Neolife Gnld Tanzania

Neolife Gnld Tanzania IMARIKA KIAFYA
IMARISHA UCHUMI KWA KUWA WAKALA
SAFIRI DUNIA KUPITIA NEOLIFE GNLD

18/08/2026

Tsh. 165,000/= +255-765 019 606
Na ukitaka kuwa mwanachama kibiashara au matumizi binafsi mtaji ni 407,000/= ila tupo na ofa ya 195,000/= karibu nitakushika mkono.

Provitality ni mkusanyo wa virutubisho vinne muhimu kwa afya bora ya mwili. Ina faida nyingi zinazosaidia kuongeza nguvu, kinga ya mwili, afya ya moyo, ubongo, na seli kwa ujumla.

🌿 Virutubisho Vinavyopatikana Kwenye Provitality:

1. Tre-en-en® Grain Concentrates

2. Carotenoid Complex

3. Omega-3 Salmon Oil Plus

4. Essential Vitamin & Mineral Complex

---

💪 Faida Kuu za Provitality:

1. Huongeza Nguvu ya Mwili

Tre-en-en hufungua seli ili kuruhusu virutubisho kuingia kwa ufanisi, hivyo mwili unapata nishati ya kutosha.

2. Huimarisha Kinga ya Mwili

Carotenoid Complex ina virutubisho kutoka kwa mboga na matunda yanayoongeza kinga ya mwili mara tatu zaidi.

3. Husaidia Afya ya Moyo

Omega-3 Salmon Oil Plus husaidia kupunguza mafuta mabaya (LDL), kushusha shinikizo la damu, na kuimarisha mzunguko wa damu.

4. Huimarisha Afya ya Ubongo na Macho

Mafuta ya samaki (Omega-3) yana EPA & DHA yanayosaidia katika utendaji mzuri wa ubongo na macho.

5. Hupunguza Uchovu na Msongo

Multivitamin na madini muhimu (k**a B12, Zinc, Iron, Magnesium) huongeza uzalishaji wa nishati na kusaidia mfumo wa neva.

6. Huondoa Sumu Mwilini

Carotenoids husaidia kusafisha mwili kwa kuondoa radicals huru (free radicals) zinazoharibu seli.

7. Husaidia Urejeshaji wa Afya kwa Wanaoishi na Magonjwa Sugu

Hufaa kwa wanaougua kisukari, shinikizo la damu, cholesterol, pumu, na changamoto nyingine sugu.

8. Huimarisha Uzazi na Homoni

Virutubisho hivi vina athari chanya kwa afya ya uzazi kwa wanaume na wanawake, hasa kutokana na mafuta ya Omega-3 na madini muhimu.

9. Ni Msingi Bora Kabisa kwa Watumiaji wa Neolife

Ni virutubisho vya msingi vinavyofaa mtu yeyote kuanzia miaka 12+, k**a njia ya kuanza safari ya afya bora.

---
🧡 Inafaa kwa Watu Wafuatao:

Wenye uchovu wa mara kwa mara

Wenye magonjwa sugu

Wanawake na wanaume wanaotafuta afya ya uzazi

Wanafunzi au watu wanaotumia akili sana

Watu wenye msongo au mazingira ya kazi yenye presha.

WHATSAPP/CALL 0765019606

18/08/2026

Biashara inakupa marafiki,wakati mzuri wa furaha na uimara wa uchumi

WhatsApp/Call +255765019606
17/08/2026

WhatsApp/Call
+255765019606

Tanzania Johannesburg to SunCity.
14/05/2026

Tanzania Johannesburg to SunCity.

05/05/2026

Tre-en-en ni suluhisho la kweli kwa afya yako.
0765 019 606

02/05/2026

Anza kutunza afya yako.
0765 019 606

02/05/2026

Day to Vacation Suncity Are numbered.
Hii biashara inakupa vitu vitatu vikubwa.
Pesa.
Afya.
Safari

Address

Mwenge Mpakani Center
Dar Es Salaam
225

Telephone

+255765019606

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Neolife Gnld Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Neolife Gnld Tanzania:

Shortcuts

Share