteseka kimya kimya wakihangaika kutafuta suluhisho sahihi bila mafanikio.

✨ Sasa usikate tamaa!
Suluhisho lipo kupitia Isomalto Oligosaccharide Powder kutoka Eternal β€” tiba lishe maalum inayosaidia afya ya mfumo wa mmeng’enyo wa chakula na kusaidia kupunguza changamoto za vidonda vya tumbo kwa njia salama zaidi.

βœ… Husaidia kupunguza maumivu ya tumbo
βœ… Husaidia kupunguza gesi tumboni
βœ… Husaidia kuboresha afya ya utumbo
βœ… Husaidia kupunguza kichefuchefu
βœ… Husaidia kuimarisha mfumo wa mmeng’enyo wa chakula

K**a unahisi:
❌ Tumbo kujaa gesi mara kwa mara
❌ Maumivu makali ya tumbo
❌ Kichefuchefu au kutapika
❌ Kukosa raha baada ya kula
❌ Kuungua tumboni

πŸ’š Basi huu unaweza kuwa muda wako wa kupata msaada unaouhitaji.

πŸ“Œ Usiendelee kuteseka kimya kimya!
Wasiliana nasi leo upate maelezo zaidi kuhusu matumizi na jinsi bidhaa hii inaweza kukusaidia.

πŸ“ž MADAM ELIZA EDWARD
☎️ 0755 788 085

✨ Afya bora huanza na utumbo wenye afya. ✨

07/05/2026

🌿 AFYA NJEMA, MAISHA BORA! 🌿
Unasumbuliwa na mafuta mengi mwilini? Kitambi hakipungui? Mwili mzito na uchovu wa mara kwa mara?

β˜• Antilipemic Tea ya Eternal International ndiyo suluhisho lako la asili!

βœ… Husaidia kupunguza mafuta mwilini
βœ… Huchoma kitambi kwa ufanisi
βœ… Huboresha mzunguko wa damu
βœ… Husaidia kupunguza uzito kwa njia salama
βœ… Huongeza nguvu na kuleta mwili mwepesi

✨ Anza leo ujionee mabadiliko ya kweli!

πŸ“ž Wasiliana nasi: 0755788085
πŸ‘©β€βš•οΈ Madam Eliza – Tunapatikana Tanzania nzima

Address

Majumba Sita
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Gcat International Hospital posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share