adamkude

adamkude *Afya Ni Tunu,anza leo kuijari afya yako*

*SULUHISHO LA JINO SIYO KUNG'OA.* *RUDISHA TABASAMU LAKO KWA KUTUMIA DR TS.* *BILA KUNG'OA JINO* Dr.Ts natural herbal to...
20/03/2026

*SULUHISHO LA JINO SIYO KUNG'OA.* *RUDISHA TABASAMU LAKO KWA KUTUMIA DR TS.* *BILA KUNG'OA JINO*

Dr.Ts natural herbal toothpaste ni dawa ya meno ambayo imetengenezwa na mimea ya asili na Salama kwa afya ya mtumiaji ambayo ni;
1️⃣Panax notoginseng
2️⃣Green tea (majani chai)
3️⃣Lonicera japonic

KWA_WENYE_MATATIZO_YA_MENO K**A;

1️⃣Kutoa harufu mbaya mdomoni.
2️⃣.Meno kuwa ya njano
3️⃣.Kuoza kwa meno
4️⃣.Meno kuwa ya brown
5️⃣.Kutokwa damu kwenye fizi na kuvimba fizi.
6️⃣. Inasaidia kuua wadudu
Kwa kutumia dawa ya meno hii basi matatizo yako ya meno *yataisha kabisa na kukulejeshea* tabasamu lako.

*FAIDA ZA DR TS TOOTHPASTE:*
👉🏾Hung'arisha meno.
👉🏾Huimarisha meno na fizi
👉🏾Huondoa tatizo la kutokwa damu wakati wa kufanya usafi wa kinywa.
👉🏾Huwafaa watu wanaosumbuliwa na meno
👉🏾Huondoa tatizo la kutokwa damu kwenye fizi na meno
👉🏾Hutibu tatizo la meno kumeguka meguka
👉🏾Huondoa tatizo la meno kutingishika mara kwa mara
👉🏾Huondoa bacteria hatarishi katika kinywa
👉🏾Hulinda kinywa kisipatwe na magonjwa hatarishi
👉🏾Huondoa tatizo la harufu kinywani
👉🏾Huwafaa watu wenye ukungu/meno kuoza
👉🏾Hukinga kinywa dhidi ya saratani
👉🏾Huodoa uchakavu wa meno
👉🏾Huwafaa watu wenye tatizo la mabakabaka katika ulimi(Geographic tongue)
👉🏾Ni suluhisho kwa watu waopata vidonda kinywani nk.

*NI ASILI NA SALAMA KWA AFYA BORA YA KINYWA NA MENO*.

*LEO UTAIPATA KWA TSH 30,000/= TU, K**A PROMOTION BADALA YA ELFU 45,000/=*

🪀0715 589 025

*🔥💪 SOMO MAALUMU: NGUVU ZA KIUME NA MIFUMO MINNE (4) MUHIMU KATIKA UZAZI WA MWANAUME! 💪🔥*🚹 Ukitaka nguvu zako za kiume z...
18/12/2025

*🔥💪 SOMO MAALUMU: NGUVU ZA KIUME NA MIFUMO MINNE (4) MUHIMU KATIKA UZAZI WA MWANAUME! 💪🔥*
🚹 Ukitaka nguvu zako za kiume ziwe imara, usitazame tu kwenye dawa – *tazama MIFUMO YA MWILI WAKO!*
👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇

*🌟 KWANZA: NGUVU ZA KIUME NI NINI?*

💥 Nguvu za kiume si kushiriki tendo la ndoa tu!
👉 Ni uwezo wa mwanaume:
✅ Kusimamisha vizuri na kwa muda wa kutosha
✅ Kuhisi hamu ya tendo
✅ Kutoa mbegu zenye ubora
✅ Kujirudia baada ya tendo bila shida

➡️ Mambo haya yote yanategemea mifumo minne muhimu ya mwili!

