11/04/2026
*HORMONES IMBALANCE*
*(UWIANO MBAYA WA HOMONI ZA UZAZI)*
*_HORMONES IMBALANCE;_* Ni upungufu/kiwango kidogo/uwiano mbaya wa homoni za uzazi yaani ESTROGEN HORMONES
*VISABABISHI/VYANZO VYA HORMONES IMBALANCE*
♟️Matumizi ya njia za uzazi wa mpango k**a vidonge, sindano, njiti, kitanzi n.k
♟️U.T.I sugu
♟️Magonjwa ya zinaa k**a kaswende, gonorea n.k
♟️Mlo mbaya/usio kamili
♟️kuugua fangasi ukeni kwa muda mrefu
💦Msongo wa mawazo
*DALILI ZA HORMONES IMBALANCE*
🎯_Siku za hedhi kutokuwa na mpangilio maalumu
🎯_kutoshika mimba
🎯_maumivu ya kiuno, mgongo na tumbo chini ya kitovu
🎯_maumivu ya viungo na uchovu wa mara kwa mara
🎯_kupoteza hamu ya tendo
🎯_maumivu wakati wa tendo
🎯_uke kuwa mkavu
🎯_Kutoka na damu nyeusi au mabonge mabonge
🎯_ kutokupata period na wakati si mjamzito
*MADHARA YA HORMONES IMBALANCE*
kuto shika mimba
mimba kuharibika mara kwa mara
kupata uvimbe kwenye kizazi
kukaribisha magonjwa katika mfumo wa uzazi
Habari njema ni kwamba kuna suluhisho yaani matibabu hapa...
*Andika Neno HOMONI kupata Suluhisho lako mapema kabla hujapata madhara makubwa zaid.*