Mwanaporii

Mwanaporii Tunatoa Tiba ya VIDONDA VYA TUMBO kwa Dawa za Mimea. Lakini pia tunatibu maradhi/ changamoto mbal

ZENATI MAX COMPLETE DOSE
04/05/2023

ZENATI MAX COMPLETE DOSE

04/05/2023

MAUMIVU YA TUMBO NA VIDONDA VYA TUMBO

Vidonda vya tumbo ni ugonjwa wa mfumo wa mmeng’enyo wa chakula katika mwili wa binadamu, ambapo kuta za mfumo wa uchakataji wa chakula huchubuka. Ni vidonda vinavyopatikana ndani ya mfumo wa tumbo. Ugonjwa huu huathiri zaidi watu wazima na kwa kiasi kidogo sana kwa watoto wadogo.

VIASHIRIA vya kuwa kuna tatizo la vidonda ndani ya tumbo ni; Kuwa na maumivu makali hasa baada ya kula, Kuumwa tumbo baada ya kula vyakula k**a dagaa, maharage na pilipili, Kuumwa mgongo au kiuno, Kiungulia, Tumbo kujaa gesi, Tumbo kuwaka moto, Kukosa choo au kupata choo kwa shida, Kutapika nyongo, kichefuchefu na Kushindwa kupumua vizuri

Na Vidonda vya tumbo huweza kuwa;
-Ndani ya mfuko wa tumbo kuu la kuhifadhi chakula na vikiwa huko hufahamika k**a Gastric Ulcers
-Sehemu ya mwanzo ya utumbo mwembamba na huitwa Duodenal Ulcers
-Sehemu ya mwisho/chini ya koromeo la chakula na huitwa Esophageal Ulcers
Vidonda vya tumbo husababishwa na; Tindikali (Acid) inayopatikana ndani ya tumbo, Kutokula chakula kwa wakati unaostahili, Msongo mkali wa mawazo, Kula vyakula vyenye tindikali (acid) nyingi mara kwa mara, Bakteria waitwao Helicobacter pylori (H. pylori) bacteria hawa huanza kushambulia baada ya kuta za tumbo kuchubuliwa na acid, Uvutaji wa sigara na matumizi ya vilevi vikali.

Tatizo la vidonda vya tumbo lisipotibiwa hupelekea; Kupata haja kubwa iliyochanganyika na damu, Kuchoka bila sababu maalumu, Kupungua kwa nguvu za kiu-me, Kizunguzungu, Sehemu za mwili kupata ganzi,, Kusahausahau na hasira bila sababu, pia Kukosa hamu ya kula. Vikishamiri sana huweza kusababisha tatizo la bawasiri au mgoro kutokwa na kinyama sehemu ya haja kubwa isipotibiwa inaweza kuwa na athari zaidi.

ZENATI MAX ni dawa ya miti shamba inayotibu changamoto ya vidonda vya tumbo kwa kuponyesha michubuko kwenye kuta za tumbo na kuondoa bacteria wanaochagiza tatizo la vidonda vya tumbo, Pia huondoa mlundikano wa Gesi na Acid tumboni. Na dawa hii haina madhara hasi kwa mtumiaji.
Tupo Dar es salaam huduma yetu utaipata popote ulipo Tanzania bara na Zanzibar.

KWA MAWASILIANO/MSAADA ZAIDI Piga: 0653 842 406 au

WHATSAPP kwa kugusa hii link; wa.me/255653842406

Tunatoa Tiba ya VIDONDA VYA TUMBO kwa Dawa za Mimea.

Lakini pia tunatibu maradhi/ changamoto mbal

26/08/2022

MAUMIVU YA TUMBO NA VIDONDA VYA TUMBO
Vidonda vya tumbo ni ugonjwa wa mfumo wa mmeng’enyo wa chakula katika mwili wa binadamu, ambapo kuta za mfumo wa uchakataji wa chakula huchubuka. Ni vidonda vinavyopatikana ndani ya mfumo wa tumbo. Ugonjwa huu huathiri zaidi watu wazima na kwa kiasi kidogo sana kwa watoto wadogo.

