Men's Fit, Healthy Products And Consultation.

Men's Fit, Healthy Products And Consultation. Tunawasaidia Wanaume Wenye Tatizo La Nguvu Za Kiume Kwa Kuzingatia Mfumo Wa Chakula Sahihi, Mazoezi Na Virutubisho.

FAIDA ZA ARGI+ KWENYE SWALA LA KUIMARISHA NGUVU ZAKO ZA KIUME1.kuboresha hamu yako ya tendo la ndoa.2.Kuimarisha misuli ...
28/03/2021

FAIDA ZA ARGI+ KWENYE SWALA LA KUIMARISHA NGUVU ZAKO ZA KIUME

1.kuboresha hamu yako ya tendo la ndoa.

2.Kuimarisha misuli yako ya uume na kukusaidia misuli yako ya uume iweze kusimamisha vizuri.

3.Kukupa energy, stamina, kuboresha vizuri mzunguko wa damu mwilini.

*Mzunguko wa damu ndio nguvu ya mwanaume k**a damu haitembei vizuri ni ngumu sana kuwa imara kwenye tendo. Nakuwa na uwezo wa kusimamisha ipasavyo.*

Hivo ARGI+ hukusaidia kwenye:-

•Kuimarisha misuli yako ya damu iweze kupitisha damu vizur, kutanuka na kuondoa mafuta machafu (cholesterol) ili damu yako iweze kufika kwenye maeneo yote ya Mwili wako, k**a kwenye uume, ubongo, moyo, na kwenye misuli midogo ya uume ili kuboresha uume uweze kusimama.

•Pia itakusaudia kukupa uwezo wa kurudia tendo na ku-control tenzi dume isipanuke sababu tenzi dume nayo ikitanuka husababisha mwanaume kupoteza nguvu za kiume.

•Pia itakusaidia kwenye kuimarisha mifupa kutokana na madini ya calcium na zink yaliyomo.

Wasiliana nami kwa maelezo zaidi. Namba 0768 042474

Call kwa maelezo zaidi 0768 042474.Mr Salum Khalfan
06/01/2021

Call kwa maelezo zaidi 0768 042474.
Mr Salum Khalfan

Make A Move With ARGI+.ARGI+ ITAKUSAIDIA▪️Kuboresha NGUVU ZA KIUME kwasababu inaboresha mzunguko/msukumo wa Damu mwilini...
29/10/2020

Make A Move With ARGI+.
ARGI+ ITAKUSAIDIA

▪️Kuboresha NGUVU ZA KIUME kwasababu inaboresha mzunguko/msukumo wa Damu mwilini.
▪️Kuongeza Hamu ya tendo la ndoa.
▪️Kukupa Uwezo wa kuhimili tendo kwa mda mrefu.
▪️Uwezo wa kurudia tendo kwa wakati.
▪️Kuboresha idadi na ubora wa mbegu za kiume.
▪️Inasaidia Afya ya moyo na kupunguza kiwango kikubwa cha cholesterol.
▪️Husaidia kwa wanaowahi kufika kileleni mapema.
▪️Huimarisha misuli ya uume na uwezo wa uume kusimama ipasavyo..
Follow my page




Wengi wanachukulia matumizi ya dawa za kuongeza nguvu za kiume ndio suluhusho pekee.Dawa zinauwezo wa kuleta matokeo ya ...
21/10/2020

