14/08/2026
" AFYA NA MADAM JOHARI"
🩸 KISUKARI KINAKUSUMBUA?
Usipuuze dalili zinazoweza kuhusishwa na kisukari. Baadhi ya dalili ni:
🔹 Kukojoa mara kwa mara
🔹 Kiu ya kupita kiasi
🔹 Kuhisi njaa mara kwa mara
🔹 Uchovu na mwili kukosa nguvu
🔹 Kupungua uzito bila sababu
🔹 Vidonda kuchelewa kupona
🔹 Kuona ukungu
🔹 Ganzi au kuchomachoma mikono na miguu
⚠️ Kisukari kinahitaji ufuatiliaji na ushauri sahihi wa kitaalamu. Usibadilishe dawa au kuacha matibabu bila kuzungumza na mtaalamu wa afya.
📞 PIGA SIMU / WHATSAPP 0763-339978
AFYA NA MADAM JOHARI
Usipuuze dalili — chukua hatua kwa afya yako.
TUPO TANZANIA NZIMA