06/06/2026
Magonjwa Sugu huanza kimyakimya,Usipuuze Dalili za Mapema!
Afya yako ndio mtaji wako mkuu. Magonjwa sugu k**a shinikizo la juu la damu (BP), kisukari, na magonjwa ya moyo mara nyingi huanza kwa siri sana. Kutambua dalili mapema na kubadili mfumo wa maisha—ikiwemo lishe bora—ndio siri ya kuishi maisha marefu na yenye furaha.
Angalia video hii kufahamu hatua stahiki unazopaswa kuchukua leo kulinda afya yako na ya uwapendao. 💚
👇 Weka maoni yako au uliza swali hapa chini, na usisahau kushare kuokoa maisha ya wengine!