Afya leo

Afya leo Nawasaidia Wanaume Kutatua Changamoto ya NGUVU ZA KIUME | TEZI DUME Kwakutumia Virutubisho (Nutritional Supplements)

Wanaume wengi wanalaumu umri , lakini sababu ya kweli ni nyingine kabisa!Jifunze sababu yako leo ,bonyeza neno Whatsapp ...
22/03/2026

Wanaume wengi wanalaumu umri , lakini sababu ya kweli ni nyingine kabisa!
Jifunze sababu yako leo ,bonyeza neno Whatsapp chini ya post Kufahamu

18/02/2026

Celebrating my 4th year on Facebook. Thank you for your continuing support. I could never have made it without you. 🙏🤗🎉

💪 Nguvu za Kiume si bahati wala dawa za miujiza ni matokeo ya mfumo sahihi wa maisha, lishe bora, na mzunguko mzuri wa d...
06/10/2025

💪 Nguvu za Kiume si bahati wala dawa za miujiza ni matokeo ya mfumo sahihi wa maisha, lishe bora, na mzunguko mzuri wa damu.
Mwanaume mwenye nguvu anajenga mazingira mwilini yanayoruhusu nguvu hizo kuamka kwa njia ya asili, si kwakutumia Dawa.

Leo nitakupa mpango wa siku moja wenye hatua 3 rahisi, ambao ukifanya kwa siku 3 mfululizo, utaanza kuona mabadiliko makubwa katika ✅Stamina na Nguvu Kwa ujumla

🥗 HATUA YA 1 : ASUBUHI : Amsha Homoni Kupitia Lishe

Kula mlo wenye lishe

🥚 Mayai 2(yakienyeji ,chemsha)
🥑 Nusu parachichi
🌰 Karanga au almonds chache
🍌 Ndizi 1
💧 Kikombe cha maji (yasiwe ya Baridi )

🚫 Epuka soda, mkate mweupe, chips, na chai ya rangi ,Ngano

Kumbuka asubuhi ndio mwili huanza kuzalisha hormone nyingi kwaio upe Lishe nzuri

🧘‍♂️ HATUA YA 2 :
FANYA ROUTINE YA DKK 10

1️⃣ Dakika 3 : Pumua kwa kina (deep breathing) tumia pua kuvuta hewa ndani then toa Kwa mdomo

2️⃣ Dakika 4: Mazoezi mepesi: push-ups, squats, au kutembea kwa kasi au kegeli

3️⃣ Dakika 3
Visualization : fikiria malengo yako, jione ukiwa mwanaume mwenye nguvu na ujasiri (Fanya meditation)

Hii itakusaidia kuimarusha mzunguko wa damu

🌙 HATUA YA 3 :
JIONI : Recharge na Jenga Upya Mwili

😴 Lala mapema (angalau saa 7–8 za usingizi)
Usipolala hayo masaa sahau kuwa na Nguvu za kiume

📵 Epuka simu saa 1 kabla ya kulala , mwanga wa skrini hupunguza testosterone

💧 Usinywe maji mengi wakati wa kwenda kulala ili usiamke usiku (ukiamka katikati ya usingizi unakuwa Sawa na mtu aliekesha)

Ukipata usingizi mzuri mwili unaupa nafasi ya kure-set

🔥 Rudia hatua hizi kwa siku 3 mfululizo utaanza kuona tofauti kubwa katika mwili wako na jinsi unavyojisikia.

👇
K**a uko tayari kuanza, comment neno “CHALLENGE” nikutumie Mwongozo Kamili wa Siku 3 za Kuamsha Nguvu za Kiume.

Follow Afya leo

🌀 KANUNI 9 ZA MAISHA MAREFU – Siri kutoka Blue Zones 🌍Wanasayansi wamegundua jamii duniani ambazo watu wengi huishi mais...
29/08/2025

🌀 KANUNI 9 ZA MAISHA MAREFU – Siri kutoka Blue Zones 🌍

Wanasayansi wamegundua jamii duniani ambazo watu wengi huishi maisha marefu (miaka 90–100+) wakiwa na afya njema. Jamii hizi zinaitwa Blue Zones, mfano maarufu ukiwa Okinawa (Japan), Ikaria (Greece), Sardinia (Italy) na Nicoya (Costa Rica).