Wengi wanachukulia matumizi ya dawa za kuongeza nguvu za kiume ndio suluhusho pekee.
Dawa zinauwezo wa kuleta matokeo ya muda mfupi tu (short-term results) na haziwezi kuleta matokea ya muda mrefu (long-term results) kwasababu hatuwezi kutumia dawa maisha yetu yote.
Madawa yana kemikali nyingi ambazo haziitajiki mwilini pia.
LAKINI MATUMIZI SAHIHI YA LISHE/VIRUTUBISHO ni kitu ambacho unaweza fanya maisha yako yote bila kuleta athari zozote kiafya.
KUPATA LISHE KAMILI/VIRUTUBISHO sio kula wanga kwa wingi na mboga mboga kidogo. Acha kkula wanga sana, mafuta mengi mbaya zaidi mwili hauhitaji kwa kiasi chote hicho.
Mwili unahitaji vitu k**a Vitamini, Madini, amino acid za kutosha. K**a mwili haupati vitu hivi kwa kiasi cha kutosha ndo maana unapata changamoto ambazo zinazidi kuongezeka siku hadi siku. Changamoto k**a UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME, PRESHA, KISUKARI, MATATIZO YA TENZI DUME .N.K
TUMAINI LIPO KWENYE LISHE SAHIHI.
Piga/WhatsApp 0768 042474 kwa msaada zaidi.

Tuambiane Leo Asubhi Umekula Chakula Gani..?.Unafahamu Kuwa Asubhi Hutaki Kula Chakula Cha Mafuta (Chapati, Maandazi, Vi...
16/10/2020

Tuambiane Leo Asubhi Umekula Chakula Gani..?.
Unafahamu Kuwa Asubhi Hutaki Kula Chakula Cha Mafuta (Chapati, Maandazi, Vitmbua). K**a wewe mwanaume unaeogopa Kuambiwa HUWEZI KAZI basi Acha kabisa Kula Vyakula Vya mafuta Asubhi.
Je Leo Umekula Nini ?

Siwezi Kuisahau Multi maca. Imenifanyia maajabu makubwa Mno. Kabla Sijaitumia nilikuwa Nawahi sana kumaliza, Nashindwa K...
10/10/2020

Siwezi Kuisahau Multi maca. Imenifanyia maajabu makubwa Mno.
Kabla Sijaitumia nilikuwa Nawahi sana kumaliza, Nashindwa Kurudia nilikuwa nakosa ile Stamina ya kuhimili tendo mpaka mwisho. .
Jambo hili lilinipa mawazo mno kiasi ya kwamba KUOGOPA HATA KUMSOGELEA MWENZA WANGU. Nilitaka kujaribu dawa aina ya VI**RA ila kuna Doctor akanambia kwa umri wako Hizi zitakuharibu zaidi ndio akanikuanisha na mshauri Mmoja Wa Virutubisho ...
Na yeye bila kusita akanishauri Nitumie MULTI MACA. kisha akanipa mpangio wa kula na mazoezi.
Sasa NIMEKUWA MPYA nafurahia tendo k**a kwamba sikuwahi kuwa na tatizo kabla. Naweza Kurudia. Simwagi haraka. Nimekuwa na stamina na mbegu zinatoka vizuri mno.
K**a na wewe ulikuwa k**a mimi na bado unaendelea kusubiri Maajabu ya kupona. Basi endelea kusubiri.. Ila k**a UMECHOSHWA NA UNYONGE HUU LEO wasiliana nami kwenye namba 0768 042474.
Tuna Offer ya 5% Ya Punguzo kwa watu 10 tu watakao nipigia moja kwa moja. Na kwa watu 4 tu watakao nitext WhatsApp.
Chukuwa hatua kabla hujaambiwa NAONDOKA.
CALL/WHATSAPP 0768 042474.

Kuna tofauti kubwa. Ukitumia Hii Package na Usipo Tumia Hii Package.Tofauti yake ni kwamba. Ukitumia UTAKUWA UMEJISAIDIA...
07/10/2020

Kuna tofauti kubwa. Ukitumia Hii Package na Usipo Tumia Hii Package.
Tofauti yake ni kwamba. Ukitumia UTAKUWA UMEJISAIDIA KUTATUA CHANGAMOTO YAKO AU KUJIIMARISHA ZAIDI.
Na Usipo Tumia UTAENDELEA KULALAMIKA NA KUMTESA MWENZIO KILA SIKU. MWISHO WA SIKU UTAKIMBIWA.
Ogopa Aibu. Jiimarishe .
Mr Salum Khalfan.
0768 042474.