VIASHIRIA vya kuwa kuna tatizo la vidonda ndani ya tumbo ni; Kuwa na maumivu makali hasa baada ya kula, Kuumwa tumbo baada ya kula vyakula k**a dagaa, maharage na pilipili, Kuumwa mgongo au kiuno, Kiungulia, Tumbo kujaa gesi, Tumbo kuwaka moto, Kukosa choo au kupata choo kwa shida, Kutapika nyongo, kichefuchefu na Kushindwa kupumua vizuri

Na Vidonda vya tumbo huweza kuwa;
-Ndani ya mfuko wa tumbo kuu la kuhifadhi chakula na vikiwa huko hufahamika k**a Gastric Ulcers
-Sehemu ya mwanzo ya utumbo mwembamba na huitwa Duodenal Ulcers
-Sehemu ya mwisho/chini ya koromeo la chakula na huitwa Esophageal Ulcers
Vidonda vya tumbo husababishwa na; Tindikali (Acid) inayopatikana ndani ya tumbo, Kutokula chakula kwa wakati unaostahili, Msongo mkali wa mawazo, Kula vyakula vyenye tindikali (acid) nyingi mara kwa mara, Bakteria waitwao Helicobacter pylori (H. pylori) bacteria hawa huanza kushambulia baada ya kuta za tumbo kuchubuliwa na acid, Uvutaji wa sigara na matumizi ya vilevi vikali.

Tatizo la vidonda vya tumbo lisipotibiwa hupelekea; Kupata haja kubwa iliyochanganyika na damu, Kuchoka bila sababu maalumu, Kupungua kwa nguvu za kiu-me, Kizunguzungu, Sehemu za mwili kupata ganzi,, Kusahausahau na hasira bila sababu, pia Kukosa hamu ya kula. Vikishamiri sana huweza kusababisha athari zaidi.

ZENATI ni dawa ya mimea inayotibu changamoto ya vidonda vya tumbo kwa kuponyesha michubuko kwenye kuta za tumbo na kuondoa bacteria wanaochagiza tatizo la vidonda vya tumbo. Na dawa hii haina madhara hasi kwa mtumiaji.

KWA MAWASILIANO/MSAADA ZAIDI Piga: 0653 842 406 au
WHATSAPP kwa kugusa hii link; wa.me/255653842406

U.T.I INAVYOADHIRI MFUMO YA UZAZI KWA WANAWAKEU.T.I ni kifupi cha maneno “Urinary Tract Infection”, ikimaanisha ni maamb...
06/06/2022

U.T.I INAVYOADHIRI MFUMO YA UZAZI KWA WANAWAKE

U.T.I ni kifupi cha maneno “Urinary Tract Infection”, ikimaanisha ni maambukizi katika njia ya mkojo. Maambukizi huweza kuwa kwenye mirija ya mkojo, kibofu, na ikiwa sugu zaidi huweza kuathiri mirija ya juu ya figo na figo zenyewe. Kwa mantiki hiyo huweza pia kuadhiri mfumo wa uzazi hali inayopelekea kushindwaa kupaata ujauzito.

1. UGUMBA KWA WANAWAKE
Ugumba ni kile kitendo au ni ile hali ya mwanamke kufanya tendo la ndoa kwa kipindi cha mwaka mmoja pasipo njia yoyote ya uzazi wa mpango, na bado mwanamke hapati au hashiki ujauzito.
Ili mwanamke apate mimba, sehemu zote za mwili wake zinazohusika na uzazi zinatakiwa zifanye kazi inavyotakiwa; Moja kati ya ovari mbili za mwanamke lazima iachie yai “lililokomaa”, Yai hili lazima lisafirishwe na mrija wa uzazi (fallopian tube), Mbegu za mwanamme lazima zisafiri kupitia Cervix, tumbo la uzazi (uterus) hadi kwenye mrija wa uzazi, kulifikia yai na kulipevusha.
Yai lililopevushwa lazima lisafiri kupitia mrija wa uzazi hadi kwenye tumbo la uzazi (uterus), Yai hilo lazima linate kwenye ukuta wa uterus na kuanza kukua.
Ugumba kwa mwanamke unaweza kutokana na dosari katika sehemu yoyote ndani ya mfumo wa uzazi, na mara nyingine hutokana na dosari katika hatua zaidi ya moja. Kwa Mfano:
i). Kushindwa Kuzalisha Mayai (Anovulation);
Hili ndilo tatizo ambalo linachangia ugumba kwa wanawake kwa 30% lakini kwa bahati nzuri 70% ya wanawake wenye tatizo hili hupata tiba na kufanikiwa kupata watoto. Mwanamke mwenye tatizo hili hutoa mayai mara chache au hatoi mayai kabisa.
ii). Mirija kuziba kutokana na sababu mbalimbali zikiwemo kuharibika kwa mimb-a