Siri yao si dawa za kisasa, bali ni mazoea rahisi ya kila siku 👇

1️⃣ Sogea Kimaumbile 🚶‍♀️
Hawakai sehemu moja muda mrefu. Hata bila gym, wanaishi maisha yenye kutembea, kilimo, na shughuli ndogo ndogo zinazoboresha mwili.

2️⃣ Kuwa na Kusudi (Ikigai) ✨
Kila mtu anajua kwa nini anaamka asubuhi. Hii huzidisha furaha na kuongeza miaka ya kuishi.

3️⃣ Punguza Msongo wa Mawazo 🧘‍♂️
Wao hupumzika kupitia ibada, sala, meditation au kushiriki kumbukumbu za mababu. Hii huleta amani ya kiakili.

4️⃣ Kula kwa 80% tu 🍲
Wakinawa wanamsemo wao wanaita “Hara Hachi Bu” ukimaanisha kula hadi uhisi umeshiba kwa kiasi Kwa 80%, si kushiba kupita kiasi. Hii huwapunguzia magonjwa ya lishe na unene.

5️⃣ Kula Mboga Zaidi 🥗
Lishe yao ni mimea, kunde, nafaka, viazi vitamu na samaki kwa kiasi. Nyama huliwa mara chache sana.

6️⃣ Divai kwa Kiasi 🍷
Wengi hunywa glasi moja kwa siku, mara nyingi wakiwa na marafiki au familia. Hii huleta mshik**ano na utulivu.

7️⃣ Shirikiana na Jamii 🤝
Kuwa sehemu ya jumuiya, kuhudhuria ibada au mikusanyiko huongeza miaka ya kuishi

8️⃣ Wapende Wapendwa Wako 👨‍👩‍👧‍👦
Familia kwanza. Wazee hutunzwa nyumbani, watoto hulindwa, na upendo huimarisha furaha ya wote.

9️⃣ Kuwa na Marafiki Bora 👯‍♂️
wakinawa wanavikundi vyao wanaviita "Moai" vinavyoshirikiana maisha yote. Tabia nzuri huambukiza!

🌿 Siri ya maisha marefu si dawa, bali ni mtindo wa maisha.

👉 Swali kwako: Kati ya hizi 9, ni ipi utaanza kuifanyia kazi leo?

K**a umekuwa ukijiuliza“Itachukua muda gani kuona matokeo?” au Kupona Kabisa tatizo la Nguvu za kiume?Ndugu yangu, ukwel...
08/08/2025

K**a umekuwa ukijiuliza“Itachukua muda gani kuona matokeo?” au Kupona Kabisa tatizo la Nguvu za kiume?
Ndugu yangu, ukweli ni kwamba ukipata muongozo sahihi na ukitumia kwa mpangilio nitakaokupa, mabadiliko utaanza kuyaona mapema kuliko unavyodhani.

✨ Siku 3–7: Dalili za awali zinaanza kuonekana
✨ Wiki 1-2: Unaanza kupata Mabadiliko makubwa
✨ Mwezi: Unapata Mabadiliko ya Moja Kwa moja

🔑 Siri ni moja tu usikose dozi na fuata mpangilio sahihi.
Usiache tatizo likuathiri zaidi… chukua hatua leo na uanze safari ya kurudisha ujasiri na furaha yako.

