Afya Check

Afya Check Gcat inakuletea hudum za vipimo na tiba lishe

Kalibuni wateja wetu
24/04/2026

Kalibuni wateja wetu

11/04/2026
💚P.I.D NINI,DALILI ZAKE NI ZIPI, MADHARA YAKE NI YAPI?P.I.D- Pelvic Inflammatory Disease.P.I.D Ni maambukizi kwenye via ...
09/04/2026

💚P.I.D NINI,DALILI ZAKE NI ZIPI, MADHARA YAKE NI YAPI?
P.I.D- Pelvic Inflammatory Disease.
P.I.D Ni maambukizi kwenye via vya uzazi kwa mwanamke ambayo huusisha maambukizi kwenye shingo ya kizazi(CERVICITIS),nyama kwenye mfumo wa wa uzazi(ENDOMETRITIS) na mirija ya uzazi(SALPINGITIS)
Kuna aina mbili ambayo ni chanzo cha maambukizi ya ugonjwa wa P.I.D ni NEISSERIA GONORNOAE na CHLAMYDIA TRACHOMATIC

💚WANAMKE ANAUPATAJE UGONJWA WA P.I.D
-Kupitia ngono zembe
-Kuwa na mpenzi zaidi ya mmoja
-Kufanya mapenzi bila kutumia kinga
-Kupitia magonjwa ya zinaa hususani kaswande na kisonono
-Kupitia kunyonywa ukeni mara kwa mara
-Utoaji wa mimba na kutosafishwa vizuri baada ya kutoa mimba
-Kuweka vitu ukeni ili kuufanye uke ubane au kumvutia mpenzi wako
-Kutumia dawa na njia za kuzuia mimba(vijiti na sindano)
- Kuwa na U.T.I. sugu au fungus ya muda mrefu

💚DALILI ZA P.I.D
-Kutokwa na uchafu mzito sehemu za siri yaweza ukawa njano, mweupe au maziwa
-Uke kutoa harufu mbaya
-Kuwashwa sehemu za siri
-Maumivu ya tumbo chini ya kitovu
-Uke kuwa mlaini sana
-Maumivu wakati wa tendo la ndoa
-Kuvurugika kwa hedhi
-Kutokwa na maji maji ukeni kupita kiasi
-Maumivu wakati wa kukojoa
-Homa, uchovu na kizunguzungu

💚MADHARA YA P.I.D
-Maumivu ya tumbo au nyonga ya mara kwa mara mara baada ya tendo la ndoa. au kipindi cha upevushaji mayai hali hii hutokana na majeraha yaliyopi katika mirija ya uzazi
-Kusababisha majeraha ndani na nje ya mirija za uzazi ambayo hipelekea mirija kuziba
-Kubeba mimba nje ya kizazi husababishwa yai kushindwa kufika kwenywe mji wa uzazi kupitia mirija ya uzazi
-Ugumba kwa mwanamke
-kupata kansa ya shingo ya uzazi

💚UNAPOONA DALILI ZA UGONJWA HUU WAHI KUPATA MATIBABU. KWANI UGONJWA HUU NI HATARI NA HUWEZA KUKUSABABISHIA UGUMBA AU KANSA YA SHINGO YA KIZAZI.
kwa msaada zaidi piga 0684409725

09/04/2026

TANGAZO LA KAZI.
Tunatangaza nafasi za kazi kwa wakazi wa Mkoa wa Dar es Salaam.
🔹 SIFA ZA MWOMBAJI
Awe na umri wa miaka 18 - 65
Awe makini, mchapakazi na mwaminifu
Awe tayari kufanya kazi kwa bidii
Tunahitaji watu serious tu
💰 MALIPO
Malipo ya kila siku: Tsh 30,000/=
Malipo ya kila mwezi: Kuanzia Tsh 400,000/=
📍 MAHALI PA KAZI
Mbagala Zakhem
(Ofisi bado ni mpya)
📞 MAWASILIANO
Piga simu (call only): 0657508534
👉 Usikose nafasi hii ya kazi. Wahi sasa!

Karibu upate uduma bola na matibabu   tulipo mpo kalibuni sana Uchunguzi wa afya (check_up)ya mwili mzima ni elf 30 tu!D...
04/04/2026

Karibu upate uduma bola na matibabu tulipo mpo kalibuni sana
Uchunguzi wa afya (check_up)ya mwili mzima ni elf 30 tu!
Dawa zetu nizaasili na zinatibu kwa mda mchache wahi wahi upate matibabu sasa
Dr arafa na madaktari wenzie wapo kwaajili yenu vipenzi vyetu
Kumuona doctor pamoja na ushauli ni bule kalibuni sana

03/04/2026

"Je… unahangaika kupata mtoto bila mafanikio?

😔Unaona wengine wakifurahia uzazi… lakini wewe bado unasubiri?
Huenda kuna sababu za kiafya zinazochangia tatizo hili…

Habari njema ni kwamba matatizo haya yanaweza kutibika.😭

Tunatoa vipimo vya kisasa, ushauri wa kitaalamu, na tiba salama yenye matokeo.
Chukua hatua sasa… ndoto yako ya kuwa mama /baba inawezekana.
Wasiliana nasi leo kabla ya kesho.

Kupitia simu namba.
📞0684409725

Usikate tamaa… suluhisho lipo."💯✔️

Karibu tukusaidie.. 💯✔️

Address

Dar Es Salaam
11101

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya Check posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share