26/05/2026
“Kabla hujatumia dawa nyingi, je umewahi kujua nguvu iliyopo kwenye walnut?”
✍️Walnuts ni nini?...!!
👉Walnut ni aina ya karanga yenye ganda gumu na punje inayofanana na umbo la ubongo. Kwa Kiswahili hujulikana k**a jozi au karanga za jozi. Hutumika k**a chakula chenye virutubisho vingi k**a omega-3, protini, madini na antioxidants muhimu kwa afya ya mwili.
💪Walnut kwa mwanaume husaidia:
1. Kuongeza nguvu na stamina
2. Kuboresha mzunguko wa damu
3. Kusaidia afya ya mbegu za kiume
4. Kuimarisha afya ya moyo na ubongo
5. Kuongeza kinga ya mwili
6. Kusaidia afya ya nguvu za kiume kwa ujumla
✍️Ee mwanaume:
Nakushauri Tumia walnut k**a sehemu ya lishe bora ili kusaidia afya ya mwili, nguvu, mzunguko wa damu na stamina. Matokeo mazuri huanza na kula vizuri, kufanya mazoezi na kuzingatia afya yako kila siku. Tumia kwa kiasi sahihi na kwa mwendelezo kwa faida bora zaidi.
📌 Kwa elimu zaidi kuhusu afya ya mwanaume, lishe na ushauri wa kiafya, tembelea page zetu za AFYA KWANZA TZ.
📲 +255785431112