GCAT International Hospital

GCAT International Hospital Tunajihusisha na virutubisho lishe

24/07/2026
06/07/2026

Chai hii ni maalum kwa ajili ya kusaidia afya kwa njia ya asili. Inafanya kazi zifuatazo:

1. *Husaidia mzunguko wa damu* – Hasa kwa watu wenye shinikizo la damu (presha) ya kupanda.
2. *Hulaza vizuri* – Inasaidia watu wenye changamoto ya kukosa usingizi au kuchoka mara kwa mara.
3. *Husafisha ini na figo* – Husaidia watu wenye matatizo ya ini, figo au sumu mwilini.
4. *Husaidia ganzi ya miguu au mikono* – Kwa wanaopata ganzi mara kwa mara.
5. *Hutibu mfumo wa mmeng’enyo wa chakula* – Kwa wenye gesi tumboni au choo kigumu (constipation).
6. *Husaidia kwa watu wanaotumia vilevi* – K**a pombe au wanaoishi kwenye mazingira yenye hewa chafu.
7. *Hufanya detoxification ya mwili* – Huviondoa sumu na kuimarisha afya kwa ujumla.
8. *Huongeza kinga ya mwili (Immunity)* – Inafaa hata kwa mtu asiye mgonjwa ili kujikinga.
9. *Inafaa kwa mtu aliyeathirika tayari kiafya* – Husaidia kurejesha mwili kwenye hali nzuri.
10:inapunguza uzito &kitambi
*Namna ya kutumia:*
P**i 1 asubuhi na p**i 1 jioni kwa siku 20 mfululizo.
Tumia na *maji ya uvuguvugu bila kuongeza chochote.*

Mawasiliano 0724184668

Wahi sasa nafasi ni chache kwa Mawasiliano zaidi piga simu namba 0724 184 668
06/07/2026

Wahi sasa nafasi ni chache kwa Mawasiliano zaidi piga simu namba
0724 184 668

Unataka mtoto lakini safari ya kupata ujauzito imekuwa ngumu? 💔Usikate tamaa, bado kuna matumaini. Katika GCAT Internati...
17/06/2026

Unataka mtoto lakini safari ya kupata ujauzito imekuwa ngumu? 💔Usikate tamaa, bado kuna matumaini. Katika GCAT International Hospital tunatoa huduma maalum za afya ya uzazi kwa wanawake na wanaume kwa usiri na uangalizi wa karibu. 👩‍⚕️✨

✔️ Uchunguz wa kina kugundua chanzo cha ugumba
✔️ Ushauri wa kitaalamu kutoka kwa madaktari bingwa
✔️ Tiba salama kwa matatizo ya homoni, ovulation, kizazi na mbegu za kiume
✔️ Huduma kwa wanandoa wote wanaohitaji msaada wa uzazi
✔️ Ufuatiliaji wa karibu hadi ndoto yako ya kupata mtoto itimie 🤱

Mahali: GCAT International Hospital📞 Piga sasa: 0724184668

Afya yako ya uzazi ni kipaumbele chetu. ❤️

USISUBIRI UGONJWA UKUSHTUE! 🚨Magonjwa sugu mengi hayatoi dalili mapema. Jikinge kwa kufanya vipimo mapema na kujua hali ...
11/06/2026

USISUBIRI UGONJWA UKUSHTUE! 🚨
Magonjwa sugu mengi hayatoi dalili mapema. Jikinge kwa kufanya vipimo mapema na kujua hali yako ya afya.
💉 VIPIMO VYA MAGONJWA SUGU
💰 Gharama ni TSh 30,000 tu
📍 Huduma inapatikana Tanzania nzima
✔️ Jua afya yako mapema
✔️ Pata ushauri wa kitaalamu
✔️ Linda maisha yako na ya familia yako
📞 Piga simu au WhatsApp: 0724 184 668
Afya njema inaanza na uchunguzi wa mapema. Chukua hatua leo! :::

08/06/2026

🔥 OFA MAALUMU YA CHAI YA ASILI! 🔥

Je, unahitaji kujisikia mwepesi na mwenye afya zaidi?

✅ Husaidia kusafisha mwili na kuondoa sumu
✅ Husaidia kupunguza gesi tumboni na kuimarisha mmeng'enyo wa chakula
✅ Husaidia katika safari ya kupunguza uzito
✅ Huchangia kuboresha afya ya figo na ini
✅ Husaidia kuimarisha ustawi wa mwili kwa ujumla

🎁 Pata ofa yako leo kabla haijaisha!

📞 Wasiliana nasi: 0724 184 668

Address

Mtaa Wa Furaha
Dar Es Salaam
12101

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when GCAT International Hospital posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share