*🧠🧬 1. ENDOCRINE SYSTEM (MFUMO WA HOMONI)*

🔥 Huu ndio mfumo unaotoa homoni k**a testosterone, ambayo ni homoni kuu ya kiume.

*✅ Majukumu:*

1.Kuchochea hamu ya tendo

2.Kuchochea uzalishaji wa mbegu

3.Kusaidia misuli ya uzazi kufanya kazi

*📉 Ukiwa na upungufu wa testosterone unaweza kuwa na:*
❌ Hamu ya tendo kupungua
❌ Kusimama kwa uume kuwa hafifu
❌ Uchovu wa mara kwa mara

*🛑 Sababu zinazoharibu mfumo huu:*
🚬 Sigara, 🍻 pombe kupita kiasi, 🤯 msongo wa mawazo, 🍟 vyakula vya mafuta

*✅ Tiba asilia:*
🥚 Mayai, 🥜 karanga, 🐟 samaki wenye mafuta, 🥦 broccoli, 🌿 asali na mkaaula wa asili k**a maca root

*⚡🧠 2. NERVE SYSTEM (MFUMO WA NEVA)*

Huu mfumo ndio unaowasiliana kati ya ubongo na uume.

*✅ Majukumu:*

1.Kutoa ishara ya kusisimka

2.Kuratibu msisimko na mshindo wa tendo (or**sm)

3.Kufanya uume usimame kupitia reflex ya mwili

*📉 Ule usisimko wa kimapenzi ukipungua au kuchelewa, mara nyingi ni tatizo la mfumo huu.*

*🛑 Sababu zinazoharibu mfumo huu:*
🚫 Msongo wa mawazo, 🤯 usingizi hafifu, 💊 baadhi ya dawa, 🧂presha ya juu

*✅ Tiba asilia:*
🧘‍♂️ Meditation, kulala saa 7-8, kuepuka msongo, matumizi ya mboga zenye magnesium na B-vitamins

*💪🩻 3. MUSCULAR SYSTEM (MFUMO WA MISULI)*

Misuli ya nyonga na misuli ya uume inahusika sana kwenye nguvu za kiume!

*✅ Majukumu:*

1.Kusababisha uume kusimama vizuri

2.Kuwezesha kutoa mbegu kwa nguvu

3.Kurudisha uume kwenye hali ya kawaida baada ya tendo

*📉 Ukosefu wa mazoezi na uzito kupita kiasi huathiri mfumo huu.*

✅ Mazoezi ya muhimu:
🏋️‍♂️ Squats
🚶 Walking/jogging
🧘 Pelvic floor exercises (Kegel kwa wanaume)

*❤️💉 4. CARDIOVASCULAR SYSTEM (MFUMO WA DAMU/MOYO)*

💥 HUU ndio msingi wa nguvu za kiume!

*✅ Majukumu:*

1.Kusukuma damu ya kutosha kwenye uume

2.Kuwezesha uume kusimama vizuri

3.Kutunza stamina ya tendo

*📉 Tatizo la damu kutopita vizuri huchangia nguvu kushuka!*

*🛑 Sababu:*
🍔 vyakula vyenye mafuta mengi, 🚫 kutofanya mazoezi, 🚬 sigara, 💉 kisukari & presha ya juu

*✅ Tiba asilia:*
🥬 Mboga za majani
🍅 Nyanya
🥥 Mafuta ya n**i
💧Kunywa maji ya kutosha
🚴 Mazoezi ya mara kwa mara

*🔥 HITIMISHO: UNAPODHANI NI TATIZO LA NDOA, INAWEZA KUWA NI TATIZO LA MFUMO WA MWILI!*

📌 Usikimbilie tu dawa – anza kwa kuchunguza:
✅ Mfumo wa homoni zako
✅ Mfumo wa neva zako
✅ Mfumo wa damu zako
✅ Na misuli yako ya nyonga!

