JALI AFYA YAKO

  • Home
  • JALI AFYA YAKO

JALI AFYA YAKO 💊Fertility doctor.

(Mtabibu wa Changamoto za Uzazi).

🩺" Nasaidia wanaume na wanawake kutatua changamoto zao za uzazi kwa kutumia Tibalishe zilizothibitishwa".

💡"Kila mtu ana nafasi ya kuitwa Mama au Baba,usikate tamaa tupo kwa ajili yako".

28/08/2026

Kuwa Mkweli TU, Kwa siku Huwa unakunywa Maji Lita Ngapi??

👉Baadhi ya Magonjwa/Matatizo Yanayo wanyima Raha Na Kujiamini Akina dada.💉UTI,💉PID,💉Fungus, 💉Uvimbe kwenye Kizazi,💉Infec...
19/08/2026

👉Baadhi ya Magonjwa/Matatizo Yanayo wanyima Raha Na Kujiamini Akina dada.

💉UTI,
💉PID,
💉Fungus,
💉Uvimbe kwenye Kizazi,
💉Infections,
💉Ukavu ukeni,
💉Hamu ya tendo,
💉Mimba kuharibika,
💉Kutoshika mimba kabisa,

NB: JE...!!? Umeshahi kujiuliza kwanini katika yote 9 hakuna mdada anaye ruka hata moja wapo....??

✍🏻Tuandikie kwenye comment hapo chini ni Ugonjwa Gani kati ya haya magonjwa unakusumbua na unahitajia Suluhisho lake la moja Kwa Moja.

14/08/2026
✍️Linapokuja suala zima la Uzazi Kwa Mwanaume na Nguvu za kiume  ni jambo ambalo lazima Kila Mwanaume alipe kipaumbele n...
11/08/2026

✍️Linapokuja suala zima la Uzazi Kwa Mwanaume na Nguvu za kiume ni jambo ambalo lazima Kila Mwanaume alipe kipaumbele na kuhakikisha kwamba anakuwa vizuri katika Sekta hizo vyovyote vile.

👉Wapo baadhi ya wanaume wanaopitia changamoto ya Maumbile Yao ya kiume kulegea legelege na kunywea hasa hasa wawapo katika Tendo, jambo hili limekua likiwaumiza sana vichwa na kuwanyima Raha.

♻️Zipo sababu kadhaa zinazoweza kusababisha uume kunywea na kushindwa Kusimama vizuri wakati wa Tendo, Nazo Ni :-

1. Uzee: Uume kunywea inaweza kutokea k**a sehemu ya mchakato wa kuzeeka, ambapo nguvu na uwezo wa uume kusimama unaweza kupungua.

2. Matatizo ya kiafya: Matatizo ya kiafya k**a kisukari, shinikizo la damu, ugonjwa wa moyo, na magonjwa mengine yanaweza kusababisha uume kunywea.

3. Matumizi ya dawa: Baadhi ya dawa zinaweza kusababisha athari za upande ikiwa ni pamoja na uume kunywea. Ni muhimu kuzungumza na daktari wako k**a unatumia dawa na unakutana na tatizo hili.

4. Matatizo ya akili: Msongo wa mawazo, wasiwasi, au matatizo ya kisaikolojia yanaweza kuathiri uwezo wa uume kusimama.

5. Tabia za maisha: Unywaji wa kupindukia wa pombe, uvutaji wa sigara, lishe mbaya, na ukosefu wa mazoezi unaweza kuathiri afya ya uume.

6.Punyeto/ kupanda mnazi Kwa Mkono mmoja.
Hiki kitendo Cha Kujichua na kujisisimua Ili ukidhi haja zako za kimwili Huwa kinatabia ya kudhoofisha misuli ya kwenye Uume... Misuli hii ya kwenye Uume ikidhoofika na kuwa legevu hata mtiririko wa damu Unakuwa ni mdogo sana, ndio pale mtu anaweza akajikuta maumbile yake ni makubwa lakini ni legevu na Kuna muda hapati Ile (Er****on) Mdindo madhubuti. Kiufupi Punyeto ni mbaya sana na inadhoofisha Afya YAKO ya Uzazi.
Acha mara Moja kitendo hicho Ili uwe Rijali wa kweli.

Nb:-Ikiwa una wasiwasi kuhusu suala hili, ni muhimu kuzungumza na daktari wako. Anaweza kutoa ushauri na matibabu sahihi kulingana na sababu ya uume kunywea na hali yako ya kibinafsi.

Au pia unaweza ukatuona sisi tukakusaidia kutatua changamoto yako hiyo inayokukabili.
Usikubali uingie Mwaka 2026 ikiwa Hali yako ya Uzazi Kwa ujumla ni Mbaya sana. Kupanga ni Kuchagua.

Wasiliana nasi Kwa msaada zaidi kupitia ☎️+255717920637/WhatsApp.

