Nuellah’s kitchen

MANGO MASTAN ☺️haya na leo nakupa hii, kajaribu unipe mrejesho mtamu mtamu😁Mahitaji● Embe● vanilla ice cream/ ladha ya v...
19/06/2023

MANGO MASTAN ☺️

haya na leo nakupa hii, kajaribu unipe mrejesho mtamu mtamu😁

Mahitaji
● Embe
● vanilla ice cream/ ladha ya vanilla
● maziwa
● karanga ila sio lazima

Jinsi ya kutengeneza
》osha matunda yako kwa maji safi na salama
》katakata maembe yako vipande vidogo vidogo

Kwenye Blender lako
》 tia maembe
》 tia vanilla Ice cream/ ladha ya vanilla
》tia maziwa
》 tia sukari k**a ni mpenzi wa sukari
》 saga

Hadi hapo itakuwa tayari kwa kunywa

Jaribu unipe mrejesho
NNuellah’s kitchenkNuellah’s kitchen

Hello Dears, Kwanza nianze na GOOD NEWS 😍, Yani hadi nasisimuka jamani laugh 😃...Ok dears, ni baada ya wanafunzi wengine...
13/04/2023

Hello Dears,
Kwanza nianze na GOOD NEWS 😍, Yani hadi nasisimuka jamani laugh 😃...
Ok dears, ni baada ya wanafunzi wengine kuomba punguzo la Ada, nimepata message nyingi zinazosema da NUELLAH mimi sina 40000 ya kujiunga na darasa la mapishi 😭 sasa maombi yenu yamejibiwa.

NUELLAH'S KITCHEN inakuketea darasa la theory's 😋 yaani utajifunza mapishi kwa njia ya NOTES 📝 na utaelewa vizuri sana... ada itakuwa k**a ifuatavyo

DARASA LA JUICES 10000
DARASA LA MAPISHI 10000

Darasa la juice sio juice tu pekeake yaani juice zenye afya kila tatizo/ kila ugonjwa litakuwa na juice yake, unangoja nini????

Darasa la mapishi, hapa unatifunza mapishi mengi
Kuku mwenye ladha
Jinsi ya kupika supu
Yaani masomo ni mengi kwa ada nafuu ishindwe wewe tuu, tusipike kimazoea wasiliana na mimi

Bonyeza link kujiunga na mapokezi ya group

https://chat.whatsapp.com/Eq008HfaPIY0N5VKRVcvQU

https://chat.whatsapp.com/Eq008HfaPIY0N5VKRVcvQU

Hey Guys Habari za wakati huu hope mko poa, k**a mnavyojua msimu wa sikukuu ndio huu umewadia ,NUELLAH'S KITCHEN wanakul...
25/11/2022

Hey Guys
Habari za wakati huu hope mko poa, k**a mnavyojua msimu wa sikukuu ndio huu umewadia ,NUELLAH'S KITCHEN wanakuletea msimu wa mapishi kwa mwezi December litakalo anza tarehe 15 dec...

Mama/Dada unakaribishwa kwenye Darasa hili ujifunze mapishi yenye Radha adimu Ambayo haijawahi patikana sehemu yoyote nawe ukaburudishe familia/wageni wako kwa radha mpaya na tofauti tofauti....
Kwenye Darasa utajifunza

☆ JINSI YA KUPIKA CHICKEN TIKKA

☆ JINSI YA KUKAANGA KUKU MWENYE RADHA

☆WALI WA CARROTE

☆ JINSI YA KUPIKA PILAU

☆ AINA ZA VIUNGO NA MATUMIZI YAKE

☆ MISHIKAKI

☆ JINSI YA KUPIKA SAMBUSA NA KUANDAA MANDA LAINI

☆ JINSI YA KUPIKA SUPU YA NG'OMBE TAMU SANA

☆ JINSI YA KUPIKA MAHAMLI

NA MENGINE MENGI ☺️

Haya yote utajifunza kwa ada nafuu ya Tsh 5000 tu 👌 unangoja nini wakati ni sasa

Bonyeza link kujiunga
https://chat.whatsapp.com/BiDyyPovga8CaRBkurDInK

DARASA DARASA DARASA 01/04/2021MSIMU WA PILI WA MAPISHI, Ada zetu ni 2000 tu.Nuellah’s kitchen wanakuletea msimu wa pili...
26/03/2021

DARASA DARASA DARASA 01/04/2021

MSIMU WA PILI WA MAPISHI,
Ada zetu ni 2000 tu.

Nuellah’s kitchen wanakuletea msimu wa pili wa DArasa la mapish... program hii imeweza kuwasaidia watu zaidi ya 4000 (elfu nne) kujua jinsi ya kupika mapishi matamu, na kuacha kupika chakula cha kimazoea , unasubiri nini wahi nafasi yako sasa

Bonyenza maandishi ya blue/link kujiunga 👇🏾

https://chat.whatsapp.com/LumViA3BztYDQjaBr7C4tW

Hapa utajifunza jinsi ya kupika
•. Chakula kikuu
•. Bites mbalimbali
•. Salad 🥗 mbalimbali
•. Chomachoma/kuoka
•. Vitafunio/vifungua kinywa n.k

Karibuni sana kuwahi ndio kupata nafasi 🤗

11/03/2021

Nyama Choma ..Paja la kondoo na Paja la mbuzi.

Marination iliyotumika kuungia nyama.
Tangawizi
vitunguu thaumu
vinegar
soy sauce
Ajina moto
Mixed spices (zangu za nyama Choma sijazitoa bado)
Paprika
Chumvi
Mafuta

Chanja nyama na mpake viungo.Iache kwa masaa mawili na zaidi.