Wasiliana na Mimi kupitia hii namba 0624993247

Au click neno Whatsapp chini ya post

Unapolala chini ya masaa 6 kila siku, mwili wako:Unapunguza kingaUnachoka harakaUnakosa umakiniUnahifadhi mafuta haraka🛌...
31/07/2025

Unapolala chini ya masaa 6 kila siku, mwili wako:

Unapunguza kinga

Unachoka haraka

Unakosa umakini

Unahifadhi mafuta haraka

🛌Lala Mapema ,amka na Nguvu Mpya
Afya yako haijengwi gym pekeake kupata USINGIZI mzuri ni sehemu ya afya yako 📌

💬 RAFIKI YANGU, NAOMBA DAKIKA 2 TU...Kuna jambo MUHIMU sana unapaswa kulifanya leo kabla hali haijawa mbaya zaidi🥲.Leo n...
23/07/2025

💬 RAFIKI YANGU, NAOMBA DAKIKA 2 TU...

Kuna jambo MUHIMU sana unapaswa kulifanya leo kabla hali haijawa mbaya zaidi🥲.

Leo nakuliza swali moja la kweli:

❓ Je, bado unaendelea kuvumilia aibu ya chumba kimya kimya kwa sababu hujapata suluhusho la kweli?

Unajua mambo hayako sawa.
Wakati mwingine unajihisi mnyonge mbele ya mwenzi wako.
Unatamani mambo yarudi k**a zamani ... lakini nguvu zimepungua, stamina haipo, na hamasa imetoweka.

⚠️ Sikiliza Rafiki…

Hali hii haimaanishi kwamba wewe ni mzee au umemaliza muda wako.
Sababu kubwa ni:
🔸 Mwili umejaa uchovu
🔸 Mzunguko wa damu umedorora
🔸 Sumu zimejaa mwilini
🔸 Lishe imekosa virutubisho sahihi

Na ukiendelea kuvumilia kimya kimya:
💔 Furaha huanza kupotea
💔 Mahusiano yanayumba
💔 Kujiamini kunapotea
💔 Na hatimaye unaweza kupoteza mtu unayempenda

Lakini habari njema ni hii hapa👇

🔥 Kuna program maalumu inaitwa *BEDROOM PROGRAM* – Programu ya Asili kwa Wanaume hata k**a umesha kata Tamaa

Hii ni programu ya kiafya ya asili kabisa, inayotokana na virutubisho vilivyotengenezwa kwa kutumia mimea, matunda, na vyakula vya asili.
✅ Haina kemikali kali
✅ Haina madhara kwa afya
✅ Inafanya kazi kwa njia ya asili, bila kuathiri mfumo wa mwili

📌 *Unapotumia Bedroom Program, utapata faida hizi* :

🔸 Kuongezeka kwa nguvu za kiume kwa njia ya asili
🔸 Uume kusimama imara kwa muda mrefu — kwa sababu mzunguko wa damu unakuwa imara
🔸 Kupona kwa uchovu wa mara kwa mara na kurejesha stamina ya zamani
🔸 Kuongezeka kwa hamasa, hisia na hamu yakufanya tendo la ndoa (libido)
🔸 Kurekebisha hali ya kuwahi kufika kileleni na kusaidia udumu kwa mda mrefu
🔸 Kuimarisha afya ya mbegu za kiume na mfumo wa uzazi kwa ujumla
🔸 Kuondoa sumu mwilini na kuweka mwili katika hali ya usafi kuanzia ndani
🔸 Kwakufanya hivyo itakuuongeza kujiamini, furaha na kuimarisha mahusiano yako

💥 *LENGO LA PROGRAMU HII* :

👉 Kukuwezesha kurudisha heshima, nguvu, na furaha ya ndani...bila kutumia dawa za hospitali wala dawa za mitaani zisizoeleweka.
👉 Kuponya tatizo moja kwa moja, si kukupa matokeo ya muda mfupi.