Inategemea na Matokeo unayoyatafuta.Ila ARGI+ inakupa uhakika Wa kuwa Imara Zaidi tena Kwa Matokeo Endelevu.Unachotakiwa...
06/10/2020

Inategemea na Matokeo unayoyatafuta.
Ila ARGI+ inakupa uhakika Wa kuwa Imara Zaidi tena Kwa Matokeo Endelevu.
Unachotakiwa ni kuifahamu kwanza inafanyaje kazi kwenye kukusadia kuondokana na tatizo la NGUVU ZA KIUME. Nipigie Moja kwa Moja kwenye Namba 0768 042474.
Mr Salum Khalfan.

ARGI+ Imefanya Kila Mwanaume Aweze Kujiamini Zaidi Na Kutembea Kifua Mbele. Imewasaidia wanaume wengi wenye Changamoto y...
02/10/2020

ARGI+ Imefanya Kila Mwanaume Aweze Kujiamini Zaidi Na Kutembea Kifua Mbele. Imewasaidia wanaume wengi wenye Changamoto ya NGUVU ZA KIUME. IKIWEMO MIMI..
MATOKEO NDANI YA SIKU 30.
No Kuchoka choka.
No Kushindwa Kurudia Tendo.
No kuwahi kumaliza haraka kabla ya mwenzio.
No Kusimamisha Kwa Ulegevu
Kupata Maelezo Zaidi
Call/WhatsApp.
0768 042474
Mr Salum Khalfan.



K**a wewe ni mmoja ya watu wenye kukutana na changamoto hii Basi Leo Sema Mwisho Wa Tatizo Langu. Soma ujumbe huu mfupi ...
24/09/2020

K**a wewe ni mmoja ya watu wenye kukutana na changamoto hii Basi Leo Sema Mwisho Wa Tatizo Langu.

Soma ujumbe huu mfupi mpka mwisho Huenda Ujumbe huu ukawa wa maana sana kwako kuliko Nakala zote muhimu ulizowahi kuzisoma siku ya leo..
Baada ya kuwasadia wanaume wengi wanaopitia kwenye changamoto hii nimekuja kugundua Asilimia 70% ya waathirika wamekata Tamaa baada ya kujaribu madawa mengi bila mafanikio..
Kumbe walitakuwa kujua vitu muhimu sana kabla ya kutumia dawa zozote. Sasa leo Nataka kukuambia vitu gani unatakiwa kuvizingatia ili USILIWE PESA ZAKO TENA KUANZIA LEO..
Ukizingatia Haya Nakuhakikishia Utapona na utasahau kabisa k**a uliwahi kuwa na changamoto hii ya Afya Ya Nguvu Za Kiume..

1. K**a Ukijua mazoezi sahihi ya kufanya.Kuna aina nyingi za mazoezi na kila zoezi lina faida zake. Na tunapokuja kwenye kuimarisha afya yako ya Nguvu za kiume pia kuna mazoezi Maalumu ya kufanya ili kuwa imara zaidi.
2. K**a ukijua chakula sahihi kinachoufaa mwili wako kulingana na Group yako ya damu.. Je unalifahamu Group lako la damu? K**a bado hulijui nakushauri leo ukapime ulijue maana ndio Silaha pekee itakayokusaidia kujua Nini Ule kujilinda na changamoto hiii milele.
3. Ukijua Chanzo Cha Tatizo lako. Ni marufuku kukimbilia kutumia dawa za kuimarisha nguvu za kiume Bila Kujua au kufahamu Chanzo cha tatizo au bila kufahamu hali yako ya kiafya ipoje (Utamaliza madawa na bado tatizo utakuta lipo palepale). Hivyo hakikisha unajua sababu ni nini haswa kisha Anza kujitibu kwenye vyanzo vya tatizo lako. Mfano k**a una Kisukari, Presha, Vidonda Vya Tumbo, Ngiri, Kukosa Choo, Uzito. Hakikisha Unaboresha hizo changamoto kwanza k**a uponazo. Lakini unajua maendeleo ya afya yako.
4. K**a Ukijua Utumiaji wa virutubisho sahihi. Sasa hapa kuna aina nyingi za virutubusho, unachotakiwa kufahamu ni aina gani ya Kirutubisho kitaufaa zaidi mwili wako ili Uwe vizuri kwenye tendo la ndoa..
K**a umeguswa na taarifa hii na Tupigie moja kwa moja kwenye namba 0768 042474
🚫ONYO: Huduma Hii Sio Kwaajili Ya Kila Mtu Au Kwa Kila Mwenye Tatizo La Nguvu za Kiume. Bali Huduma Hii Ni Kwaajili Ya Watu Ambao Wapo Tayari Kuona Mabadiliko (Matokeo) Ya Afya Zao.