*📲 UNAHITAJI USHAURI ZAIDI?*

Nitafute kwa maelezo zaidi au kupata tiba asilia ya nguvu za kiume na afya ya uzazi kwa ujumla:
📞 *0715 589 025*
👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇
*🔔 SHARE somo hili kwa wanaume wengine – inaweza kuwa msaada mkubwa!*

Je unajua maajabu ya Cerebrain?Cerebrain nikirutubisho kilichotengenezwa na mmea mashuhuri kwa sifa yake ya uponyaji una...
18/12/2025

Je unajua maajabu ya Cerebrain?

Cerebrain nikirutubisho kilichotengenezwa na mmea mashuhuri kwa sifa yake ya uponyaji unaoitwa Gingko Biloba...

Kazi za Cerebrain tablets
1. kuzipa uhai cells za ubongo kwa kuhakikisha zinafanya kazi vizuri
2.Husaidia wenye matatzo ya kupoteza kumbukumbu
3.Huwasaidia waliopata shida ya masikio/maskio kupiga kelele kitaalam k**a tinnitus
4.Huwasaidia wenye shida ya macho k**a itatumikana sharp vision
5.Husaidia watu wanaosikia uchovu mara kwa mara... kichwa kuuma au kukosa usingizi
6.Ninzur jwa wanaofanya kazi za kompyuta...
7..inasaidia kufanya damu kuwa nyepesi.. hivo kusaidiamawasiliano katika ubongo na viungo vingine mwilini
8..Huwasaidia wale wanaopata shida ya mkojo kutoka bila kuzuia.. iwe usiku au mchana
9.Nzuri kwa wanafunzi na wanachuo wanaopenda kuongeza performance yao kwani huongeza kumbukumbu.
*Inapatikana kwa gharama ya Tsh 95,000/=*
Mmea huu ni adimu sana ila sasa unapatikana katika mfumo wa vidonge.
Tupigie simu 0715 589 025 ujipatie yako sasa.

*🔹 KWANINI DIABETIC PACKAGE INATIBU KISUKARI KULIKO DAWA ZINGINE*☑Watu wengi hawaelewi Kwanini wanatumia sana dawa ZA ho...
16/12/2025

*🔹 KWANINI DIABETIC PACKAGE INATIBU KISUKARI KULIKO DAWA ZINGINE*

☑Watu wengi hawaelewi Kwanini wanatumia sana dawa ZA hospitali
...wakati mwingine hata wanatumia sindano lakini hawaponi wanabaki na tatizo japo wanapata unafuu na tatizo linapungua lakini linajirudia tena....
...Mfano mtu mwenye tatizo la KISUKARI anaweza akawa Anatumia dose ya kila mwezi lakini tatizo litaendelea...
.... kubaki na haponi pia hata kwa matatizo mengine yanakua bado yapo pale pale k**a vile ganzi,matatizo ya macho,hata kupata matatizo ya figo, mwili kuuma sana licha ya hata sukari yako ikionyesha ipo normal kwa sababu unakua hujatibu chanzo cha tatizo...
... hivyohivyo unatumia sana dawa wakati mwingine unakua mtu wa hospitali muda wote na kunywa madawa kila siku lakini huponi...

*✅SASA ELEWA KUHUSU MADAWA YA HOSPITALI*
..Madawa ya hospitali ni pharmathetical unapotumia yanaenda kutiibu moja kwa moja ORGAN na siyo SELI
Mfumo wa binadamu upo kana ifuatavyo...
..Seli➡Tissue➡Organ➡ System➡Body
Kumbe madawa ya hospitali yanatibu tuu organi na mfumo...
...Organ➡ System➡Body .
Kumbe tunaona CELL na TISSUE haipati tiba ndiyo maana inaku rahisi ugonjwa kurudi sababu ugonjwa unaanzia kwenye seli na seli haipati dawa...

