Jango Medical Laboratories

Jango Medical Laboratories 🔬JANGO MEDICAL LABORATORIES 🧪
Huduma bora za uchunguzi wa maabara kwa usahihi, uhakika na haraka.

Mashine za uhakika
📍Tunapatikana Tegeta Wazo Magengeni Dar es salaam
☎️0766358650/ 0625932798
📱Whatsapp available
📧[email protected]

31/08/2026
08/08/2026

Jango Medical Laboratories tunakutakia maisha marefu yenye furaha, Amani na upendo

03/08/2026

02/08/2026

30/07/2026
30/07/2026

Fuatilia kurasa hii upate elimu juu ya Afya, Share kwa rafiki zsko wajifunze zaidi
Jango Medical Laboratories Tupo kwaajili yako
Simu: 0766358650, 0743779814, 0625932798
Instagram Jangolabs_tz

NANI ANAPASWA KUPIMA CHOLESTEROL?⚡Wenye umri wa miaka 20 na kuendelea  ⚡Wenye shinikizo la damu ⚡ Wenye kisukari  ⚡Wenye...
20/06/2026

NANI ANAPASWA KUPIMA CHOLESTEROL?
⚡Wenye umri wa miaka 20 na kuendelea
⚡Wenye shinikizo la damu
⚡ Wenye kisukari
⚡Wenye uzito mkubwa
⚡Wenye historia ya magonjwa ya moyo katika familia

❤️ Afya njema huanza na uchunguzi wa mapema.
Karibu Jango Medical Laboratories tukuhudumie

FAIDA ZA KUPIMA CHOLESTEROL✍️ Kugundua kiwango cha mafuta mwilini mapema ✍️ Kupunguza hatari ya magonjwa ya moyo ✍️ Kufu...
20/06/2026

FAIDA ZA KUPIMA CHOLESTEROL
✍️ Kugundua kiwango cha mafuta mwilini mapema
✍️ Kupunguza hatari ya magonjwa ya moyo
✍️ Kufuatilia maendeleo ya matibabu
✍️ Kuboresha afya kwa ujumla
🧪 Pima afya yako leo.
Jango Medical Laboratories

KWA NINI NI PIME CHOLESTEROL?✍️Cholesterol ya juu inaweza kuwepo bila dalili.✍️Linda afya ya moyo wako kwa kupima mapema...
20/06/2026

KWA NINI NI PIME CHOLESTEROL?
✍️Cholesterol ya juu inaweza kuwepo bila dalili.
✍️Linda afya ya moyo wako kwa kupima mapema
✍️Cholesterol nyingi mwilini inaweza kuongeza hatari ya kupata magonjwa ya moyo, kiharusi na shinikizo la damu. Mara nyingi cholesterol ya juu haina dalili, hivyo kipimo ni muhimu.
🩸 PIMA CHOLESTEROL YAKO LEO!
📍 Tegeta Wazo Magengeni, Dar es Salaam 📞 0766 358 650 | 0625 932 798 📱 Instagram:
🙏 "Jango Labs tunatibu, Yesu anaponya."

NJIA ZA KUJIKINGA NA MAGONJWA YA MOYO✅ Kula lishe bora ✅ Fanya mazoezi mara kwa mara ✅ Epuka uvutaji wa sigara ✅ Punguza...
16/06/2026

NJIA ZA KUJIKINGA NA MAGONJWA YA MOYO
✅ Kula lishe bora
✅ Fanya mazoezi mara kwa mara
✅ Epuka uvutaji wa sigara
✅ Punguza matumizi ya pombe
✅ Dhibiti shinikizo la damu
✅ Pima afya yako mara kwa mara
❤️ Kinga ni bora kuliko tiba.
📍 Jango Medical Laboratories tupo kwaajili ya kukuhudumia

Address

Tegeta Wazo Magengeni
Dar Es Salaam
14130

Opening Hours

Monday 07:30 - 22:00
Tuesday 07:30 - 22:00
Wednesday 07:30 - 22:00
Thursday 07:30 - 22:00
Friday 07:30 - 22:00
Saturday 07:30 - 22:00
Sunday 13:00 - 21:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Jango Medical Laboratories posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share