2. UVIMBE KWENYE KIZAZI (FIBROIDS)
Fibroid ni uvimbe ambao hutokea kwenye tumbo la kizazi ambao si kansa, ni uvimbe wa kawaida tu ambao unakua kwa kutegemea kichocheo cha estrogen hormone. Huwapata Zaidi wanawake waliopo kwenye umri wa kuzaa, kuanzia kubalehe mpaka kukoma kwa hedhi. Na mara nyingi huongezeka na kukua sana hasa wakati wa ujauzito kwani vichocheo hivi huongezeka wakati huu kulinda makazi ya mtoto. Watu waliofikia kikomo cha hedhi hawapati fibroids

3. MATATIZO YA HEDHI
Hitilafu ya hedhi ni ishara ya kuwa na tatizo aidha kwenye mfumo wa homoni au mfumo wa uzazi kwa ujumla wake. ili mwanamke aweze kuwa na mzunguko ulio sahihi wa hedhi, ni lazima matezi yake ya hypothalamus na pituitary pamoja na kiwanda cha kutengeneza mayai ya k**e (ovaries) na mji wa mimba (uterus) vifanye kazi zake sawasawa.
Viashiria vinavyoweza kuonyesha kuwepo kwa tatizo kwenye mfumo wa Hedhi ni; Maumivu makali ya tumbo kipindi cha mzunguko, Tumbo kujaa gesi kipindi cha mzunguko, Kutokwa na damu nyingi na maumivu makali ya kiuno na mgongo, Kuvurugika kwa mpangilio wa siku za hedhi yaani siku za mzunguko kutokuwa maalumu (kuna muda zinawahi au zinachelewa zaidi, zinazidi mwezi),

Kwahiyo kwa wenye changamoto ya masula ya uzazi ni vyema kupata tiba sahihi yenye kuleta matokeo chanya.

EVERYN ni dawa ya mimea inayotibu P.I.D (Pelvic Inflammatory Disease) na matatizo mengine ya mfumo wa uzazi yanayopelekea kushindwa kushika ujauzito kwa wakati.

MAWASILIANO piga simu 0653 842 406 Au

WhatsApp Link; wa.me/255653842406

14/04/2022

03/04/2022

KUWAHI KUFIKA KILELENI NA KUPOTEZA HISIA/HAMU YA KURUDIA

Upungufu wa Nguvu za Kiu-me ni hali ya kushindwa kufanya tendo la ndoa kwa ufasaha/kikamililifu, viungo vya mwanaume hushindwa kusimama vizuri, huwa legevu na huwahi kufika kileleni. Tendo la ndoa huhusisha utulivu wa akili, mfumo wa homoni husika hasa testosterone, mfumo wa nerves, misuli ya mwili, pamoja na mishipa ya damu. Tafiti zinaonyesha kuwa kati ya wanaume 10 basi wa 4 kati yao wanasumbuliwa na tatizo la upungufu wa nguvu. Kwa ujumla hali hii husababishwa na kutokuwa sawa kiafya.

Vipo Viashiria mbalimbali vinavyoweza kuonyesha kuwa kuna upungufu wa nguvu. Miongoni mwa vitu hivyo ni; Kukosa hamu ya tendo la ndoa, askari hasimami sawa-sawa/bara-bara, au anasimama kwa muda mfupi na Kuwahi kufika kileleni na kukosa hamu ya kurudia tendo la ndoa, Mwili kuchoka na kujisikia usingizi mzito baada ya kufanya tendo, Kukosa pumzi na uchangamfu wa mwili. Vitu hivi huonyesha kutokuwepo kwa nguvu.

Kuna magonjwa au maradhi kadhaa, tabia na mtindo wa maisha, pia aina ya vyakula tunavyokula vinavyoweza kupelekea shida ya upungufu wa nguvu. Baaadhi ya maradhi na tabia hizo ni; Maradhi ya U.T.I sugu, Tumbo kujaa gesi, Kujichua/kupiga punye-to, Vidonda vya tumbo, Maradhi ya kisukari, Presha ya kupanda na presha ya kushuka, Matumizi ya madawa ya kulevya, Bawasili (mgoro) ya muda mrefu, Kupata choo kigumu (Constipation), Uzito mkubwa/unene uliopitiliza, Saratani ya tezi dume (Prostate cancer), Vyakula vyenye mafuta mengi, Na maumivu ya kiuno na mgongo.