*✅ELEWA KUHUSU VIRUTUBISHO LISHE*
....Virutubisho lishe vinaanzia kutibu kwenye Seli moja kwa moja mpaka kwenye mwili mzima
Cell➡ Tissue➡ Organ➡ System➡Body....
..Tumeona hapa inaanzia kwenye Seli,Tissue, Organ, System mpaka Body...
....Ndiyo maana watu wengi wanashangaa kwa nini virutubisho lishe hivi
.... Vinatibu Magonjwa yasiyoweza tibika hospitali k**a vile Kisukari, Pressure Madonda ya tumbo na matatizo ya uzazi
....Kwahiyo cha kuelewa zaidi Kuhusu virutubisho lishe zinatibu kuanzia Seli na Mwili kwa ujumla na kutibu siyo kupoza au kuleta unafuu wa tatizo

Kwa ushauri na kupata virutubisho lishe hivi
Nitafute kwa namba
0715 589 025

*Kila mwanamke anajali kuhusu uzuri na utamu wake. 🌺 Hakuna anayetaka kukumbwa na changamoto k**a ukavu ukeni au kushind...
12/11/2025

*Kila mwanamke anajali kuhusu uzuri na utamu wake. 🌺 Hakuna anayetaka kukumbwa na changamoto k**a ukavu ukeni au kushindwa kumvutia mwenza wake.*

*Uzuri wa mwanamke huanzia ndani na mwisho huishia nje. 🌹 Tukianzia ndani, tunaongelea uke wenye usafi, afya, na sifa bora k**a ute wa kutosha na joto zuri, vinavyomfanya BABA wa nyumba kufurahia raha isiyoelezeka kutoka pale penye uzuri wake🥰.*

*BFSUMA imekuja na bidhaa za afya zinazokupa matokeo ya haraka na yenye uhakika, kurejesha ute ukeni, kuongeza joto, kubana misuli ya uke, na kukuza hamu ya tendo la ndoa.* 💃 *nicheki sasa inbox kwa namba* *0715 589 025*

🐫  *_FEMIBIOTIC* *YA BF SUMA* 📌 Ni bidhaa mpya kwa ajili ya Wanawake.📌Iliyotengenezwa kwa technology kubwa kutokana na *...
12/11/2025

🐫 *_FEMIBIOTIC* *YA BF SUMA*
📌 Ni bidhaa mpya kwa ajili ya Wanawake.
📌Iliyotengenezwa kwa technology kubwa kutokana na *Priobiotic*(bacteria wazuri) na *prebiotic*(viini lishe vya bacteria wazuri)

🐫 *FAIDA ZA FEMIBIOTICS*

📌 Hulinda mwanamke na matatizo ya Maambukizi ( *infection* ), uvimbe ( *inflammation* ) kwenye uke ( **vaginitis* )

🦋 *Vaginitis* ni Maambukizi na vimbe zinazotokea kwenye uke (va**na) na kusababisha
✅ Miwasho( *itching* )
✅ Michubuko ( *irritation* )
✅ Kutoa Uchafu ( *abnormal discharge* )
✅ Maumivu wakati wa tendo la ndoa (*sexual in*******se pain*)

🦋Matatizo makuu yanayoondolewa na *Femibiotic*
✅ *Vulvova**nal candidiasis* (Fungus)
✅ *Bacterial vaginosis* (Kuota kwa bacteria wabaya
✅ *Trichomoniasis* (Maambukizi ya ngono) STD.

🦠 Inaimarisha afya ya uke ( *va**nal health* )
✅ Inasawazisha kiwango cha bacteria wazuri ( *regulate Flora balance)*
✅ Inaondoa kutokuwa na faraja kwenye uke ( *va**nal discomfort* )
✅ Inaondoa miwasho ya mashavu na mlango wa uke ( *v***a itching* )
✅ Ina vipimo vya kisayansi ( *scientific weight measurement* )
✅Inasaidia Kuweka Kinga ukeni (immunity)
✅ Inazuia bacteria wabaya ukeni ( *inhibit pathogen bacteria)*
✅ Ina Weka Sawa pH ( *acid - base balance* )
✅ Inazuia Maambukizi katika tendo la ndoa
✅ Inasaidia kuwabakiza bacteria wazuri ukeni.