💰 OFA MAALUMU :

Nimeamua Kuwasaidia wanaume hasa wale waliokwisha kata Tamaa kuweza kurudisha uwezo wao wa asili na kuwa Bora Zaidi

Sitokuchaji Milioni ,Wala laki saba(700k), hata laki 5 sitokuchaji
Ila Utamaliza Changamoto yako Kwa Gharama Ndogo kabisa na tatizo lisipoisha unakuwa REFUNDED ambapo;
🔥 Program Kamili (Kwa mwezi mzima)
👉 Tsh 382,000/=

🔥 Program Fupi (Kwa siku 20)
👉 Tsh 192,000/=

🔥 Program ya Kuanza (Kwa wiki 2)
👉 Tsh 90,000/=

⏳ Program itajumuisha pia
✅Muongozo sahihi
✅Kukufuatilia hatua kwa hatua Hadi kumaliza tatizo
✅Kubwa Zaidi unapata GUARANTEE endapo umemaliza dozi na tatizo halijaisha unakuwa Refunded

📦 Tunatuma popote ulipo ndani na nje ya Tanzania
📲 Unapata ushauri wa kitaalamu bure kabisa, kulingana na afya yako na hali yako ya sasa

‼️ Rafiki... Usisubiri hali izidi kuwa mbaya.

Chukua hatua leo kabla hujachoka zaidi, ukachokwa, na ukabaki na majuto.

📞 Tuma neno "PROGRAM" WhatsApp au Piga: 0624 993 247
Au click neno WhatsApp chini ya post

🌿 Nguvu zinarudi. Heshima inarejea. Furaha inajengwa tena upya kwa njia ya asili.

Ushawahi kuamka asubuhi ukiwa hauna nguvu kabisa, licha ya kulala saa nyingi?Hali ya mwili kuwa mzito, kuchoka kila mara...
22/07/2025

Ushawahi kuamka asubuhi ukiwa hauna nguvu kabisa, licha ya kulala saa nyingi?
Hali ya mwili kuwa mzito, kuchoka kila mara, na kukosa motisha hata baada ya mapumziko ya kutosha ni dalili ya matatizo ya ndani ya mwili ,si tatizo la usingizi pekee.

Kwa kawaida, uchovu wa mara kwa mara unaweza kusababishwa na:

✅ Uchafu mwilini (toxins)
✅ Msongo wa mawazo unaoathiri viwango vya homoni
✅ Ukosefu wa virutubisho muhimu mwilini
✅ Mfumo wa mmeng’enyo usiofanya kazi vizuri

Mwili unapokuwa umelemewa na sumu na taka zisizotolewa kwa ufanisi, huathiri uzalishaji wa nishati. Ndiyo maana hata ukilala vizuri, bado unajisikia dhaifu.

🌿 SULUHISHO:

Tumia vitu vya asili K**a Aloe Vera Gel k**a sehemu ya mlo wa kila siku husaidia:

🔹 Kusafisha mfumo wa mmeng’enyo
🔹 Kuondoa sumu zilizojificha mwilini
🔹 Kuboresha usingizi wa ndani (deep sleep)
🔹 Kurejesha nguvu za asili bila caffeine wala sukari

Ni hatua ndogo yenye matokeo makubwa kwa afya yako ya ndani.

Je, umewahi kuamka ukiwa mchovu bila sababu ya moja kwa moja?
Comment NDIO nitakueleza kwa kina sababu inayoweza kuwa nyuma ya hali hiyo na namna bora ya kuirekebisha kwa njia ya asili.

K**a Umekuwa Ukipiga Round Moja tu Unashindwa kabisa kuendelea na Round zinazofuata Basi Usihofu....Nmekuelekeza Namna B...
18/07/2025

K**a Umekuwa Ukipiga Round Moja tu Unashindwa kabisa kuendelea na Round zinazofuata Basi Usihofu....

Nmekuelekeza Namna Bora Yakufanya ili Uweze Kuendelea na Round Zinazofuata kirahisi

👇 Ili uweze kuendelea kwa haraka baada ya round ya kwanza:

✅ Pumzika kwa Dakika 2–5:
Usichanganyikiwe, pumzisha mwili kwa dakika chache huku mkiwa mnakumbatiana na kupapasana bila kuwa na presha. Usilazimishe Kuendelea hapo hapo utafeli Brother 😂.

✅ Nafasi ya Kupumua:
Vuta pumzi kwa kina mara kadhaa na kuiachia, hii husaidia kushusha presha na kurudisha nguvu haraka.

