Shen Afya ya Uzazi

Shen Afya ya Uzazi Tunasaidia kutatua changamoto kwa wanawake wenye changamoto ya harufu, miwasho na fangas

30/05/2026
30/05/2026

🚭🚭🚭🚭🚭🚭🚭🚭🚭
MSIJE SEMA MADAKTARI WANA ROHO MBAYA ROHO MBAYA

ZINAJENGWA BAADA BAADA YA MTU KUCHUKULIA KAWAIDA SWALA LA SERIOUSπŸ’”πŸ’”πŸ’”βŒβŒβŒβŒβŒ

KUPONA SO MIUJIZA KUPONA NI PROCESS WAPENZI WANGU
HUWEZ KUWA UNACHANGAMOTO YA KUTOKWA NA HARUFU
KUWASHWA UKEN UKAFIKIRI UTAPONA TU BILA KUTUMIA DAWA SAHIHI NA KWA WAKATI SAHIHIπŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ’”πŸ’”πŸ’”πŸ’”πŸ’”πŸ’”

30/05/2026

🌷 PID (Pelvic Inflammatory Disease) si jambo la kupuuza!

Inaweza kusababisha:

❌ Maumivu ya chini ya tumbo ya muda mrefu
❌ Maumivu wakati wa tendo la ndoa
❌ Kuvurugika kwa hedhi
❌ Ugumba
❌ Mimba kutunga nje ya mfuko wa uzazi

Dalili za awali zinaweza kuwa:
⚠️ Uchafu usio wa kawaida ukeni
⚠️ Miwasho au harufu mbaya
⚠️ Maumivu ya nyonga au tumbo la chini

Usisubiri hali iwe mbaya. Pata ushauri na suluhisho mapema.

πŸ“© DM kwa maelezo zaidi au WhatsApp: 0682853510

Andika β€œPID” kwenye comment tupate kukusaidia.

23/05/2026

JE, UNAFAHAMU ATHARI ZA KUKOSA UTE MWEPESI? πŸ‘€πŸ”₯πŸ”₯

BAADHI YA MAMBO YANAYOWEZA KUONEKANA πŸ‘‡πŸΌπŸ‘‡πŸΌ

βœ… Ukavu sehemu za siri
βœ… Hali ya kutokuwa comfortable
βœ… Maumivu kwa baadhi ya watu wakati wa tendo
βœ… Msuguano zaidi unaoweza kuleta michubuko kwa wengine
βœ… Wengine wanaweza kuhisi kuwashwa au hali ya ukakasi

USIPUUZE ISHARA ZA MWILI WAKO ⚠️⚠️

ELEWA MWILI WAKO πŸ₯°πŸ’ƒπŸΌ

Comment β€œAFYA

22/05/2026

Wanawake wengi hupata fangasi, UTI au harufu sehemu za siri kutokana na makosa madogo ya usafi bila kujua. Afya ya uke ni muhimu sana na inahitaji uangalizi wa kila siku.πŸ‘‡

βœ… Epuka kubakisha unyevunyevu muda mrefu
βœ… Badilisha nguo za ndani kila siku
βœ… Safisha uke kwa maji safi pekee
βœ… Epuka kutumia sabuni kali ndani ya uke
βœ… Epuka kujitibu bila ushauri sahihi

⚠️ Kumbuka: uke hujisafisha wenyewe, hivyo kuingiza vitu au kemikali bila sababu kunaweza kuongeza maambukizi.

Dalili k**a:
β€’ Kuwashwa
β€’ Harufu kali
β€’ Uchafu usio wa kawaida
β€’ Maumivu ya tumbo chini
β€’ Maumivu wakati wa kukojoa

Zinaweza kuwa ishara ya maambukizi na ni vizuri kupata ushauri mapema.

πŸ’¬ Ungependa elimu zaidi kuhusu afya ya uzazi? Andika β€œAFYA” kwenye comment.

22/05/2026

*NINI CHANZO CHA UKE KUWA MKAVU?*

Uke mkavu; ni tatizo ambalo husababishwa na upungufu wa homoni au kutokua na uwiano wa homoni ya estrogen ambayo upelekea misuli ya uke kusinyaa na kukosa vilainishi.

Kwa kawaida uke unatakiwa kuwa na Ute wa wastani ambao hufanya uke kubana kuleta joto na Raha ya tendo.
Ute huo ukizidi Sana au kua pungufu Sana nalo ni tatizo.

*VISABABISHI VYA UKE MKAVU.*
-Utumiaji mafuta yenye kemikali (cosmetics)
-Magonjwa ya zinaa na fangasi
-Matumizi ya sabuni za antibiotics kwa kuoshea uke
-Upungufu wa homoni
-Uoga na wasiwasi
Uchafu wa muda mrefu kutoka ukeni

*DALILI ZA UKE MKAVU*
-Maumivu wakati wa tendo la ndoa
-Kupungua hamu ya tendo la ndoa
-Kua na ngozi kavu
-Maumivu ya mifupa na viungo
-Msongo wa mawazo
-Mzunguko wa hedhi Kubadilika badilika
-Kutokufurahia tendo la ndoa kutokana na Maumivu.

*K**a unachangamoto hii wasiliana nami kwa ushauri wa matibabu..*

21/05/2026

Hii Inaweza Kusababishwa Na Mambo Kadhaa K**a:…

1. Mabadiliko Ya Homoni.
Mara Nyingi Husababisha Damu Kidogo, Hasa Kwa Wasichana Wanaoanza Hedhi Au Wanawake Wanaokaribia Kukoma Hedhi.
2. Maambukizi (K**a U.T.I Au P.I.D).
Infection Sehemu Za Siri Au Kwenye Kizazi Inaweza Kusababisha Kutokwa Na Damu, Maumivu Au Harufu Isiyo Ya Kawaida.
3. Ujauzito Wa Mapema.
Wakati Mwingine Mimba Changa (Implantation Bleeding) Huleta Damu Kidogo Kabla Ya Mtu Kujua K**a Ni Mjamzito.
4. Matatizo Ya Kizazi.
K**a Vile Fibroids, Polyps Au Vidonda Kwenye Shingo Ya Kizazi (Cervix) vinaweza Kusababisha Kutokwa Na Damu Isiyo Ya Kawaida.
5. Matumizi Ya Dawa Za Kupanga Uzazi.
Vidonge, Sindano Au Vipandikizi Vya Uzazi Wakati Mwingine Husababisha Damu Kidogo Kidogo Katikati Ya Mzunguko.
6. Kansa Ya Shingo Ya Kizazi Au Kizazi.
Ingawa Si Kila Mara, Kutokwa Na Damu Bila Sababu Ya Kawaida Kunaweza Kuwa Ishara Ya Tatizo Kubwa Zaidi Kiafya.
7. Baada Ya Tendo La Ndoa.
Wakati Mwingine Damu Kidogo Hutokea Kutokana Na Msuguano, Ukavu Wa Uke Au Maambukizi.

πŸ’¬ Je, Wewe Au Kuna Mtu Unayemfahamu Amewahi Kupitia Hali Hii?
Comment β€œAFYA” Kwa Msaada Zaidi Au Ushauri.

Address

Tanzania-Dar Es Salaam
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Shen Afya ya Uzazi posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share