🎈 *MATUMIZI YA FEMIBIOTIC* (DOSAGE)
✅ Changanya sachet moja kwenye maji au Maziwa (chini ya 37C).
✅ Kunywa sachet moja (1) mara moja au mara mbili (2) kwa siku.
✅ Haimezwi na Mtoto wa chini ya umri wa miaka 3.
✅ Tumia Femibiotic Baada ya masaa 12.
✅ Femibiotic Ina sachet/box 30 vya gram 2 kila sachet.
*Inapatikana kwa gharama ya Tsh 135,000/=*
0715 589 025

*UTAJUAJE K**A UNA FANGASI SUGU??*  👇👇Kuna dalili nyingi zinazoonyesha kuwa una dalili za kua na fangasi ukeni k**a zifu...
12/11/2025

*UTAJUAJE K**A UNA FANGASI SUGU??* 👇👇
Kuna dalili nyingi zinazoonyesha kuwa una dalili za kua na fangasi ukeni k**a zifuatazo;

1.Kuwa na miwasho sehemu za siri mara kwa mara

2.Vipele vidogo vidogo ukeni

3.Kutokwa na uchafu mweupe au wa rangi ya kijivu ukeni wenye harufu mbaya

4.Vidonda au kuwa na michubuko ukeni

5.Kutokwa na harufu mbaya ukeni

6.Kupatwa na maumivu makali wakati wa tendo la ndoa.

7.Kuvimba au kuwa mwekundu katika mdomo wa nje ya uke.

8.Kuwaka moto ndani na nje ya uke.

Je una dalili hizi tunayo tiba inaitwa FEMICARE kwa ajili ya wanawake ambayo itakusaidia kutibu fangasi sugu eneo la siri.

Kwa msaada wa hitaji lako kuhusu tiba hii tupigiee,,

*"AFYA YAKO NI MTAJI WAKO, ELIMIKA NA CHUKUA HATUA*
0715 589 025

MWANAUME: Ukianza kukojoa;●Jirani na miguu yako●Kutumia nguvu sana kusukuma mkojo/kukojoa●Kukojoa matone matone ●Kujikoj...
11/11/2025

MWANAUME: Ukianza kukojoa;
●Jirani na miguu yako
●Kutumia nguvu sana kusukuma mkojo/kukojoa
●Kukojoa matone matone

●Kujikojolea matone matone na kustukia umelowana
●Maumivu makali wakati wa kukojoa
●Kukojoa mara kwa mara wakati huna kisukari wala hunywi maji mengi wala pombe ovyo

Fika hospitali uchunguzwe uvimbe/saratani ya tezi dume!

Ni vema kuwahi matibabu kwani itasaidia kuokoa gharama kubwa shida hiyo ikikua na kua sugu.
0715 589 025

Mmea wa Ganoderma (unaopatikana zaidi katika aina k**a Ganoderma lucidum, unaojulikana piia k**a Reishi mushroom au Ling...
22/10/2025

Mmea wa Ganoderma (unaopatikana zaidi katika aina k**a Ganoderma lucidum, unaojulikana piia k**a Reishi mushroom au Lingzhi) ni uyoga wa dawa maarufu sana katika tiba asilia ya Kichina. Umekuwa ukitumika kwa zaidi ya miaka 2000 kwa ajili ya kuongeza afya na kuzuia magonjwa.

Hapa kuna faida kuu za kiafya za Ganoderma:

🌿 1. Huimarisha kinga ya mwili

Ganoderma ina beta-glucans na polysaccharides ambazo huimarisha mfumo wa kinga kwa kusaidia mwili kupambana na bakteria, virusi, na vimelea vingine.

💖 2. Hulinda moyo na mishipa ya damu

Ina uwezo wa kudhibiti shinikizo la damu, kupunguza kolesteroli mbaya (LDL) na kuongeza kolesteroli nzuri (HDL). Hivyo hupunguza hatari ya magonjwa ya moyo na kiharusi.

