GlobalMedicare

GlobalMedicare Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from GlobalMedicare, Medical and health, Oil Com Petrol Station/Near VETA, Nyerere/Chang'ombe Road, Dar es Salaam.

03/10/2025
🌍✈️ Safari ya Matumaini & Huduma za AfyaLeo tarehe 03 Oktoba 2025, timu ya madaktari bingwa na watoa huduma zaidi ya 50 ...
03/10/2025

🌍✈️ Safari ya Matumaini & Huduma za Afya

Leo tarehe 03 Oktoba 2025, timu ya madaktari bingwa na watoa huduma zaidi ya 50 kutoka Tanzania πŸ‡ΉπŸ‡Ώ (JKCI, BMH, MNH, MOI, ORCI, MSD) wakiongozwa na Dr. Asha Mahita kutoka Wizara ya Afya na Dr. Peter Kisenge, Mkurugenzi wa JKCI, wameanza safari kuelekea Visiwa vya Comoro – Anjouan πŸ‡°πŸ‡² kwa ajili ya kambi maalum ya matibabu itakayofanyika kuanzia 05 - 11 Oktoba 2025.

Hii ni mara ya pili kambi hii kufanyika Comoro 🩺.
πŸ“ Mara ya kwanza (Moroni) – wagonjwa 2770 walihudumiwa, na 267 walifika Tanzania kwa uchunguzi & matibabu.
πŸ“ Mwaka huu – zaidi ya 1500+ tayari wamejisajili wakisubiri huduma kutoka kwa madaktari wetu πŸ’™.

🀝 Ushirikiano huu mkubwa ni matokeo ya uongozi thabiti wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan πŸ‡ΉπŸ‡Ώ na Rais wa Umoja wa Visiwa vya Comoro Mhe. Azali Assoumani πŸ‡°πŸ‡² – kwa pamoja wakiweka kipaumbele afya na maisha ya wananchi.

🩷 Tanzania tunaitwa kuhudumia – na tupo tayari kuleta tabasamu na matumaini!



πŸ‡°πŸ‡²πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

02/10/2025

πŸŽ₯✨ Madaktari Bingwa Tanzania wapo Anjouan – Comoro!

Kuanzia 05/10/2025 hadi 11/10/2025, timu ya madaktari bingwa kutoka:

Hospitali ya Taifa Muhimbili πŸ₯

Hospitali ya Saratani Ocean Road πŸŽ—οΈ

Hospitali ya Moyo Jakaya Kikwete ❀️

Hospitali ya Benjamin Mkapa 🌟

Hospitali ya MOI πŸ’ͺ

watakuwepo kwenye Kambi Maalum ya Tiba mjini Anjouan, Comoro πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ€πŸ‡°πŸ‡².

πŸ‘‰ Katika video hii, wasikilize madaktari wetu wakieleza kuhusu uwepo wao na huduma wanazotoa katika kambi hii muhimu ya afya.

πŸ“ž Kwa mawasiliano: +255 677 600 500




🌍🀝 Kwa heshima kubwa, timu ya wataalamu bingwa kutoka Tanzania tumewasili visiwa vya Comoro (Anjouan) kwa ajili ya Kambi...
02/10/2025

🌍🀝 Kwa heshima kubwa, timu ya wataalamu bingwa kutoka Tanzania tumewasili visiwa vya Comoro (Anjouan) kwa ajili ya Kambi Maalum ya Tiba.

Tumepokelewa kwa mapokezi ya heshima na Governor wa Anjouan, Balozi wa Tanzania nchini Comoro, Waziri wa Afya, pamoja na wakurugenzi wa hospitali tatu kubwa ambapo kambi hizi zitafanyika.

πŸ‘¨β€βš•οΈπŸ‘©β€βš•οΈ Timu hii inajumuisha wataalamu kutoka:

- Hospitali ya Taifa Muhimbili

- Hospitali ya Saratani Ocean Road

- Hospitali ya Moyo Jakaya Kikwete

- Hospitali ya Benjamin Mkapa

- Hospitali ya MOI

Safari hii ni sehemu ya utekelezaji wa ahadi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa Rais wa Comoro, wakati wa maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru wa visiwa vya Comoro.

πŸ‡ΉπŸ‡Ώβ€οΈπŸ‡°πŸ‡²
Tupo hapa kwa ajili ya huduma, upendo na mshikamano wa kidugu.



πŸ‡°πŸ‡²πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

Address

Oil Com Petrol Station/Near VETA, Nyerere/Chang'ombe Road
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when GlobalMedicare posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share