Jitegemee kiuchumi

Jitegemee kiuchumi KARIBU KATIKA MAFUNZO YA KUJIKOMBOA KIUCHUMI🧏🏻‍♀️

CALL NO +255 760-752-275

30/06/2026

Kabla hujabadilisha maisha yako, badilisha namna unavyojitathmini. Watu wengi wanataka matokeo mapya huku wakifanya mambo yale yale kila siku.

Tathmini ya kweli huleta maamuzi sahihi. Maamuzi sahihi huleta matokeo makubwa. Usiogope ukweli kuhusu ulipo sasa, kwa sababu huo ndio mwanzo wa kufika unakotaka kwenda.

24/06/2026

KIKAO CHA WANAUME TRH25 DELUXE HALL SAA7;00 MCHANA , SINZA KIJIWENI KWA MUONGOZO PIGA NO +255791910566

24/06/2026

🔥 MWANAUME KUJUA KISA CHA CHANGAMOTO NI AIBU! 🔥

MWANAUME HALISI HAKAI AKILALAMIKA MATATIZO YAKE KILA SIKU. ANATAFUTA MAARIFA, MIKAKATI NA SULUHISHO ZA KUMFANYA AWE BORA ZAIDI.

K**A UNAKABILIWA NA CHANGAMOTO ZA MAISHA, BIASHARA, FAMILIA, UONGOZI AU MAENDELEO YAKO BINAFSI, HUU NDIYO MUDA WA KUJIFUNZA NA KUKUA PAMOJA NA WANAUME WENYE MAONO.

💪 NJOO KWENYE SEMINA MAALUM YA WANAUME

📅 TAREHE 25
📍 SINZA KIJIWENI – DELUXE HALL
🕖 SAA 7:00 MCHANA

UTAJIFUNZA:
✅ JINSI YA KUSHINDA CHANGAMOTO ZA MAISHA
✅ MBINU ZA KUJENGA UWEZO WA KIFEDHA
✅ UONGOZI NA MAONO YA MWANAUME WA MAFANIKIO
✅ NAMNA YA KUTUMIA FURSA ZINAZOKUZUNGUKA

USIKOSE! MWANAUME MWENYE MAONO HATAFUTI VISINGIZIO, ANATAFUTA MWONGOZO.

📞 KWA MUONGOZO ZAIDI PIGA: 0791910566

KUMBUKA: MWANAUME KUJUA KISA CHA CHANGAMOTO NI AIBU, LAKINI KUTAFUTA SULUHISHO NI HEKIMA NA UJASIRI!

12/01/2026

MAUMIVU YA WANAUME HAYAONEKANI,
LAKINI HUYABEBEKA KILA SIKU.

• Anacheka mbele ya watu,
lakini moyoni ana vita.

• Anaambiwa “kuwa mwanaume”,
hakuruhusiwi kulia.

• Akikosa pesa,
anapoteza heshima.

• Akichoka,
anasemwa ni dhaifu.

• Akikaa kimya,
anasemwa hana malengo.

UKWELI NI MMOJA:
Mwanaume naye ni binadamu.
Ana maumivu, ana hofu, ana ndoto

TUKUTANE 26/01/2026
SAA 8:00 MCHANA
PIGA SIMU: 0760-752-275

12/01/2026

MAUMIVU YA MWANAUME
Hayaongewi… lakini yanaua ndoto kimya kimya.

🔴 MWALIKO WAKO🫵
📅 26/01/2026
📍 Delux Hall – Sinza
⏰ Saa 8:00 Mchana

Njoo ujifunze:
✔️ Namna ya kukuza UCHUMI
✔️ Afya ya mwanaume
✔️ Maisha na uongozi wa mwanaume

📞 Mawasiliano: 0760 752 275

12/01/2026

Kujenga nyumba ni matumizi, sio utajiri. Utajiri hujenga nyumba bila maumivu.🧏

Address

Ilala Boma
Dar Es Salaam

Telephone

+255652740085

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Jitegemee kiuchumi posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Jitegemee kiuchumi:

Shortcuts

Share