✍HORMONAL IMBALANCE (MVURUGIKO WA HOMONI).🪢Homoni za mwili zinapokuwa zimevurugika, huathiri mfumo wa uzazi, mzunguko wa...
08/08/2026

✍HORMONAL IMBALANCE (MVURUGIKO WA HOMONI).

🪢Homoni za mwili zinapokuwa zimevurugika, huathiri mfumo wa uzazi, mzunguko wa Hedhi na Hata Afya ya Akili. Lakini pia hormonal imbalance inaweza kupelekewa kwenye mzunguko wako wa Hedhi ukapata hedhi isiyo ya kawaida au usipate hedhi kabisa.

👉Pia hupelekea usingizi kuwa wa shida, uchovu wa Mwili wa muda wote, kuota nywele (mwanamke kifuani, tumboni, ndevu). Mvurugiko wa homoni unaweza ukakufanya uhisi Umesha beba ujauzito hadi ukafanya kipimo wakati kiuhalisia hauna ujauzito, au unaweza hisia mtoto anacheza tumboni nk. Nk.

👉Mvurugiko wa homoni unaweza ukakupelekea ukawa k**a mwanaume, yani Inaweza fika hatua usiwaze chochote kuhusu TENDO LA NDOA au usiwe na hisia na mwanaume kabisa. Lakini pia hupelekea kwa mwezi ukawa tunaungia hedhi mara mbili Yani kabla ya siku 20 unajikuta umeingia hedhi tena.

👉Mvurugiko wa homoni hupelekea wenza wengi kugombana kwani huchochea maambukizi ya fangasi ukeni mara nyingi Ambapo wengi hudhani ni magonjwa ya zinaa.

👉Mvurugiko wa homoni hupelekea ukavu ukeni, maumivu wakati wa TENDO hasa Kutokana na ukavu ukeni, pia husababisha chango la uzazi.

👉Mvurugiko wa homoni pia hupelekea maumivu makali wakati wa Hedhi na Hata siku za hatari na ndio maana wengi hushindwa kupata ujauzito katika hali hii. Lakini pia mvurugiko wa homoni hupelekea kokwa za mayai zishindwe kuzalisha mayai na zijae maji au zivimbe na hapa ndipo utaambiwa una changamoto Ya Ovarian cysts (Vimbe maji).

✍Ubaya ni kwamba vichocheo ambavyo vingekusaidia kupevusha mayai na mzunguko kuwa Sawa vinahamia kwenye kutengeneza mafuta ya ziada Mwilini, Ndiyo maana wengi wenye changamoto hii ya (Hormal imbalance) Wana unene usiyoeleweka na vifriji tumboni😁,, Mikono minne, nyamauzembe, nyama za mgongoni nk nk.

☘Jinsi gani utaweza kuweka Sawa homoni zako ikiwa zimevurugika?

👉Asilimia 70% ya wahanga wote wa Hormonal imbalance iwe ni wanawake au wanaume matatizo yao yanakithitri Kutokana na mtindo wao mbovu wa Ulaji, hawali vyakula vyenye Afya na virutubisho sahihi.. Mfano mzuri ni wewe hapo unaesoma ujumbe huu tazama Ulaji wako jinsi ulivyo kila siku wanywa soda mbili, mara chipsi mayai, haujakaa Sawa mara soseji,,, wengine pia bila bia na nyama choma siku haiendi. Nk.

💊Ni lazima wakati unaendelea na matibabu ya kubalance homoni zako, ubadili pia na mtindo wako wa Ulaji kwani hii itasaidia sana kupona haraka, Kiufupi Tiba yako ihusishe lishe sahihi na dawa Tiba nyingine, hapo utapona Kwa urahisi,, na uzuri sisi katika Program zetu za Tiba Hayo yote Huwa tunayazingatia kwa wagonjwa wetu tunaowapa matibabu.

✍🏻By the way k**a unachangamoto kuhusu hormone imbalance, matatizo ya Uzazi na changamoto zingine usisite kuwasiliana nasi Kwa msaada zaidi wa Tiba na Ushauri, wasiliana nasi kupitia📱 0717 920 637 .

29/07/2026

Ukweli Mchungu..,Mwanaume Akiwa Hana Pesa Anakubali kweli Hana Na Anapambana kuzipata, Ila Mwanamke Akiwa Hana pesa Anaamini Mwanaume alienae si sahihi.

28/07/2026

Why does s*x usually stop when the Guy cums?😂

25/07/2026

Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Alian Kim To, Saleh Gapo, Mercyline Jumwa, ʆʆ Igniter ʆʆ, Prisky Zeid, Cosmus Kazungu

14/07/2026

Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Melac Eliakm, Calvin Sadiki Kitale, Jumba Dan Kivisi, Cujju Vibes, Chitanda Junior

Address

Ilala Boma

Telephone

+255717920637

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when JALI AFYA YAKO posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to JALI AFYA YAKO:

Shortcuts

  • Want your business to be the top-listed Health & Beauty Business?

Share