🧠 3. Huimarisha afya ya ubongo na neva

Ganoderma husaidia kupunguza msongo wa mawazo (stress), kuboresha usingizi, na kurekebisha hisia. Huchukuliwa k**a “adaptogen” – husaidia mwili kujirekebisha kwenye hali mbalimbali za kiakili na kimwili.

🩸 4. Husaidia katika kudhibiti kisukari

Ina virutubishi vinavyoweza kudhibiti kiwango cha sukari mwilini kwa kuboresha kazi ya kongosho na kuongeza usikivu wa insulini.

🧬 5. Huondoa sumu mwilini (detoxification)

Ganoderma ina antioxidants nyingi zinazosaidia kusafisha ini, kuondoa sumu mwilini, na kulinda seli dhidi ya uharibifu wa vioksidishaji.

💪 6. Hupunguza uchovu na kuimarisha nguvu

Inaboresha mzunguko wa damu na utoaji wa oksijeni kwenye seli, hivyo huongeza nguvu, umakini na uwezo wa mwili kufanya kazi kwa muda mrefu.

🧫 7. Hupunguza uvimbe na maumivu ya muda mrefu

Ganoderma ina sifa za anti-inflammatory, hivyo husaidia kupunguza maumivu ya viungo, arthritis, na magonjwa ya uchochezi.

🧍‍♂️ 8. Husaidia katika mapambano dhidi ya kansa

Tafiti nyingi zimeonyesha kuwa misombo ya Ganoderma (k**a triterpenoids) inaweza kuzuia ukuaji wa seli za kansa, kusaidia wagonjwa wanaopitia chemotherapy, na kupunguza madhara yake.

💆‍♀️ 9. Huboresha afya ya ngozi

Kwa kuwa ni antioxidant asilia, Ganoderma husaidia kupunguza mikunjo, madoa ya ngozi, na kuifanya ngozi ionekane changa na yenye afya.

🍄 Hitimisho

Kwa ujumla, Ganoderma ni mmea wa miujiza ya asili unaosaidia kulinda mwili dhidi ya magonjwa, kuongeza nguvu, na kurejesha usawa wa afya. Jinsi ya kuipata nipigie simu kupitia simu # 0715 589 025

*Je unajua maajabu ya Cerebrain?*Cerebrain nikirutubisho kilichotengenezwa na mmea mashuhuri kwa sifa yake ya uponyaji u...
31/08/2025

*Je unajua maajabu ya Cerebrain?*

Cerebrain nikirutubisho kilichotengenezwa na mmea mashuhuri kwa sifa yake ya uponyaji unaoitwa Gingko Biloba... naomba uusome (google)

*Kazi za Cerebrain tablets*
1. kuzipa uhai cells za ubongo kwa kuhakikisha zinafanya kazi vizuri
2.Husaidia wenye matatzo ya kupoteza kumbukumbu
3.Huwasaidia waliopata shida ya masikio/maskio kupiga kelele kitaalam k**a tinnitus
4.Huwasaidia wenye shida ya macho k**a itatumikana sharp vision
5.Husaidia watu wanaosikia uchovu mara kwa mara... kichwa kuuma au kukosa usingizi
6.Ninzur jwa wanaofanya kazi za kompyuta...
7..inasaidia kufanya damu kuwa nyepesi.. hivo kusaidiamawasiliano katika ubongo na viungo vingine mwilini
8..Huwasaidia wale wanaopata shida ya mkojo kutoka bila kuzuia.. iwe usiku au mchana
9.Nzuri kwa wanafunzi 18+yrs..wanachuo wanaopenda kuongeza performance yao kwani huongeza kumbukumbu

Mmea huu ni adhimu sana ila sasa unapatikana katika mfumo wa vidonge.
Tupigie simu 0715 589 025

Address

Toangoma
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when adamkude posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to adamkude:

Share