Wahanga wengi wa tatizo hili huhangaika na kutafuta dawa za kuongeza nguvu au msisimko wa misuli ya maumbile ili kukidhi haja ya kufanya tendo kwa muda mrefu na kuchelewa kufika kileleni. Kitendo hiki siyo sahihi kwa sababu huwa hakitibu mzizi wa tatizo na badala yake huamsha misuli kwa muda tu na tatizo hubaki pale pale, kwamba hawezi kufanya tendo hadi atumie dawa za kusisimua misuli ya dhakari.

FINNA ni dawa ya mimea, inayotibu tatizo la nguvu kwa kushughulika na mfumo wa uzalishaji wa homoni husika. Dawa hii pia huboresha mzunguko wa damu kwenye mishipa ya dhakari.
Pia tunazo dawa tofauti tofauti za mimea asilia ambazo hutibu changamoto mbalimbali za kiafya zinazopelekea upungufu wa nguvu. Dawa hizi hurejesha ufanyaji kazi asilia wa mfumo.

MWANAPORI pia tunayo dawa ya kunyoosha na kuimarisha misuli ya dhakari iliosinyaa, kwa wale wenye maumbile yaliyosinyaa (Maarufu k**a KIBAMIA).

WASILIANA nasi kwa kupiga: 0653 842 406 au
WhatsApp link: wa.me/255653842406

Tunatoa Tiba ya VIDONDA VYA TUMBO kwa Dawa za Mimea.

Lakini pia tunatibu maradhi/ changamoto mbal

PUMU (ASTHMA) na NIMONIA (PNEUMONIA)Ni magonjwa yanayoathiri mfumo wa upumuaji (mapafu), ambapo bronchioles na alveoli h...
05/10/2021

PUMU (ASTHMA) na NIMONIA (PNEUMONIA)
Ni magonjwa yanayoathiri mfumo wa upumuaji (mapafu), ambapo bronchioles na alveoli huvimba na kuwa na ute mzito na hivyo njia ya hewa kuwa nyembamba na kumfanya mgonjwa apumue kwa shida. Pumu na Pneumonia huwa na sifa za dalili zinazokaribiana au zinazofanana.
Utofauti upo kwenye namna ya kundi la watu linaloathirika zaidi, baadhi ya dalili na visababishi. Pamoja na kwamba Pneumonia huweza kuathiri mtu wa rika yoyote (watoto, vijana na watu wazima) Lakini huathiri zaidi watoto wenye umri chini ya miaka 2 na watu wazima wenye umri wa miaka zaidi ya 65. Pumu huathiri rika zote kwa uwiano sawa.

Viashiria vinavyoonyesha uwepo wa tatizo la pumu/Asthma ni; Kifua kubana, Kukosa pumzi na kupumua kwa shida, Kukohoa mfululizo, Kutoa sauti k**a miluzi wakati unapumua, Mwili kuwa dhaifu, Kushindwa kuzungumza na pia kuwa na hali k**a ya kuchanganyikiwa.
Pneumonia vile vile huwa na viashiria sawa lakini kilichoongezeka ni Maumivu makali zaidi ya kifua, Kuhisi baridi kali, Kikohozi na mafua makali kwa watoto, Mwili kuishiwa maji, Kukosa hamu ya kula, Kutoka jasho kwa wingi na Kunyong'onyea kwa mwili kwa ujumla.

Pumu mara nyingi husababishwa na; Matatizo ya kinasaba (genes), Kuishi sehemu zenye baridi sana, Vyanzo vya aleji (mzio), Magonjwa ya mapafu (maambukizi kwenye mfumo wa upumuaji), Msongo wa mawazo, Uvutaji wa sigara kwa muda mrefu.
Pneumonia iko tofauti kidogo maana husababishwa zaidi na baadhi ya Virusi, Bacteria na Fungi. Bacteria aina ya Streptococcus pneumoniae ndio huathiri watu wengi zaidi.
Habari njema ni kwamba magojwa yote haya ya mfumo wa upumuaji yanatibika na mgonjwa anapona kabisa.

LEGI ni dawa ya mimea inayotibu Pumu/asthma na LEGI TWO ni dawa inayotibu Pneumonia. Dawa hizi hutibu kwa muda mfupi na kuponyesha kabisa hata k**a umeugua kwa muda mrefu, na hazina madhara kwa mtumiaji.
Na tunasaidia WATOTO wenye matatizo haya ya upumuaji kwa uharaka zaidi.

Kwa Mawasiliano 0654 982 582 au
WhatsApp link kwenye Bio wa.me/255654982582

Address

Magomeni Mikumi, Mtaa Wa Tambaza
Dar Es Salaam
14011

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mwanaporii posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Mwanaporii:

Share