04/04/2025
📌 KWANINI MTOTO WAKO ANAAMKA USIKU KILA MARA?
🤔 K**a mtoto wako anaamka usiku mara kwa mara, siyo tu ndoto mbaya—inawezekana ni upungufu wa calcium!
🦴 Dalili zingine ni:
✅ Maumivu ya misuli
✅ Kuhisi baridi sana hata k**a hali ya hewa ni ya kawaida
✅ Kukosa usingizi na kulia bila sababu
👀 Ulishawahi kuona hili kwa mtoto wako?
👉 Tag mzazi mwenzako ajue hii info!
👉 Share kwa wazazi wengine ili tuwasaidie watoto wengi zaidi!