✅ Usiguse Simu wala Usifikirie Sana:
Ubongo unahitaji utulivu kwaio usihamishe mawazo yako mbali na mwenza wako kuwa nae karibu ikiwezekana mkumbatie kabisa.

✅ Tumia Lishe Sahihi na Virutubisho Asilia:
Vyakula vyenye L-Arginine, Zinc, na Ginseng husaidia kurejesha nguvu ndani ya muda mfupi.

✅ Epuka Majuto au Hofu:
Usije ukajutia Wala kuweka hofu ya aina yoyote kwa kufika kileleni maana hio ni hali ya kawaida kwa kila mwanaume .Ukiweka hofu tu tayari unajimaliza maana Msongo wa mawazo huchelewesha mwamko wa pili. Ukijiamini na ukatuliza Akili utaona huchukui mda mrefu mnara unarudi Tena 5G

📌Ukiona Mbinu zote Zinafeli Jua tu Kwamba unahitaji Suluhisho ili umalize tatizo moja kwa moja

Unaweza unanicheki kwa namba hii 0624993247
Ntakupa Muongozo sahihi kulingana na changamoto yako ilivyo

📩 Afya leo

Sababu Zinazoathiri Nguvu za Kiume ,Bila Wanaume Kujua...Wanaume wengi hujilaumu au kuhisi wamerogwa wanapopoteza nguvu ...
17/07/2025

Sababu Zinazoathiri Nguvu za Kiume ,Bila Wanaume Kujua...

Wanaume wengi hujilaumu au kuhisi wamerogwa wanapopoteza nguvu zao za kiume. Lakini ukweli ni kwamba, matatizo haya mengi yanatokana na maisha yetu ya kila siku.

👇 Hizi ndizo sababu kuu 5 zinazoharibu nguvu za kiume kimya kimya Bila Wewe Kujua:

🔴 1. Msongo wa Mawazo (Stress):
Unapokosa utulivu wa akili, mwili wako hushusha homoni ya testosterone (homoni ya kiume) kwaio taratibu unaanza kupoteza sifa za mwanaume aliekamilika

🟡 2. Lishe Duni:
Vyakula vya mafuta, sukari, na pombe vinaziba mishipa ya damu. Damu isipopita vizuri kwenye maeneo nyeti, itakupelekea kushindwa kuhimili tendo vzr maana msumari hautasimama imara.

🔴 3. Kukosa Usingizi Bora:
Unapopata Usingizi mzuri unaupa nafasi mwili kurekebisha homoni. Ukijikuta uko bize sana ukashindwa kulala vizuri Walau masaa 6 Hadi 8 Utajikuta Nguvu zinaanza kupungua

🟡 4. Kukosa Mazoezi:
Mazoezi husaidia mwili kuwa active mda wote ,pia husaidia Mzunguko wa damu kuwa vzr maeneo yote ya mwili hii husaidia hata Nguvu Zako kuwa bora

🔴 5. Kuishi Bila Kupima au Kutafuta Msaada: Mwanaume usipojua hali ya afya yake ya ndani (tezi dume, presha, sukari), unakuwa ni k**a unaishi Gizani lolote linaweza tokea

➡️Ukiona Unawahi kufika kileleni ,unashindwa kurudia kwa wakati ,mashine inasimama legelege ,unachoka sana wakati wa tendo n.k ....
Ni taarifa kuwa Mambo hayako sawa kwaio chukua hatua mapema kabla Mambo hayajaharibika zaidi

📩 DM kwa ushauri binafsi & njia salama za kurejesha nguvu zako.
Au click neno WhatsApp chini ya post kufahamu zaidi

🔹 Afya leo

Address

Dar Es Salaam
255

Opening Hours

Monday 08:00 - 20:00
Tuesday 08:00 - 20:00
Wednesday 08:00 - 20:00
Thursday 09:00 - 20:00
Friday 08:00 - 20:00
Saturday 09:00 - 20:00

Telephone

+255624993247

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya leo posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Afya leo:

Share