Je ungependa kusikia Taarifa hii?Baada ya Kuwahudumia Watu Zaidi Ya 100 Nimekuja kugundua 70% ya wanaume wengi sana kuan...
17/09/2020

Je ungependa kusikia Taarifa hii?

Baada ya Kuwahudumia Watu Zaidi Ya 100 Nimekuja kugundua 70% ya wanaume wengi sana kuanzia Umri wa Miaka 25-40 wanakutana na changamoto ya Kutokuwa na uwezo wa kulimudu tendo la ndoa ipasavyo, K**A kuwahi kumaliza, kushindwa kurudia tendo, uwezo mdogo wa kusimamisha au kutokusimamisha kabisa. N.k.
Mbaya zaidi wengi huona tabu kusema kwa mara ya kwanza wanapoona dalili hizo hivyo wanakuja kusema baada ya hali kuwa mbaya zaidi, na wanaosema wanashindwa kupata suluhisho sahihi la hili tatizo.
Ingawa kuna vitu ukivizingatia vinaweza kukusaidia kabisa tatizo hili.Mfano👇.
Ukifanya mazoezi, Kula chakula sahihi, kupunguza msongo wa mawazo, kupata ushauri kwa wataalamu wa afya. Kujitibu sukari na presha au kupunguza uzito na kitambi. Haya ni mambo ambayo ukiyazingatia yanaweza kupunguza asilimia 30% - 45% ya tatizo hili na asilimia iliyobakia ni kutumia Virutubisho ambavyo vitausaidia mwili wako kufanya kazi ile inayotakiwa kuanzia kuimarisha seli zako, hormones, mzunguko wa damu, ubongo na afya ya moyo.
Kwasasa naweza kukushauri uwanze na hivi VIRUTUBISHO VICHACHE AMBAVO WENGI NIMEKUWA NIKIWASHAURI NA MATOKEO NI MAKUBWA MNO Hii Ni k**a njia ya awali ya kulinda afya yako kwa siku za mbeleni .
PERUVIAN MACA na ARGI+ ni Virutubisho maalumu Vinavokusaidia kuimarisha afya ya baba na afya ya tendo la ndoa, Afya ya moyo na mzunguko wa Damu.
Vitakusaidia kwenye
Kuboresha hamu ya tendo la ndoa, stamina na nguvu za kiume bila madhara yeyote.
Kuboresha idadi ya mbegu za kiume kuwa katika uwingi na speed inayotakiwa, Huondoa msongo wa mawazo na depression. Kuimarisha misuli ya uume na kusaidia mtirirko mzuri wa damu hivyo huufanya uume uweze kusimama ipasavyo.(ni virutubisho sahihi kwa mtu alieathirika na kujichua.)
K**a umeguswa na ujumbe huu. Na unapenda kupata msaada zaidi. Wasiliana nami Mara tu unapomaliza kusoma ujumbe huu.
Kwa kupiga.👇🏻

0768 042474.
Mr Salum Khalfan.

Hichi ndio chakula anachotakiwa kula mwanaume asubuhi. Sio Chai Chapati..Niandikie umekula nini Asubuhi ya Leo.. .      ...
13/09/2020

Hichi ndio chakula anachotakiwa kula mwanaume asubuhi. Sio Chai Chapati..
Niandikie umekula nini Asubuhi ya Leo.. .

.

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Men's Fit, Healthy Products And Consultation. posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share