Baada ya hapo ichome kwa moto mdogo.

Enjoy

HII NI NAFASI YA KUJIUNGA NA DARASA LETU LA JUICE AINA 35 KWA 10000 tuu, AINA 10 KWA 5000. (Milkshake,juice za kawaida, ...
19/03/2020

HII NI NAFASI YA KUJIUNGA NA DARASA LETU LA JUICE AINA 35 KWA 10000 tuu, AINA 10 KWA 5000. (Milkshake,juice za kawaida, smoothie na pia kuna offer ya kujifunza ice cream 🍨 3)

Darasa letu lililoweza kuwasaidia watu zaidi ya 500 kutengeneza juice wengine hata kujiajiri litaanza 25/04 saa moja usiku.

PIA KUNA NAFASI ZA KUJIUNGA NA DARASA LA MAPISHI kwa 3000

darasa la mapishi Ada ni 3000 utajifunza mapishi mbali mbali ikiwemo keki,rost la nyama, kupika biriani n.k

TUMA NENO KUJIUNGA JUICE/MAPISHI WHATSAPP 0769612404
Nafasi zimebaki chache tuu(bonyeza link kwa bio itakupeleka WhatsApp usiandike namba yako hapo chini hautaunganishwa)
Jiunge sasa, ni vyema kujiunga mapema ili kuepusha usumbufu tunanafasi chache tuu)

Kwa nini uendelee kutamani shoga yako anavyotengeneza juice wee unamezea?

Kwa nini usijipe matumani ya kujiajiri kwa ada 10000 tuu?
Penda maendeleo jiunge kabla nafasi hazijaisha

HII NI NAFASI YA MWISHO YA KUJIUNGA NA DARASA LETU LA JUICE AINA 35 KWA 10000 tuu Darasa letu lililoweza kuwasaidia watu...
04/03/2020

HII NI NAFASI YA MWISHO YA KUJIUNGA NA DARASA LETU LA JUICE AINA 35 KWA 10000 tuu

Darasa letu lililoweza kuwasaidia watu zaidi ya 500 kutengeneza juice wengine hata kujiajiri litaanza kesho 05/3 saa moja 1 usiku.

TUMA NENO KUJIUNGA WHATSAPP 0769612404

Nafasi zimebaki chache tuu(bonyeza link kwa bio itakupeleka WhatsApp usiandike namba yako hapo chini hautaunganishwa)

Jiunge sasa, ni vyema kujiunga mapema ili kuepusha usumbufu tunanafasi chache tuu)

Kwa nini uendelee kutamani shoga yako anavyotengeneza juice wee unamezea?

Kwa nini usijipe matumani ya kujiajiri kwa ada 10000 tuu?

Penda maendeleo jiunge kabla nafasi hazijaisha

HII NI NAFASI YA MWISHO YA KUJIUNGA NA DARASA LETU LA JUICE AINA 35 KWA 10000 tuu Darasa letu lililoweza kuwasaidia watu...
04/03/2020

HII NI NAFASI YA MWISHO YA KUJIUNGA NA DARASA LETU LA JUICE AINA 35 KWA 10000 tuu

Darasa letu lililoweza kuwasaidia watu zaidi ya 500 kutengeneza juice wengine hata kujiajiri litaanza kesho 05/3 saa moja 1 usiku.

TUMA NENO KUJIUNGA WHATSAPP 0769612404

Nafasi zimebaki chache tuu(bonyeza link kwa bio itakupeleka WhatsApp usiandike namba yako hapo chini hautaunganishwa)

Jiunge sasa, ni vyema kujiunga mapema ili kuepusha usumbufu tunanafasi chache tuu)

Kwa nini uendelee kutamani shoga yako anavyotengeneza juice wee unamezea?

Kwa nini usijipe matumani ya kujiajiri kwa ada 10000 tuu?

Penda maendeleo jiunge kabla nafasi hazijaisha @ Dar es Salaam, Tanzania

HABARI, NUELLAH’S KITCHEN WANAKULETEA DARASA LA JUICE KWA AJIRI YA BIASHARA AU MATUMIZI BINAFSI, ADA NI 10000 TUU KWA MW...
03/03/2020

HABARI, NUELLAH’S KITCHEN WANAKULETEA DARASA LA JUICE KWA AJIRI YA BIASHARA AU MATUMIZI BINAFSI, ADA NI 10000 TUU KWA MWEZI, DARASA HILI LIMEWASAIDIA WATU ZAIDI YA 500 NA SASA WAMEJIAJIRI, UNANGOJA NINI KUJIUNGA, BONYEZA LINK KWA BIO KUJIUNGA

Habari wapendwa, nuellah’s kitchen wanakuletea darasa la mapishi konk kwa ajiri ya biashara na majumbani, usipange kukos...
03/03/2020

Habari wapendwa, nuellah’s kitchen wanakuletea darasa la mapishi konk kwa ajiri ya biashara na majumbani, usipange kukosa darasa linaanza tarehe 05/3/2020 WAHI NAFASI ZIMEBAKI CHACHE

SOMO LITAKALO FUNDISHWA NI 👇🏿

•JINSI YA KUTENGENEZA JUICE AINA 35 KWA 10000



NYOTE MNAKARIBISHWA DARASA HILI NI LA ONLINE ILI KUWAFIKIA WENGI KIURAHISI.

BONYEZA LINK KUJIUNGA 👇🏿

https://wa.me/255769612404

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Nuellah’s kitchen posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share